Kiukweli na pasina shaka Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana katika taifa hili la Tanzania hasa Ujenzi wa barabara, Kuzirejesha meli zilizokuwa hazifanyi kazi kwa muda mrefu, Kukarabati shule kongwe zilizokuwa zimechakaa mfano Pamba Secondary ya Mwanza ilikuwa imejaa popo ukiiangalia sasa hivi imekuwa kama mpya na nyingine nyingi, Kuanzisha ujenzi wa treni ya mwendo kasi SGR, Kuboresha jiji la Dar es Salaam, Kuhamishia makao makuu Dodoma. Kuanza safari za treni kutoka Dar mpaka Arusha , Kuboresha huduma za Afya, Usambazaji wa umeme vijijini mfano siku nilipotembelea kijiji cha wazazi wangu na kukuta umeme unawaka sikuamini kabisa lakini ndivyo hivyo. Nawaasa vijana tusipendelee sana ushabiki wa kisiasa katika mitandao tuwe wazalendo wakufanya mambo yanayohihusu jamii kubwa na sio kujiangalia wewe kama wewe hujafanyiwa nini Rais unayemtuhumu kila siku ni kutoa matusi yasiyoleta tija kwa jamii.
Ninaumia sana ninapoona uzi niliouanzisha mimi mwenyewe Mjenga, Nov 9, 2015 leo hii umebadilishwa na kumilikishwa mtu mwingine. Mods hii inakera sana!. Nitalalamika hadi mtakaporudisha uzi huu mikononi mwangu ama mnifungie tu ijulikane moja!. Kwa watu wote mnaochangia uzi huu, hebu fuatilieni kama kipindi hicho uzi huu haukuwa unasomeka kwa authority yangu mimi Mjenga!?Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!...
Labda mnaompenda ni Mafisadi Papa mliopo serikalini kwa sababu hadi sasa Magufuli ame-prove beyond reasonable doubt kwamba anawaogopa mafisadi wa kweli waliofisidi hii nchi!!Anachukiwa na watoa rushwa, mafisadi na madubwasha yasiyosingatia sheria na taratibu za nchi.
Wengi tunampenda Magu
Si hivyo tu pote ukitaka akuonyeshe nyaya za umeme anakuonyesha zile paleNilidhania ni katika nyanja ya kuifungua nchi kwa mtandao wa barabara tu...kumbe anaweza na amefanikiwa kufikisha huduma za afya kote nchini.
Hii ni icon ya mabadiliko
Kabla ya hapo hakukuwa na zahati na vituo vya afya nchi hii? Mbona kama vile nchi imeanza miaka 5 iliyopita? Hivi mnadhani nani atadanganyika kwa mambo haya ya kizushi?Nilidhania ni katika nyanja ya kuifungua nchi kwa mtandao wa barabara tu...kumbe anaweza na amefanikiwa kufikisha huduma za afya kote nchini.
Hii ni icon ya mabadiliko
Ni bora kutapeli au kutapeliwa?Si hivyo tu pote ukitaka akuonyeshe nyaya za umeme anakuonyesha zile pale
Ukimuuliza shule za Bure anakuonyesha zile pale nk
Uhitaji na matumizi ya gloves lazima uongezeke kwa kuwa facilities zimeongezeka ndani ya muda mfupi...in two years kutakuwa na forecasting nzuri ya bidhaa tibaHalafu hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma haina gloves? Hivyo vituo vya afya vitaziokota wapi?
Achilia mbali medical facilities zingine tuanze na gloves tu
Zilikuwa ngapi?Zimeongezeka ngapi?Kabla ya hapo hakukuwa na zahati na vituo vya afya nchi hii? Mbona kama vile nchi imeanza miaka 5 iliyopita? Hivi mnadhani nani atadanganyika kwa mambo haya ya kizushi?
huko mahospitalini hakuna hata dawa,hebu imagine MUHIMBILI hakuna paracetamol kweli???? Yaani hakuna panadol hospitali ya taifa!Nilidhania ni katika nyanja ya kuifungua nchi kwa mtandao wa barabara tu...kumbe anaweza na amefanikiwa kufikisha huduma za afya kote nchini.
Hii ni icon ya mabadiliko
Acha ujinga wewe huo uhitaji umeongezeka kwa minajiri ipi wagonjwa wameongezeka ama?Uhitaji na matumizi ya gloves lazima uongezeke kwa kuwa facilities zimeongezeka ndani ya muda mfupi...in two years kutakuwa na forecasting nzuri ya bidhaa tiba
Wagonjwa wanaofika hosoitali wameongezeka mfano wajawazito waliokuwa wanajifungulia majumbani mwaka 2015 walikuwa around 45% sasa ni 80 %. vituo vinavyofanya upasuaji vimeonhezeka.Acha ujinga wewe huo uhitaji umeongezeka kwa minajiri ipi wagonjwa wameongezeka ama?
Wodi namba 11 hospital ya mkoa wa Dodoma kwa siku za hivi karibuni ikizidi sana idadi ya wagonjwa ni watano (5) tu!..