pouwa...Pamoja sana miss
Bilioni 4 kutoka morocco hadi mwenge !!!!!!!!!! ufafanuzi tafadhari inamaana hii iliyopo inabomolewa na kujengwa barabara ya 2 kwa 4 au ????????
sawa tumuombeee
Senkyu kwa ufafanuzi.Kwa mujibu wa habari ya ITV inaongezwa nakuwa na barabara tano
Kwa kazi anayoifanya Rais Magufuli ni kazi yenye kuhitaji, ujasiri na maamuzi magumu,.
Hata Nyerere asingeweza,.
Kwa kazi anayoifanya Rais Magufuli ni kazi yenye kuhitaji, ujasiri na maamuzi magumu,.
Hata Nyerere asingeweza,.
Nitajie uamuzi mmoja tu ambao Nyerere angeshindwa?Kwa kazi anayoifanya Rais Magufuli ni kazi yenye kuhitaji, ujasiri na maamuzi magumu,.Hata Nyerere asingeweza,.
Hakunaga kama Nyerere. Magufuli huwezi Mfikia Nyerere Hata akae miaka yote kumiAcha, Mwl.Nyerere ni namba nyingine kabisa, Nyerere aliikuta nchi ziro hadi kuwa na hospitali za wilaya,mikoa, barabara,reli ya uhuru, viwanda vikubwa 11, mashirika, makampuni, elimu na afya bureeee hadi mwisho. alisaidia ukombozi msumbiji,angola,namibia,zimbabwe, nk. ...usafiri na uchukuzi ATC, Tacoshiri, kamata, etcMagufuli kafanya nini? Hata tone la aliyofanya Nyerere, Magufuli hajafikia.Kukamata makontena? Hata kama mna mahaba na Magufuli, kumlinganisha Nyerere na Magu ni kuMDHALILISHA mwl.Nyerere.Magufuli unaweza kwa sasa kumlinganisha na A.Mrema (kipindi kile Mrema ni Waziri wa Ndani na Naibu Waziri Mkuu).
Ni maamuzi magumu kweli lakini kwa Nyerere bado..labda (kama )ame mzidi mkwere wa awamu ya 4..
Soma comment ya #1954tanu , utaelewaNinyi watu hivi Nyerere alifanya nini la la maana sana,sioni.He was too theoretical na mambo yake mengi yali fail.He only managed to provide free education and to bring about unity through the abolition of tribalism and to make us all swahili.Otherwise he destroyed the backbone of our economy by his utopian ideas of industrialization and socialism through ujamaa villages etc.He also destroyed work displine through his funny interpritation of "unyapara."Work discipline is extremely essential in any countrys' development.What we are facing today in Tanzania could be remnants of his no unyapara utopian idea.
Do you remember nationalization?This was a another disaster.He eventually however later regreted to have carried out nationalization at all.It was however too late,tremendous damage had already been done to our economy.Please remember that I wish I new are words of a fool.Through natinalization he greatly damaged the economy of our country as I have already said.I believe we will never recover from that terrible mistake.