Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 366
- 695
Mwalimu alijitahidi kuleta kwanza maendeleo ya watu ila akashindwa. Sasa ni ubepari kwa kwenda mbele.Ni vitu ili vitu vilete maendeleo kwa watu.
Mwalimu alijitahidi kuleta kwanza maendeleo ya watu ila akashindwa. Sasa ni ubepari kwa kwenda mbele.Ni vitu ili vitu vilete maendeleo kwa watu.
Mmh umenipa food for thought mwanike...
You have this unconventional way of thinking.. Hongera sana..
So kumbe ni zao la sisi kujipa umuhimu sio?
Why lakini, why unaniita kijana mdogo! ulisema before kuwa nibadilike, sasa Nime badilika unaipa za uso, Daah kazi kweli kweli
Yes, absolutely....umenipa challenge ya kutafakari kuhusu neno thamani naona liko so subjective, ila mm kwa upande wangu naona ukikosa watu, wewe ni mfwu tu...
We are social beings, ndo maana mtu aliyekosa malezi bora huishia kuwa toxic, kwenye jamii, uraibu mwingi na matendo mchafu chimbuko lake ni kukosa watu(wakupendao) na wengi tu nakuwa shaped na mazingira, hasa watu wanaotuzunguka.
Au sio, Daah haya bwana mshangazi
Kukuita kijana mdogo ndio bullying kijana?Haya bwana wewe endelea tu kuni bully, it's all good.
🥰🥰Hapana ni sifa maana unanirudisha kuwa kijana which is advantageous too
Utajiri unapimwa kwa assetsMzee wangu Grahams
Sahihi kabisa huenda mafanikio sio kigezo bali hali ya ndani yetuKwa mtazamo wangu, hakuna kipimo sahihi au point ambayo ukifika ndo uonekane umefanikiwa, Bali mafanikio ya mtu anayajua mtu mwenyewe ingawa watu wengi hupima mafanikio kwa mtazamo wa vitu vinavoonekana kwa mtu huyo ingawa, muonekano wa nje unaweza kua indicator ya kuonesha mafanikio..
Hivyo basi kwa maana Pana mafanikio yanaweza kua na maana ya kutoka hali duni kwenda hali Bora zaidi katika maisha unayoishi, apa unajumuisha aspect zote maisha Yani uchumi, kijamii, na kisiasa.., kwa maana hio hapo Sasa ukijitazama wewe ndo utajua kwa maana hio kua umefanikiwa kiasi gani au vipi kwa kumtazama ulipokua, lakini sidhani kama kuna maximum point ya kusema ukifika hapa ndo inaonekana umefanikiwa
🔥🔥Utajiri unapimwa kwa assets
Kwahiyo ukisikia Mo dewji ni tajiri, wanamaanisha jumla ya assets zake na cash alizonazo,sio watu
Ingekuwa utajiri ni idadi ya watu, basi ndugu zetu wasukuma wangekuwa matajiri, maana msukuma mmoja anakuwa na watoto 23 hadi 52 lakini hutaona ametokea kwenye jalida la Forbes 🤪
🤣🤣🤣Utajiri unapimwa kwa assets
Kwahiyo ukisikia Mo dewji ni tajiri, wanamaanisha jumla ya assets zake na cash alizonazo,sio watu
Ingekuwa utajiri ni idadi ya watu, basi ndugu zetu wasukuma wangekuwa matajiri, maana msukuma mmoja anakuwa na watoto 23 hadi 52 lakini hutaona ametokea kwenye jalida la Forbes 🤪
Nilikuwa naangalia documentary moja hivi, Mama mmoja wa huko belgium ana estate yake ambayo ameidonate kwenye taasisi moja inayodeal na wild life conservation ili hela zinazopatikana kwa rental zisaidie hizo program. Wakati anahojiwa anasema ye alichagua kutokuwa na mume wala watoto (which sio kitu kibaya) Sasa my judgements zikawa hivi, huyu ameishi maisha yote akiavoid “watu” lakini mwisho wa siku akagundua vitu vyake vinahitahi “watu” (urithi) Nikatafakari her process of thoughts ambayo ni ya wengi huko kwenye capitalist world nikaona kuna mushikeli kidogo, end circle ya binadamu inahitaji binadamu mwingine, sasa kwanini uishi maisha yote bila kuhitaji binadamu mwenzio halafu mwisho unaanza kumuhitaji?Low key capitalist society imetu condiotion wengi wetu kuwa hivyo sana... Hivi ulisha wahi kupata mid life crisis? Wengi waioatayo hiyo hupata nafasi ya kujua huo umuhimu before old age..
Exactly, we need people. Especially those we call family... But sadly siku hizi it will be your own flesh and blood kicking your ass
Mafanikio halisi ni vyote viwili--vitu na watu.Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari?
Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana upendo...
Wengi wao huwa kama watoto tena... Yaani the ego looses control and the pure human nature comes to play.
Wananza kuthamini vitu ambavyo havishikiki tena, kama ni mzazi lazima akupigie simu daily kukujulia hali, na usipo kwenda kumwona atajisikia upweke.
Wengi wao huanza kuhudhuria dini na kuishi maisha yasiyo na vinyongo. Yaani hata kama alikuwa mtu mbinafsi sana anaweka pembeni.(sio wote lakini)..
Na ukikuta anatoa ushauri ni ule wa hekima na usio wa kumpa mtu kiburi, mwishoni kabisa watu hawa Ukiwauliza ni nini cha maana katika maisha. Hawawi na kumbukumbu ya vitu bali watu..
Hisia ndo hubaki, na hisia mara nyingi hazipatikani kwenye vitu. Kwanini binadamu ni kiumbe kisahaulifu...
Je ni kawaida na lengo la muumba? Au ni kwasababu ya umuhimu ajipao binadamu? Maana binadamu ni kiumbe kibishi sana.
True success comes after mastering how to fully make the world a better place, not self serving chase which only fades away...
Ndo maana nikiona mtu ana ivimbia bia, pesa au majumba na haja accomplish kitu non tangible kwa jamii, naona mlimbukeni tuu.
Karibuni kwa discussion.
At the end of the day, people need love.end circle ya binadamu inahitaji binadamu mwingine, sasa kwanini uishi maisha yote bila kuhitaji binadamu mwenzio halafu mwisho unaanza kumuhitaji?