Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

Habari wadau..!

Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho.

Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza .

Ila sasa nina familia napata ugumu kuchagua sehemu ya kuishi na kulea familia,maana familia inahitaji maeneo yenye utulivu na penye huduma zote za jamii na pasiwe wachawi au vigagura na msongamano wa nyumba kama za huku kwetu Buza.

Hivi kwa hapa Dar ni maeneo gani yametulia kwa kuishi na kulea familia ,ambapo hautajutia kujenga au kununua nyumba ya kuishi maeneo hayo.
Usije Dar, kaa hukohuko!
 
Njoo bunjub sokoni, ma site, kiwanja siyo chini ya 890sq meters, kumepangika, soko la ukweli kubwa lenye gulio kila alhamisi, laweza kuwa kubwa kuliko yote barabara ya Bagamoyo, shule za kutosha Mapinga, Kiharaka, Kerege, Zinga na Bagamoyo, boarding na day, upepo mwanana, nyumba hazijabanana, maji ya dawasa na umeme yapo, beach zipo karibu kwa mapumziko ya weekend, Ununio, bunju beach, Bagamoyo, its a suburb area, wewe tu..
 
Bei inachezea ngapi per square meter Mkuu bagamoyo
 
Nyie ndio mnavuruga miji Sasa square metre 300 si kujenga Mabanda ya Mbwa
Wapuuzi sana hao jamaa na viwanja vyao wa kujenga mabanda ya nguruwe wabaki navyo,
kampuni nyingi za upimaji zina mambo ya kipuuzi ya kupima kiwanja sqm 200, 300, 400 hawa ndo wa hujumu uchumi na wanachafua mji. viwanja vidogo ivo hata hewa haipiti watu wataishije?
 
Habari wadau..!

Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho.

Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza .

Ila sasa nina familia napata ugumu kuchagua sehemu ya kuishi na kulea familia,maana familia inahitaji maeneo yenye utulivu na penye huduma zote za jamii na pasiwe wachawi au vigagura na msongamano wa nyumba kama za huku kwetu Buza.

Hivi kwa hapa Dar ni maeneo gani yametulia kwa kuishi na kulea familia ,ambapo hautajutia kujenga au kununua nyumba ya kuishi maeneo hayo.
Kibamba
 
Back
Top Bottom