mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 81,219
- 106,783
Teh teh hiyo ndy changamotoHaya maeneo ni mazuri sana mkuu. Hata mimi nayapenda sana. Tatizo ni changamoto za usalama. Huko majambazi ni wengi sana. Tena ukijenga vzr na kuweka gate wanakulia timing getini wakati unarudi. Au siku mvua kubwa ikinyesha wanaruka ukuta na kuingia ndani. Kelele za mvua hata ukipiga kelele watu hawasikii hasa ukizingatia nyumba ziko mbali mbali
Za sehemu tulivu...ukivamiwa hata
Ukipiga kelele hkuna msaada
Ova