Maendeleo yanaheshimu rangi?

Maendeleo yanaheshimu rangi?

Tangu Uhuru upatikane ni miaka mingapi? Hii explanation hai hold water tena kwa kuwa tafiti zimeonesha kwamba zipo sababu nyingi nje ya ukoloni ambazo zimekwamisha maendeleo.
Ukoloni ulichofanya ulichelewesha tu maendeleo na kuleta gap Kati ya Europe na Africa lakini baada ya ukoloni hatuna sababu ya kuchelewa.
Ukoloni ulichelewesha maendeleo Africa..lakini bado waliacha mifumo yao ya kibabylon

Kwanini tumeacha culture zetu tumecha utamaduni na mila baada ya uhuru tukacopy tamaduni za waliotutawala?
system nyngi bara la Afrika tulirithi kwao we need to change
 
Hao weusi wamefikaje magerezani? Wameonewa?
Siwezi kujibu hilo, ila Kuna makala nyingi zinazoelezea 'access' ya weusi kwa mfumo wa kisheria wa huko Marekani.

Mfano ni rahisi Sana kwa police wa huko kumsimamisha na kumkagua mtu yeyote akihisi ni muhalifu tofauti na kwa mtu mzungu...au uendeshaji wa kesi na aina ya hukumu zinazotolewa baina ya hayo makundi, Kuna kundi moja wapo ni rahisi kupewa kifungo nafuu na lingine kirefu kwa makosa ya aina moja

Nchi zinazochukuliwa kuwa "the most developed in Africa" ni Mauritius, Seychelles, Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, South Africa, Gabon, Botswana, and Mauritius.

Ukiacha Gabon, karibia nchi zote zilizotajwa hapo juu zina unasaba na Uarabu au Uzungu!
Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, na Morocco ni nchi za Kiarabu.

South Africa inafahamika, ni kwa Makaburu.

Botswana nako kuna mchango wa Uzungu. Rais wa kwanza wa Botswana, Sir Seretse Khama, mkewe alikuwa Mzungu wa Uingereza. Huwezi kuyatenganisha mafanikio yake na mchango wa mke wake. Inasemekana, yeye kama Rais wa kwanza, aliiweka misingi imara ya uongozi.

Seychelles nako wana unasaba na Wazungu.

Tukirudi Tanzania, wanaoongoza kwenye orodha ya matajiri ni Watanzania wenye ngozi nyeupe.

Ukigoogle, TOP 10 RICHEST PEOPLE IN TANZANIA utawakuta wafuatao: Mohammed Dewj,
, Rostam Aziz, Said Salim Bakhressa, Ally Awadh, Shakhar Kanabar, Fida Hussein Rashid, Shubash Patel, Yusuf Manji, Ghalib Said Mohammed, na Yogesh Manek. Ukiangalia sura za hao matajiri, utabaini kuwa rangi nyeupe ndiyo iliyotamalaki.

Je, kuna uhusiano wa rangi na mafanikio?

Nchi zilizoendelea zaidi Afrika ni zile zenye Wazungu au Waarabu!

Orodha ya Watanzania matajiri zaidi inaongozwa na Watanzania wenye rangi nyeupe.

Je! Mafanikio yao yamechochewa na rangi ya ngozi zao?

Suala la mafanikio ni la rangi ya ngozi au uwezo wa akili?

Mimi niaminivyo, ni akili. Labda, watu wenye rangi nyeupe wana akili kuzidi wenye ngozi nyeusi, au rangi zao zianawafanya wapendelewe na hivyo kufanikiwa kirahisi?
Shida kubwa kukosa uaminifu, rangi siyo tija hata white men wapo masikini
 
Tumbili mtu habari za jion?

Menu
Gorillas 98% Similar to Africans!
Posted: 8 March 2012
By Volcanoes Safaris
Scientists in Cambridge, UK, have decoded the DNA of the gorilla, finding that they are 98% similar to Africans at a genetic level, which makes them more similar to man than previously thought.

For the whites, the scientific findings are showing 93% similarity..
 
Nchi zinazochukuliwa kuwa "the most developed in Africa" ni Mauritius, Seychelles, Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, South Africa, Gabon, Botswana, Morocco, and Mauritius.

Ukiacha Gabon, karibia nchi zote zilizotajwa hapo juu zina unasaba na Uarabu au Uzungu!
Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, na Morocco ni nchi za Kiarabu.

South Africa inafahamika, ni kwa Makaburu.

Botswana nako kuna mchango wa Uzungu. Rais wa kwanza wa Botswana, Sir Seretse Khama, mkewe alikuwa Mzungu wa Uingereza. Huwezi kuyatenganisha mafanikio yake na mchango wa mke wake. Inasemekana, yeye kama Rais wa kwanza, aliiweka misingi imara ya uongozi.

Seychelles nako wana unasaba na Wazungu.

Tukirudi Tanzania, wanaoongoza kwenye orodha ya matajiri ni Watanzania wenye ngozi nyeupe.

Ukigoogle, TOP 10 RICHEST PEOPLE IN TANZANIA utawakuta wafuatao: Mohammed Dewj,
, Rostam Aziz, Said Salim Bakhressa, Ally Awadh, Shakhar Kanabar, Fida Hussein Rashid, Shubash Patel, Yusuf Manji, Ghalib Said Mohammed, na Yogesh Manek. Ukiangalia sura za hao matajiri, utabaini kuwa rangi nyeupe ndiyo iliyotamalaki.

Je, kuna uhusiano wa rangi na mafanikio?

Nchi zilizoendelea zaidi Afrika ni zile zenye Wazungu au Waarabu!

Orodha ya Watanzania matajiri zaidi inaongozwa na Watanzania wenye rangi nyeupe.

Je! Mafanikio yao yamechochewa na rangi ya ngozi zao?

Suala la mafanikio ni la rangi ya ngozi au uwezo wa akili?

Mimi niaminivyo, ni akili. Labda, watu wenye rangi nyeupe wana akili kuzidi wenye ngozi nyeusi, au rangi zao zianawafanya wapendelewe na hivyo kufanikiwa kirahisi?
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Rangi ya ngozi haina maana yeyote maana hata Afrika wapo watu wana rangi nyeupe pee tena ya kuzaliwa, haya ni mambo ya historia yaliyobeba ustaarabu na experience za maisha.

Someni kitabu cha "Guns,Germs and Steel" cha Jared Diamond.
Hatupaswi kusingizia historia juu ya kushindwa kwetu.
Mkoloni aliotoa equal opportunity kwa race zote, maendeleo sio utamaduni wetu,hata sasa mbona whites wanakuja masikini wanatajjrikia huku huku Africa.Tabia za waafrika ujulikana wakiwa na pesa ni ulimbukeni kwenda mbele.
 
Shida sio rangi nyeusi wazungu walitawala mababu zetu kwa muda mrefu sana almost 200yrs, walitunyonya kutuua na kuiba rasimali zetu nyingi sana.
Sasa kibaya zaid wakaondoka wakatuachia maadui wawili DINI na ELIMU MBOVU YA KUKARIRI. Tukiwekeza na kuboresha elimu yetu inayoendana na mazingira yetu na kuachana na utumwa wa dini zao Waafrika tutajitambua na kuamka.
Pumba tupu! Akili fupi kwelkwel! Sasa anayekutawala ni wazi amekuzidi! Tunarudi palepale.
 
Kuna mtu amesema neno zuri sana hapo juu asipuuzwe... Kwamba maendeleo ni msamiati ulioletwa na hao hao watu kwahiyo hata tafsiri zake zinakaa kwa namna walivyotaka wao, huenda tukiileta tafsiri ya kikwetu kwetu (kiafrika) ikawa sisi tuna maendeleo zaidi. Nakazia- ANGALIA HATA TAFSIRI YA USTAARABU WANAYOITAKA WAO NA NAMNA TULIVYO WAAFRIKA, matokeo yake kila siku tunafanywa tujione eti hatuna ustaarabu kisa tu...!
 
Hatupaswi kusingizia historia juu ya kushindwa kwetu.
Mkoloni aliotoa equal opportunity kwa race zote, maendeleo sio utamaduni wetu,hata sasa mbona whites wanakuja masikini wanatajjrikia huku huku Africa.Tabia za waafrika ujulikana wakiwa na pesa ni ulimbukeni kwenda mbele.
Ukisikia "unanijua mimi ni nani?", ujue:
1. Labda ana tuhela, au
2. Ana kacheo, au
3. Ana kaelimu

Ni ulimbukeni tu!
 
Hatupaswi kusingizia historia juu ya kushindwa kwetu.
Mkoloni aliotoa equal opportunity kwa race zote, maendeleo sio utamaduni wetu,hata sasa mbona whites wanakuja masikini wanatajjrikia huku huku Africa.Tabia za waafrika ujulikana wakiwa na pesa ni ulimbukeni kwenda mbele.
Hapo mkuu bado hauna majibu kwa nini waafrika wawe nyuma kimaendeleo, utaishia tu kutoa lawama na ndio maana humu kila mtu anatoa sababu zake ambazo zengine hata hazi make sense kuwa et ndio sababu ya sisi kuwa nyuma kimaendeleo. Na inapozungumziwa historia inakwenda mbali zaidi ya issue ya huo ukoloni hapo.
 
Mwafrika anakuwa vipi na maendeleo kwa tafsiri ya maana ya watu wa Magharibi, maendeleo ni mfumo wa watu weupe waasisi ni wayahudi kisha wazungu then kwa mataifa mengine.
Sisi tuna tafsiri yetu ya maendeleo kiasili ambayo ni wake wengi watoto wengi mifugo mingi mashamba mengi.
Labda tu jifunze sasa,pili zile principal za maendeleo mwafrika hana mfano uaminifu,uchapakazi,bidii na maarifa,kuacha zinaa ni race gani inafanya sana ngono jibu unalo zinaa na utajiri au utafutaji haviendani.
 
Maendeleo hawezi kutamkika/kuwepo kabla hajatangulia Juhudi. So Juhudi akishakuwepo basi na maendeleo anatokeza
 
Maendeleo yanaendana na thamani ya pesa kaka,Sasa kwenye hizo nchi ulizo taja angalia currency value then utaniambia nchi gani ni master
 
Kila siku nasema, there is something wrong with watu weusi. Tuna uwezo mdogo kiakili. Hata tukikataa, matendo yetu yanadhihirisha hivyo.

Watu weupe wametuzidi akili na uwezo​
 
Back
Top Bottom