Maendeleo yanaheshimu rangi?

Maendeleo yanaheshimu rangi?

Cu
Believe it or not fikra hizi za ajabu sio mpya zilishaanza miaka ya dark ages watu walipoamini kwenye eugenics na wengine kuamini kwamba masikini ni watu wasio na akili hivyo kuwatenga na ukioa genes hizo uta-dilute genes nyingine (hence kuna super genes)

Ila watu wakafanya research wakaona kwamba watu wakipata opportunities sawa bila segregation wala marginalization wote wanauwezo wa ku-succeed (sasa zao la watumwa ambao waliteswa wanaweza wakawa bado na inferioty complex hata pale ambapo hakuna mateso - Its all about culture)

Nadhani kwa kupata a taste of what am saying angalia hii movie ya Eddie Murphy -Trading Places

View: https://youtu.be/Fupg2r1EJ9w?si=4VEnBUMnBZEQiApN

Uko sahih ila kwa nn usingestick hoja za juu hapo.. research za miaka ya 1980s kujia juu haziwangalii wahanga. Zinaangalia mfumo mzima ulivyo (structure), ethnic minorities wanataabika sana mana hata mifumo ya kuwaajir katika kazi nzuri ni shughuli. Ndo mana wemgi wanafanya kazi za kuijaza jela muda wote
 
Dangote, mweusi, kapita hao waarabu wote uliowataja

Usije ukasema sio mtanzania
Hapa ni weupe na weusi
Dangote ni exceptional, kuna wazungu matajiri kawapita. Ni sawa na kusema kuna maskin wengine ambao ni whites bora waafrika. Hao hat zanzibar hapa wanafanya kazi za tour guides. Hii haiwez kuwa sabab inayojitoshelez kutenganisha mfumo unaowapa utajri watu weupe
 
Kuna mwanasayansi alishwahi kufanya ugtafiti kuwa uwezo wa mtu unatokana na "Melanin", tafiti yake ikawa ni kushambuliwa kuwa ni mbaguzi wa rangi, lakini mii naamini hiyo tafiti ina ukweli mkubwa ndani yake.

Kama haufahamu 'melanin" ni nini, tumia AI akusaidie.

hayo unayosema hata hapa Tanzania ukitazama, asilimia kubwa ya walioweza ni wenye melanin chache mwilini, wenye melanin kwa wingi ndiyo hivyo tena.
Wewe madam wewe! Mbona unatutisha hivyo?🥺

Ngoja nifuatilie nione wanasemaje kuhusu uhusiano wa melanin na Maendeleo!
 
Kuwa na light skin alafu ukose akili na pesa ni ufara. Siku zote fanya ma deal na mtu mweupe utafanikiwa. Hapa nasemea hata ndugu Yako akiwa na vinasaba vya weupe ni deal kubwa.
 
Kuwa na light skin alafu ukose akili na pesa ni ufara. Siku zote fanya ma deal na mtu mweupe utafanikiwa. Hapa nasemea hata ndugu Yako akiwa na vinasaba vya weupe ni deal kubwa.
Unaweza kuendelea na tafiti yako, kwa kusaidia, anaza kwa kumsoma huyu hapa:

Haya ya muafrika kuwa maskini ni madhara ya ubepari. Ubepari ukikatiza kokote hata ukiacha mendeleo, maendeleo yake yatabakia kuwa ya upande fulani ambapo unapita katika kona za kirangi "race", kikabila "tribal" , kikanda "kusini mwa afrika kuna umaskini uliokithir dunia nzima".

Although humo ndani kunakuaga na exceptional generic, kuna ambao watatoboa au kuna ambao watanusurika na line hizo. Mfano, ukiangalia kirangi wazungu au white ni matajir sana lakin kuna waafrika wengine ni matajiri kupita BAADHI ya matajiri wa kizungu.

Angalia maendeleo na umaskin Tanzania ulivyojitokea mikoa/kanda ya kusini. Angalia umaskin ulivyokaa kikabila. Kuna makabila yanatoa matajir wengi sana..

Etcetera
Hii Comment iwekewe lamination kabisa kabisa..
 
Shida sio rangi nyeusi wazungu walitawala mababu zetu kwa muda mrefu sana almost 200yrs, walitunyonya kutuua na kuiba rasimali zetu nyingi sana.
Sasa kibaya zaid wakaondoka wakatuachia maadui wawili DINI na ELIMU MBOVU YA KUKARIRI. Tukiwekeza na kuboresha elimu yetu inayoendana na mazingira yetu na kuachana na utumwa wa dini zao Waafrika tutajitambua na kuamka.
 
World ecology muafrika lazima awepo. Dunia ni kijiji sasahiv, so lazima tuabgalie tunajiwekaje wekaje pale. Ubaya ni kuwa tegemezi
 
Kwa tunaofwatilia ishu za dini tunaelezwa kuwa yote yalianzia kwa watoto wa nuhu. Shem Ham and japhet. Ham alimcheka babake akiwa amelewa na hapo ndio alipopewa laana. Na huyu ham ndo uzao wa blacks. So hii laana imetoka mbali
 
Shida sio rangi nyeusi wazungu walitawala mababu zetu kwa muda mrefu sana almost 200yrs, walitunyonya kutuua na kuiba rasimali zetu nyingi sana.
Sasa kibaya zaid wakaondoka wakatuachia maadui wawili DINI na ELIMU MBOVU YA KUKARIRI. Tukiwekeza na kuboresha elimu yetu inayoendana na mazingira yetu na kuachana na utumwa wa dini zao Waafrika tutajitambua na kuamka.
Tangu Uhuru upatikane ni miaka mingapi? Hii explanation hai hold water tena kwa kuwa tafiti zimeonesha kwamba zipo sababu nyingi nje ya ukoloni ambazo zimekwamisha maendeleo.
Ukoloni ulichofanya ulichelewesha tu maendeleo na kuleta gap Kati ya Europe na Africa lakini baada ya ukoloni hatuna sababu ya kuchelewa.
 
Kwa tunaofwatilia ishu za dini tunaelezwa kuwa yote yalianzia kwa watoto wa nuhu. Shem Ham and japhet. Ham alimcheka babake akiwa amelewa na hapo ndio alipopewa laana. Na huyu ham ndo uzao wa blacks. So hii laana imetoka mbali
Aliyelaaniwa ni Kanaani ambaye alikuwa ni mmoja wa watoto wa Hamu, hivyo kwa Nuhu Kanaani alikuwa ni mjukuu.
"Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani" Mwanzo 10:6.
 
Aliyelaaniwa ni Kanaani ambaye alikuwa ni mmoja wa watoto wa Hamu, hivyo kwa Nuhu Kanaani alikuwa ni mjukuu.
"Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani" Mwanzo 10:6.
Katika watoto wa Nuhu ni na ni aliyemcheka baba yake alipokuwa amelewa na kukaa uchi??? Ukipata jibu niambie
 
Shida sio rangi nyeusi wazungu walitawala mababu zetu kwa muda mrefu sana almost 200yrs, walitunyonya kutuua na kuiba rasimali zetu nyingi sana.
Sasa kibaya zaid wakaondoka wakatuachia maadui wawili DINI na ELIMU MBOVU YA KUKARIRI. Tukiwekeza na kuboresha elimu yetu inayoendana na mazingira yetu na kuachana na utumwa wa dini zao Waafrika tutajitambua na kuamka.
South Korea nayo ilitawaliwa, na ni kama rika moja na Tanganyika, lakini imeshaiacha Tanzania mbali sana kimaendeleo!

Singapore ilipata uhuru mwaka 1965 lakini leo hii iko wapi kimaendeleo?
 
Katika watoto wa Nuhu ni na ni aliyemcheka baba yake alipokuwa amelewa na kukaa uchi??? Ukipata jibu niambie
Hamu
"Nuhu akaanza kuwa mkulima...akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake..."
Mwanzo 9:19-23.
 
Back
Top Bottom