Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Mada imeniukumbusha rafiki yangu wa NIGERIA pansophist.
Pansophist anaililia Multipolarism. (Multipolarism vs hegemonism).
Anafikiri huenda Multipolarism itapunguza na labda kuondoa vizungiti vingi katika njia/barabara ya maendeleo(Kicking away the ladder).
Black is beautiful.
Inawezekana kabisa Africa kusonga na kupiga hatua kiuchumi na n. K
Sababu nyingi za kueleza yanayotukuta au excuse waweza kuita.
Moja, Mobutu seseko kabla ya kurudii mavumbini alidai alikuwa mhanga wa mwisho wa Vita baridi,
Nafanya paraphrasing ya Mobutu..
Africa/Black tumekuwa wahanga wa mwisho wa Brutal Colonialism(Kisaikilojia, kitamaduni, Mila na identity vimeparanganyika kwa Mtu mweusi).
Sababu zipo nyingi na nzito.