Maendeleo yanaheshimu rangi?

Maendeleo yanaheshimu rangi?

Mwafrika anakuwa vipi na maendeleo kwa tafsiri ya maana ya watu wa Magharibi, maendeleo ni mfumo wa watu weupe waasisi ni wayahudi kisha wazungu then kwa mataifa mengine.
Sisi tuna tafsiri yetu ya maendeleo kiasili ambayo ni wake wengi watoto wengi mifugo mingi mashamba mengi.
Labda tu jifunze sasa,pili zile principal za maendeleo mwafrika hana mfano uaminifu,uchapakazi,bidii na maarifa,kuacha zinaa ni race gani inafanya sana ngono jibu unalo zinaa na utajiri au utafutaji haviendani.
Kipi kinafanya useme kuwa sisi hiyo ndio tafsiri yetu ya maendeleo? Hebu fafanua hapa nikuelewe.

Jambo lipi lenye kufanya hadi ionekane kuwa sisi ndio tunapenda sana ngono kuliko jamii zengine? ni kwa sababu tunazaa sana au kipi hasa hebu fafanua mkuu?
 
Kila siku nasema, there is something wrong with watu weusi. Tuna uwezo mdogo kiakili. Hata tukikataa, matendo yetu yanadhihirisha hivyo.

Watu weupe wametuzidi akili na uwezo​
Kwahiyo watu weupe wanazaliwa wakiwa na akili sana kwa sababu tu ni weupe?
 
Kipi kinafanya useme kuwa sisi hiyo ndio tafsiri yetu ya maendeleo? Hebu fafanua hapa nikuelewe.

Jambo lipi lenye kufanya hadi ionekane kuwa sisi ndio tunapenda sana ngono kuliko jamii zengine? ni kwa sababu tunazaa sana au kipi hasa hebu fafanua mkuu?
Masikini wana mda mwingi wa kufanya ngono sababu wapo iddle,wanaridhika,janja janja nyingi sana,kupenda ngono uenda na ignorance na kiwango cha ignorance kusini mwa jangwa la sahara ni kukubwa sana.
 
Mimi nimeuliza kitu gani chenye kutufanya sisi(waafrika) tuonekane kuwa ndio tunaongoza kwa kupenda sana ngono kuliko jamii zengine? Sasa ukisema ni kwa sababu tu ni masikini ndio unahitimisha kuwa tunapenda ngono sidhani kama ni sahihi maana hata waarabu wanajulikana kwa kupenda sana starehe sasa kwanini wasiwe wao ndio wakaongoza kwa ngono ila iwe sisi tu waafrika masikini?

Ndio maana huwa nasema hizi sifa mbaya ambazo tunaonekana tunazo sisi tu ni kwa sababu ni masikini tu basi ila si kwamba jamii zengine hakuna tabia hizo.
 
Hauwezi kuwa MTU wa kupenda ngono ukawa na akili

Ngono inaharaibu akili na kuwa low thinker

Akili ikiharibika inafata mwili na roho

So MTU mweusi sio MTU kama MTU wa kawaida.
 
Kipi chenye kuonyesha sie ndio tunapenda ngono kuliko wengine? Mnaanzia tu kusema kuwa sisi tunapenda sana ngono ila hamuelezi ni kitu gani chenye kuonyesha kuwa sisi ndio wapenda ngono kuliko wengine?
 
Hauwezi kuwa MTU wa kupenda ngono ukawa na akili

Ngono inaharaibu akili na kuwa low thinker

Akili ikiharibika inafata mwili na roho

So MTU mweusi sio MTU kama MTU wa kawaida.
Nchi zinazoongoza kupenda ngono afrika zipo mbili pekee nigeria na southafrika lakini angalia southafrika wapo vizuri sana compared to nigeria .
 
Attachments

  • Screenshot_20240623_171651_Opera.jpg
    Screenshot_20240623_171651_Opera.jpg
    1.7 MB · Views: 12
Nchi zinazoongoza kupenda ngono afrika zipo mbili pekee na nigeria na southafrika lakini angalia southafrika wapo vizuri sana compared to nigeria .

South Africa imefika hapi kwa juhudi za makaburu sasa sijui unajua hilo ?

Fatilia Sana , maendeleo ya Nigga wanoishi SA life yao
 
Kwani uzi unasemaje? Labda nikukumbushe title ya uzi

" Maendeleo yanaheshimu rangi?" Makaburu ni wadachi na ni weupe hivyo wao kuwepo pale ndiyo maana maendeleo yakawepo .
 
Ukoloni ulichelewesha maendeleo Africa..lakini bado waliacha mifumo yao ya kibabylon

Kwanini tumeacha culture zetu tumecha utamaduni na mila baada ya uhuru tukacopy tamaduni za waliotutawala?
system nyngi bara la Afrika tulirithi kwao we need to change
Hatuwez kubadil system nzima, mana sisi tuko ndan ya hiyo system
 
Mwafrika anakuwa vipi na maendeleo kwa tafsiri ya maana ya watu wa Magharibi, maendeleo ni mfumo wa watu weupe waasisi ni wayahudi kisha wazungu then kwa mataifa mengine.
Sisi tuna tafsiri yetu ya maendeleo kiasili ambayo ni wake wengi watoto wengi mifugo mingi mashamba mengi.
Labda tu jifunze sasa,pili zile principal za maendeleo mwafrika hana mfano uaminifu,uchapakazi,bidii na maarifa,kuacha zinaa ni race gani inafanya sana ngono jibu unalo zinaa na utajiri au utafutaji haviendani.
And still kuna watu hayohayo mang'ombe na wanake wengi hAwatKuwa nayo. How to make it fairly distributed to all of us? Hili ndo swali lingine ndan ya maendeleo y mtu mmoja mmoja
 
Kipi kinafanya useme kuwa sisi hiyo ndio tafsiri yetu ya maendeleo? Hebu fafanua hapa nikuelewe.

Jambo lipi lenye kufanya hadi ionekane kuwa sisi ndio tunapenda sana ngono kuliko jamii zengine? ni kwa sababu tunazaa sana au kipi hasa hebu fafanua mkuu?
Huyu ni mjamii, maendeleo ya leo yanedifainiwa kimotazamo y kizungu. Yani sense ya maana ya maendeleo imebez sana kwemye teknolojia na uchumi (technocentric and econocentric)
 
Nchi zinazochukuliwa kuwa "the most developed in Africa" ni Mauritius, Seychelles, Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, South Africa, Gabon, Botswana, Morocco, and Mauritius.

Ukiacha Gabon, karibia nchi zote zilizotajwa hapo juu zina unasaba na Uarabu au Uzungu!
Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, na Morocco ni nchi za Kiarabu.

South Africa inafahamika, ni kwa Makaburu.

Botswana nako kuna mchango wa Uzungu. Rais wa kwanza wa Botswana, Sir Seretse Khama, mkewe alikuwa Mzungu wa Uingereza. Huwezi kuyatenganisha mafanikio yake na mchango wa mke wake. Inasemekana, yeye kama Rais wa kwanza, aliiweka misingi imara ya uongozi.

Seychelles nako wana unasaba na Wazungu.

Tukirudi Tanzania, wanaoongoza kwenye orodha ya matajiri ni Watanzania wenye ngozi nyeupe.

Ukigoogle, TOP 10 RICHEST PEOPLE IN TANZANIA utawakuta wafuatao: Mohammed Dewj,
, Rostam Aziz, Said Salim Bakhressa, Ally Awadh, Shakhar Kanabar, Fida Hussein Rashid, Shubash Patel, Yusuf Manji, Ghalib Said Mohammed, na Yogesh Manek. Ukiangalia sura za hao matajiri, utabaini kuwa rangi nyeupe ndiyo iliyotamalaki.

Je, kuna uhusiano wa rangi na mafanikio?

Nchi zilizoendelea zaidi Afrika ni zile zenye Wazungu au Waarabu!

Orodha ya Watanzania matajiri zaidi inaongozwa na Watanzania wenye rangi nyeupe.

Je! Mafanikio yao yamechochewa na rangi ya ngozi zao?

Suala la mafanikio ni la rangi ya ngozi au uwezo wa akili?

Mimi niaminivyo, ni akili. Labda, watu wenye rangi nyeupe wana akili kuzidi wenye ngozi nyeusi, au rangi zao zianawafanya wapendelewe na hivyo kufanikiwa kirahisi?
Du umenena kwa hisia.
 
Unajua changamoto yetu sisi waafrika ni hatuna historia ukilinganisha na watu weupe.

Mfano mzuri tu, angalia historia yetu inaanzia kipindi cha ujio wa wamisionari. Na mbaya zaidi hatufundishwi jinsi babu zetu walivokuwa wanasurvive miaka ya 300BC, utawala wao na mifumo iliyowekwa na wao.

Wazungu wamefanikiwa sana kwa sababu wamejitengenezea mifumo kabla hata ya ujio wa yesu. Wazungu walikuwa na mipango ya miaka mingi mno kizazi na kizazi.

Wazungu walikuja na mikakati kibao ya kuhakikisha hii dunia wanaitawala na moja kati ya mbinu zao ilikuwa ni kuua mifumo iliyokuwa imewekwa na kuweka mifumo yao ambayo inawahakikishia ulaji mpaka leo.

Nataka kukupa mfano mmoja tu wa kanisa la Roma lililoanzishwa na WaRoma wenyewe. Roma ni mji uliopo Italy, lakini unautawala wake na upo chini ya Papa na mji wake mkuu ni Vatican city.

Roma wamefanikiwa kusambaza Kanisa Lao la Roman Catholic takribani duniani kote kwa kupitia Yesu.

Waroma wanamakanisa, shule, vyuo, flemu za kupangisha, ardhi ya kutosha etc, vyote hivyo ni source of money.

Kitu kama Sadaka, ada tunazolipa mashuleni na vyuo vinavyomilikiwa na Roman Catholic hupelekwa Vatican city mji mkuu wa Roma. Je kwa namna hiyo unahisi tutaendelea kama wazungu?

Waingereza wao walishtukia mchongo wa waroma wakaja na kanisa Lao la Anglikana. Atleast wao sadaka zao haziendi Vatican.

Wanorth Korea wao wanasiasa za mlengo mkali wa kushoto hawaruhusu watu kutoka outside kuwekeza kwenye taifa lao na nini za Abrahamu zote zimepigwa marufuku kwasababu wanaujua mchezo mchafu wa dini hizo.

Last time nimeenda kanisani, kanisa lilikusanya sadaka ya wiki mpaka million2 na hilo kanisa wanasali waumini wenye hali ya chini. Imagine Yale makanisa mtu anatoa sadaka M1 kwa mwaka hilo kanisa linaingiza shingapi? Angalia tanzania ilivokuwa kubwa alafu kila kijiji kina kanisa. Kiasi fulani cha sadaka huchukuliwa na kupelekwa Italy kwa Mapapa na Maaskofu.

What if Watanzania tungekuwa na tempo? Instead of kutoa tozo na kodi hizo sadaka za kwenye mate matempo zingejenga barabara mpaka chochoroni.
 
Back
Top Bottom