Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,244
- 88,163
Mara moja moja mkuu napitaga kuona mambo mapya.Mimi siyo mjuvi wa haya mambo ila kilichonitia hamasa ni kwamba na huku (jukwaa la siasa) umo!
Mara moja moja mkuu napitaga kuona mambo mapya.Mimi siyo mjuvi wa haya mambo ila kilichonitia hamasa ni kwamba na huku (jukwaa la siasa) umo!
Elewe tu Zitto alipomuuliza kupitia mtandao wa twitter kuhusu kutowasili kwa ndege yetu katika muda walioahidi,Mbarawa alimwambia wanakamilisha taratibu ila baadae Lissu akautangazia Ulimwengu kuwa ndege yetu imekamatwa na ndio maana haijawasili.Kamuulize Mbarawa
Tatizo mkuu mambo mengi yanafanyika kisiasa, wakati wa uzinduzi tuliambiwa ni interchange, kwa hiyo Mkuu alikua anatudanganya. nchi nyingine hili ni kosa kubwa sanaKwa aliyekusoma vizuri kwenye hili bandiko, umeuliza pasipo NIA NJEMA. Essentially kwa akili yako unataka mradi ufail iwe aibu kwa Maghufuli na CCM yake. Unachoshindwa kujua ni kwamba Tanzania is bigger than JPM na wanasiasa. Tanzania ilikuwepo na itaendelea kuwepo. Kwa hiyo wote tuna maslahi kuona miradi yote inafanikiwa kwa faida ya vizazi vya leo na kesho.
Ukitaka kila kitu kinachofanywa na Magufuli kukiangalia kwa mrengo wa siasa utakuwa disappointed big time!
Flyover ni barabara au rail inayopita juu while interchange ni makutano ya barabara ambayo hayahitaji sana mataa kutokana na barabara kupishana kinamna namna kwenye makutano.Tazara ni flyover ama interchange? Interchange na flyover tofauti zao ni nini?
Msije mkanisorora nimeomba kujuzwa
Nimekuelewa hapa. Kwa maana hiyo TAZARA ile ni interchangeFlyover ni barabara au rail inayopita juu while interchange ni makutano ya barabara ambayo hayahitaji sana mataa kutokana na barabara kupishana kinamna namna kwenye makutano.
Kwa uelewa wangu wenye idea kubwa wanaweza shade mwanga zaidi.
Kwa namna palivyo ile itakua ni interchange...but at the same time ni flyover kwasababu barabara ipo elevated.Nimekuelewa hapa. Kwa maana hiyo TAZARA ile ni interchange
kazi kuuliza tulichoambiwa, au tukae kimya tuuuWatanzania tuna kazi sana...
Teh teh hahahahh. Unavyojihami wewe Mzigua90. Usiogope, uoga wako ndio umaskini wako. Lakin ni vyema aulizaye ataka kujua.Tazara ni flyover ama interchange? Interchange na flyover tofauti zao ni nini?
Msije mkanisorora nimeomba kujuzwa
Taasisi ya wapumbavu wenzieMange ni taasisi.
Yes we should be agile, but never to allow politicians to cheat us !!!!!We should be agile, kama mabadiliko yalihitajika ili kumeet goal(s) at a cheaper price, si tatizo kabisa. That's what projects are about.
Tatizo ni kama mabadiliko hayatakidhi matarajio na malengo.
Mzee Mwanakijiji, hiki ndicho tulicho ahidiwa kwa mbwembwe na kikiiiiiTaasisi ya wapumbavu wenzie
Nimekumbuka,Elewe tu Zitto alipomuuliza kupitia mtandao wa twitter kuhusu kutowasili kwa ndege yetu katika muda walioahidi,Mbarawa alimwambia wanakamilisha taratibu ila baadae Lissu akautangazia Ulimwengu kuwa ndege yetu imekamatwa na ndio maana haijawasili.
What's the difference? Forgive my ignorance!Jamani wenye habari kamili, nasikia Ubungo interchange sio interchange tena bali itakua kama flyover ya Tanzara? wenye details ya hii issue mtujuze wenzenu.
kama kweli, zile kiki zote za uwekaji jiwe la msingi wa interchange zilikua za nini?
Yes we should be agile, but never to allow politicians to cheat us !!!!!
Whats is the goal and objective(s) of proposed Ubungo interchange? And how will the alleged flyover affect goals and objectives of previously proposed interchange?
Hadi wamalize ubomowaji lile jengo.Hadi lini sasa mkuu
sawa sawa mkuuHadi wamalize ubomowaji lile jengo.
Kutokana na traffic volume, Ubungo panahitaji interchange kubwa. Ukijenga kidude kama kinachojengwa pale tazara, itabidi ukibomoe baada ya miaka michache na kujenga interchange kubwa. Zingatia kuwa idadi ya magari inaongezeka kila siku kadhri population na uchumi unavyokuwa.
Traffic volume can be relative as it is kwa miaka michache, kiasi gani na miaka mingapi bado ni swali la msingi. Without numbers, it will be a mere speculation as why proposed project modification is a bad thing for now.