Maendeleo ya ujenzi wa fly over ya Ubungo

Jamani wenye habari kamili, nasikia Ubungo interchange sio interchange tena bali itakua kama flyover ya Tanzara? wenye details ya hii issue mtujuze wenzenu.
kama kweli, zile kiki zote za uwekaji jiwe la msingi wa interchange zilikua za nini?
 
ngoja kwanza tumalize kinondoni na siha, usiwe na wasi wasi, wananchi mtatangaziwa kama kutakua na mabadiliko, serikali yenu ni sikivu! vipi hapo umeridhika na jibu au bado!?
 
Jamani wenye habari kamili, nasikia Ubungo interchange sio interchange tena bali itakua kama flyover ya Tanzara? wenye details ya hii issue mtujuze wenzenu.
kama kweli, zile kiki zote za uwekaji jiwe la msingi wa interchange zilikua za nini?
interchange ni nini
 
We should be agile, kama mabadiliko yalihitajika ili kumeet goal(s) at a cheaper price, si tatizo kabisa. That's what projects are about.

Tatizo ni kama mabadiliko hayatakidhi matarajio na malengo.
 
Jamani wenye habari kamili, nasikia Ubungo interchange sio interchange tena bali itakua kama flyover ya Tanzara? wenye details ya hii issue mtujuze wenzenu.
kama kweli, zile kiki zote za uwekaji jiwe la msingi wa interchange zilikua za nini?

Mbona na wewe huna uhakika?
 
Yàani interchange ni zaidi flyover. fly over barabara moja inapita juu ingine chini kama mto na daraja maji chin juu magari au watu na interchange ni zaidi ya barabara moja yani kama ghorofa ivii zimepandiana na kuzunguka au in short hujengwa mfano WA ghorofa au utando WA buibui.nimejaribuu ngoja waje
 
Huu mradi si unafadhiliwa na world bank? Imekuwaje tena wb wabadili gia angani??
 
Jamani wenye habari kamili, nasikia Ubungo interchange sio interchange tena bali itakua kama flyover ya Tanzara? wenye details ya hii issue mtujuze wenzenu.
kama kweli, zile kiki zote za uwekaji jiwe la msingi wa interchange zilikua za nini?
Kwani Tazara ni flyover au interchange?
 
Jamani wenye habari kamili, nasikia Ubungo interchange sio interchange tena bali itakua kama flyover ya Tanzara? wenye details ya hii issue mtujuze wenzenu.
kama kweli, zile kiki zote za uwekaji jiwe la msingi wa interchange zilikua za nini?

Kwa aliyekusoma vizuri kwenye hili bandiko, umeuliza pasipo NIA NJEMA. Essentially kwa akili yako unataka mradi ufail iwe aibu kwa Maghufuli na CCM yake. Unachoshindwa kujua ni kwamba Tanzania is bigger than JPM na wanasiasa. Tanzania ilikuwepo na itaendelea kuwepo. Kwa hiyo wote tuna maslahi kuona miradi yote inafanikiwa kwa faida ya vizazi vya leo na kesho.

Ukitaka kila kitu kinachofanywa na Magufuli kukiangalia kwa mrengo wa siasa utakuwa disappointed big time!
 
Back
Top Bottom