Kafulila: Ujenzi wa Barabara ya Kulipia (Toll Road) Kibaha-Morogoro kuanza Mwezi wa Februari 2024

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,833
Serikali Kupitia Kamishna wa Miradi ya Ubia PPP David Kafulila amesema ujenzi wa Barabara ya Kulipa njia 4 kutoka Kibaha-Morogoro ExpressWay iko katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi tayari Kwa kuanza Ujenzi mwezi February 2024.

Aidha hapo baadae ujenzi huo unatarajia kufika Dodoma.

===

1703843519229.png

Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi, David Kafulila amesema mchakato wa ujenzi wa barabara ya kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro uko katika hatua za mwisho na kufikia Februari 2024, mkandarasi atapatikana.

Kafulila alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mahojiano maalumu yaliyofanyika jijini hapa.

Katika mahojiano hayo, Kafulila alisema tayari kampuni kadhaa zimeonyesha nia ya kujenga barabara hiyo ya kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro yenye urefu wa kilomita 130 kwa lengo la kupunguza msongamano.

My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kukimbiza mwisho bila Makelele.

Wale ambao Hawaoni Miradi Inayotekelezwa hakuna haja ya kuwaonesha uzuri sio wapigakura.

Mwananchi
 
Serikali Kupitia Kamishna wa Miradi ya Ubia PPP David Kafulila amesema ujenzi wa Barabara ya Kulipa njia 4 kutoka Kibaha-Morogoro uko katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi tayari Kwa kuanza Ujenzi mwezi February 2024.

===

Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi, David Kafulila amesema mchakato wa ujenzi wa barabara ya kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro uko katika hatua za mwisho na kufikia Februari 2024, mkandarasi atapatikana.

Kafulila alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mahojiano maalumu yaliyofanyika jijini hapa.

Katika mahojiano hayo, Kafulila alisema tayari kampuni kadhaa zimeonyesha nia ya kujenga barabara hiyo ya kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro yenye urefu wa kilomita 130 kwa lengo la kupunguza msongamano.

My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kukimbiza mwisho bila Makelele.

Wale ambao Hawaoni Miradi Inayotekelezwa hakuna haja ya kuwaonesha uzuri sio wapigakura.

Mwananchi
Sasa hivi tumebaki na makelele ya majenereta na kelele za wale wa juu wakila Kwa kugombania badala ya kula kimya kimya ili wasiwashtue wale wa kule chini.
 
Back
Top Bottom