wekeni na maelezo ya mwalimu mbona upande mmoja
Wapi huko?Umeacha kujibu kule unakuja kujibu huku!!!
Kabisa, mana hata sisi kiongozi tumesoma na kama mimi mwenyewe nilikuwa bingwa wa kuigiza naumwa kwa mwalimu asiyeelewa ilikuwa ni rahisi kuamini ila wale wazoefu walikua wanajua tu naigiza na ninachezea kichapo mpaka narekebishika na kiukweli walinisaidia mimi pamoja na watoro,na watukutu wengine wengi wao walirudi kwenye mstari ila siyo sasa mwanafunzi anatetewa hata kwa ujinga anaofanya mzazi mwingine anaambiwa kabisa na walimu mwanao anapuliza bange na mlevi pia anasema mnamuonea kama hamuwezi mfundisha semeni nimpeleke kwingine nambie mtoto wa namna hiyo atakuwajeKwaiyo kina JB wamchukue atawafaa
Ah! Unajua ni wapi bhana... kule ambako uliniambia wa kilimanjaro!Wapi huko?
Vp upolisi?Kazi ya ualimu!!!hapana aiseeee
Ni sawa kabisaTufanye dogo anadanganya, ni sawa yeye kushambuliwa na walimu vile?
Hata mimi nataka niwasikilize nataka pia nijue chanzo cha hii storiWatasikilizwa... kwanini wasisikilizwe?! Tofauti ni kwamba mwenye mamlaka ya kusikiliza shauri la jinai ni vyombo vya dola... kwahiyo watasikilizwa mkuu; ondoa hofu! Tena na vile video hata wenyewe si ajabu wanayo! Kwanini mahakama wasiwasikilize!
Hahahadogo analambalamba lips tu kama Diamond hamna kitu hapo!
Kwa jicho la 3 dogo ni mzinguaji hatari,
Mi nna kubali walikosea, ila nataka kukijua chanzo vizuri, kwa sababu haiwezekani dogo naye aanze kupigwa tuu, japo walimpiga vibaya walikosea na sina shda na wata fanywa nini, ila dogo asiachwe kama mtakatifu na yeye utafutwe upande ambao tutaskia ali fanya nini kwanza .Maelezo ya hao walimu ndio yatahalalisha kipigo?
Mie sijali dogo aliwaudhi kiasi gani hao walimu kuna taratibu za kinidhamu za kufuata na sio kumpiga mwanafunzi tena akiwa amebanwa kiasi kile....vipi angekuwa mdogo wako au mwanao kapondwa ngumi kiasi kile?
Hao walimu wanafunzi MUNGU aliwapa kipimo ili washindwe kuwa walimu kamili....maana wangekuwa walimu kamili ingekuwa balaa.Asante MUNGU
Ujue watu wana muweka yule dogo kama mtu asiye na kosa kwenye tukio hilo, na mi naona hiyo hatumtendei haki yeye mwenyewe dogo, sasa kwenye tukio kama hilo ata jifunza nini zaid ya kujiona mshindi tuu!!?Walimu walifanya kosa ila hilo haliondoi ukweli kuwa huyo Dogo ni nunda Wa kutupwa... Kwa waliosoma somo la criminology watakuwa wanajua pa kimuweka huyu Dogo...
Hilo kama lisipojirekebisha na kuvimba kichwa na kauli za wanasiasa wanaolinda matumbo yao miaka si mingi tutaletewa habari zake hapa .....
Jaman hata sisi tulisoma na kufanya vikazi vya hapa na pale... Wanafunzi ambao zaidi ya 80% ambao hutoa sababu ya kuumwa huwa ni waongo wakubwa hivyo hivyo maofisini.... Morphologically na ukimuangalia anavyoongea + darasa lake yaani form two Mimi nampa sifa za kuwa mdogo wake scorpion yule mtoboa macho..
Mnaomtetea endeleeni tu hawa ndio wakikuweka anga zao tunabaki kusema mtuhumiwa akikamatwa anyongwe au apigwe risasi kwenye uwepo Wa watu
LabdaVp upolisi?
Asante sn,labda tudili zaid na kazi na pengine namna ya kuboresha maslahi yetu kwa njia nyingineUkimuangali huyo dogo kweli anatia huruma ila hatujui ni nini hasa alikifanya au kukitamka kwa walimu wake.
Mimi naona the best solution kwa walimu kwa sasa ni kuacha kupiga watoto wa watu mtoto asietaka shule achwe amalizane na mzazi wake.