Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,347
lakini mademu wa dar wengi sura zao zimekoma yaani utafikilia anakunya tofauti na wa arusha watoto walaini mpaka raha..
Umenichekesha sana subiri kiama chako toka kwa wadau uliowakandia lol
lakini mademu wa dar wengi sura zao zimekoma yaani utafikilia anakunya tofauti na wa arusha watoto walaini mpaka raha..
toba ww huyu*2 ama wameiba paswd, bac 2 tpc:its true
Maduu wa Dar es salaam nawakubali ila linapokuja suala la ung'eng'e watoto wa Kiarusha wako vizuri!katika kila maduu kumi wa kiarusha nane kimombo kimelala wakati Dar katika maduu kumi wawili ndo wanatema yai!sijajua kwakuwa Arusha ipo karibu na Kenya au kwakuwa Arusha kuna baridi!manake baridi na kizungu vinaendana
Umenichekesha sana subiri kiama chako toka kwa wadau uliowakandia lol
Ila tendo la kikubwa linanoga zaidi kwa kiinglish kuliko kiswahili, lol! Ung'eng'e upo juu!
Muuza Sura mbona ulipotea sana jukwaani??? Ulifichwa na Kabakabana nini ndiyo ukayajua haya yote????
Kwani kimombo ni nini wakati lugha yao ya Taifa ni Kiswahili?
Ila tendo la kikubwa linanoga zaidi kwa kiinglish kuliko kiswahili, lol! Ung'eng'e upo juu!
harder bby, dont stop bby! push it, in there, ooooohhhhh i like the way u pump it! do it, mmhhh aahhh! nakwambia inanoga balaa! sio 'sukuma, hebu in.gi.za, kandamiza! haihuuuuu bibi wewe!!kitu cha oh baby!there there!ahahahahhahahhahha mke mwenza wa sirini mpana wewe !kha!ahahahhahahhahahhahah
umeona eee mtotowamjini, haiswiii kabisaaaaa! mambo yote lugha za wenyewe!! enzi zangu nilimbabatiza mspaniola wakati nasoma chuo fulani! basi wakati wa mechi ye ananipa za kipasnola mi namiks na lugha ya malkia, utamu unakuja wapi, lugha zote mbili zinapanda, ila mizuka ilivyomkolea nikaona kispaniola kiko juu halafu kinanoga nacho mbayaaaaaa! lugha za weneywe mwanangu acha kabisaaaaa unaweza ukajihisi ndio kwanza unabikiriwa, kumbe lugha tu!ni kweli...sasa umpate bibie kutoka kimanzichana uko nae 6x6 alafu pale kanogewa aanze kuongea kiswahili chake...hee ndo utakoma :biggrin1:
wallahi mpo juu mbaya! ndio machangu wenu ni wa viwango, lol!Sasa uvunje yai kwa akina nani humu? Arusha tunazungumza zaidi ya Lugha tano tofauti na lugha ya mama na haka ka kiswahili. tunazungumza Ung'eng'e, Kihispaniola, Kiitaliano, Kijerumani, Kiarabu (pia tunajifunza kichina, kihindi, kijapani na kireno) Upo?