maduu wa Arusha wako vizuri kwa kizungu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maduu wa Arusha wako vizuri kwa kizungu!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Muuza Sura, Oct 30, 2012.

 1. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Maduu wa Dar es salaam nawakubali ila linapokuja suala la ung'eng'e watoto wa Kiarusha wako vizuri!katika kila maduu kumi wa kiarusha nane kimombo kimelala wakati Dar katika maduu kumi wawili ndo wanatema yai!sijajua kwakuwa Arusha ipo karibu na Kenya au kwakuwa Arusha kuna baridi!manake baridi na kizungu vinaendana
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Acha kuwabagua bhana wadadaz wote ni baab kubwa. Kiingereza sio usomi, ni lugha tu kama lugha yenu ya kinyumbani ilivyo.
  Halafu hapo kwenye red unamaanisha wadada wa kabila la Waarusha au wakaazi wa Arusha?
   
 3. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  huyo alimaanisha wadada wote wa R chuga bila kukosea.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,478
  Trophy Points: 280
  wa dar una maana mabeki tatu au wepi.
   
 5. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Itakua mkoba aka namba 5
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  lakini mademu wa dar wengi sura zao zimekoma yaani utafikilia anakunya tofauti na wa arusha watoto walaini mpaka raha..
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hivi kizungu ni big deal ?
  Sina maana ya kukibeza, kukinyanyapaa or related matter.
  In my clan , we have our grand'ma ambae alianza kazi ya ubeki3 kwa mzungu akiwa kigori , akaja kuacha hiyo job akiwa mzee.
  Bibi yetu huyu anatema nge'nge la Oxford kama si Edinburg unvsty.
  Bt bibi even her name ! Kuandika ni mziki !
  Na ukitaka akususe um'force kuandika ! Bifu lake !
  So far nauliza kutema ngeli is't a big deal ?
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  toba ww huyu*2 ama wameiba paswd, bac 2 tpc:its true
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Bora yako Ciello umekomea kumshangaa !
  Mi na sukari imenidrop na banzi limenishirink !
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wadada wa dar ni full mikorogo huku
  yaani story zao ni jinsi ya kujichubua tu huku mjini cheki huyuJamani tafadhali Usinifate Inbox Ukaniuliza Mkorogo Nautengeneza Vipi?? Ushaskia Wapi KFC Au McDonald Anatoa Siri Ya Recipe Yake ??!! We Ukitaka Nunua, Na Kama Unaona Bei Uliza Wale MaKONKOD WAnaotumia Mkorogo Watakwambia Mkorogo Bei,(Na Wengine Huwa Nakutana Nao LangleyPark (Kariakoo Ya Marekani) Every 2weeks Mtu Anatumia $150 Mpaka $200 Every 2 to 3Weeks) Bongo Yenyewe Tuuu Ukitaka Mkorogo Wa Ki...halat Unaohusu Ni Mpaka Sh.300,000.00 Sasa Sembuse Visenti Change Nnavocharge Mie? Uzuri Gharama Bibi Unataka Kupendeza Tumia Pesa Toa Pesa Thts Y Nawapenda Wateja Zangu Wakipopo Hawalalamiki, Huwa Nnawabamiza Mpaka $150 Mtu Anakuja Ananunua Makopo 5 au sita Na Yeye Ananunua Hapo Anaenda Kuwabamiza Wenzie Anatia $50 Yake Juu... Maisha Ndo Hivo Kama Huwezi Kununua Hiyo wewe Usin'jazie Nziii Riziki Yangu Inaweza Usiisupport Lakini Kuna Wengine Watasupport. PS:TAFADHALI USINILAZIMISHE KUKWAMBIA NTAKWAMBIA VYA UONGO TIA AMIRA BAKING POWDER UKAJA UKAUMUKA USO KAA KITUMBUA CHA MAMA BASHEE, NATENGENEZA KITU YENYE UHAKIKA AM SURE KUNA WATEJA ZANGU WENGINE MSHAWAONA WAKO WAZUNGULISH
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Maduu wa Dar waache kucheza mdundiko kwanza
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  siyo mwenyeji sana dar lakini kila nifikapo dar nikifanya utafiti duuuh vitu vimekomaa akitembea utafikiri gari limekata center bolt..afadhali afhali ukiwa mjini post posta angalau sura chachu ni Siyo nyingi sana..
   
 13. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kutema ngeli issue sana, communication ndo master of all, we huoni unajiita 'judgement' si ungejiita 'uamuzi' kwanza kiswahili kiko weird kweli na hakina misamiati mingi kihivyoo. . .grandma wako ni wa ukweli. . .hata kama hajui kuandika yani the feeling anatema ngenge ni mtaji tosha.
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ila tendo la kikubwa linanoga zaidi kwa kiinglish kuliko kiswahili, lol! Ung'eng'e upo juu!
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,734
  Trophy Points: 280
  Umeshindwa kutoa vielelezo vichache!

  Amani iwe kwako!


   
 16. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ero,ni wewe! Tatizo dar,wadada wengi wanapenda mikorogo!
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kuna ukweli flani nauona hapa kwa Don mangi !
  Alaaa kumbee! Ndiyo maana tunazo mtu such as ;
  > Invisible
  insteadof
  Kisichoonekana.
  > Sweetlady
  insteadof
  Janajiketamu
  > Cute
  instdof
  Mrembo
  > The secretary
  muhtasi
  with so forth
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kitu cha oh baby!there there!ahahahahhahahhahha mke mwenza wa sirini mpana wewe !kha!ahahahhahahhahahhahah
   
 19. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sasa je? Kiingereza kiko 'kingono' i mean 'sexy'. . .
   
 20. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nashindwa ku-imagine waswahili pure wanaropokaga maneno gani. . .hahaha. . .its weird eeh?
   
Loading...