Zinduna JF-Expert Member Nov 6, 2011 2,378 3,379 Oct 31, 2012 #61 cacico said: Zinduna nimekumiss, upo?? waendeleaje lakini?? Click to expand... Nipo bi dada nasongesha tu mujini... Wiki ijayo natia nanga dar salaama, nitaku PM nikifika, nitafikia Msasani kwa shangazi yangu
cacico said: Zinduna nimekumiss, upo?? waendeleaje lakini?? Click to expand... Nipo bi dada nasongesha tu mujini... Wiki ijayo natia nanga dar salaama, nitaku PM nikifika, nitafikia Msasani kwa shangazi yangu
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,441 25,582 Oct 31, 2012 #62 Macos said: 26% ya Arusha hawajui kusoma wala kuandika -ITV Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Mungu mkubwa dahh kwani 74% wako njema kichwani na ung'eng'e kwa kwenda mbele.... Go Ars go Ars...
Macos said: 26% ya Arusha hawajui kusoma wala kuandika -ITV Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Mungu mkubwa dahh kwani 74% wako njema kichwani na ung'eng'e kwa kwenda mbele.... Go Ars go Ars...