Madiwani wengine wawili wa CHADEMA jiji la Arusha watimkia CCM

pesa nyingi ya walipakodi inatumika kuwanunua malofa.
Sasa kama hawa viongozi mlokuwa mkiwaita Makamanda wananunuliwa tungewapaje hii nchi aisee
Nyie wapinzani bado kabisa maana naona wote ni wa kununuliwa tu
Na Kubenea kuwa against system ya chama kanunuliwa?
Zitto mlimuita msaliti nashangaa leo mnamuita shujaa?
Jitafakarini sana
 
Sijaona watu wenye mioyo migumu Kama wewe...kwa spidi ya kuhama unaweza stukia hata Mbowe akahamia ccm ukabaki pekeyako. Viongozi wooote waandamizi wenu wanaondoka wanaenda kumuunga mkono Magufuli. Juzi tuu Prof Safari kawatoka..angalia usije Baki mwemyewe
Kwa CCM hii ilivyo na haina tofauti na club ya mumiani, hata aje Kadnali Pengo na kuniambia Yesu amejiunga na CCM bado sitakwenda huko acha kunitajia Mbowe tuu
 
Nashangaa sana CCM isivyo tumia hata chembe ya akili!
Unashangilia kumrubuni mbunge mmoja akiache chama chake ajiunge na chako kwa mbwembwe, lakini wakati huo huo unapoteza imani ya wanachama 1000 wapigakura na wanakuacha kimya kimya!
Sasa Polepole furaha yake in kuona vichwa vya magazeti vya kumfurahisha kumbe chama kwa ndani kinaoza.
Chadema ni imara sana kwa sasa, hata Waziri mkuu mstaafu wanaweza kumnyima kura tena na ndio/hapana?
😂😂😂😂😂 Sijaona watu wenye mioyo migumu Kama wewe...kwa spidi ya kuhama unaweza stukia hata Mbowe akahamia ccm ukabaki pekeyako. Viongozi wooote waandamizi wenu wanaondoka wanaenda kumuunga mkono Magufuli. Juzi tuu Prof Safari kawatoka..angalia usije Baki mwemyewe
 
Ni mpuuzi mmoja tu atakayetamka maneno ya kipuuzi kuwa Chadema kuna uzandiki. Nasema ni mwehu mmoja hivi
Na si ajabu hujui kuwa hao viongozi ni sehemu ya hao wananchi. Hujui pia kuwa mwananchi wa kawaida anakuwa hajui mengi ya Chadema. Anapokuwa kiongozi ndio anaujua ukweli na uzandiki wa Chadema. Hapo ndio anabwaga manyanga. Hata wewe Tindo ukiwa kiongozi wa Chadema utakimbia tu, labda kama wewe ni MBOWE in pseudo name!!!
 
Kwa CCM hii ilivyo na haina tofauti na club ya mumiani, hata aje Kadnali Pengo na kuniambia Yesu amejiunga na CCM bado sitakwenda huko acha kunitajia Mbowe tuu
We utakuwa mwakilishi wa mashetani..ninawasiwasi Kama utakuwa raia wa Tanzania..sio kabisa
 
Mashabiki wa Chadema waje hapa waeleze ukweli kama wanapinga?
 
Ni mpuuzi mmoja tu atakayetamka maneno ya kipuuzi kuwa Chadema kuna uzandiki. Nasema ni mwehu mmoja hivi
Hahahahah achana na uzandiki..na je CAG aliyesema Kuna ufisadi wa mabilioni kwenye chama hao unawaitaje jomba..
 
Ni mpuuzi mmoja tu atakayetamka maneno ya kipuuzi kuwa Chadema kuna uzandiki. Nasema ni mwehu mmoja hivi
Hivi hamuoni aibu kutamka chademaa mbele ya watu, jomba si mumuulize wajameni hata Prof Safari au PM Sumaye, au Basi Kubenea au Basi Komu mujue undani wa chama chenu..shame....on yuuu
 
Hivi hamuoni aibu kutamka chademaa mbele ya watu, jomba si mumuulize wajameni hata Prof Safari au PM Sumaye, au Basi Kubenea au Basi Komu mujue undani wa chama chenu..shame....on yuuu
Hahahaha Dogo tulia wewe, hatuna haja ya kuwauliza hao, wewe pata picha tu ya uchaguzi serikali za mitaa! Tamko moja tu ambalo halizidi hata page moja, wananchi wote wakatii hadi wewe mwenyewe....
 
Nilidhani wewe ni mchadema kumbe uselemani Jafo!

Mkuu mimi ni Mtanzania kwanza,sina chama chochote. Maslahi ya Tanzania kwanza unaweza kuangalia michango yangu tangu 2006. Kama Chadema au CCM wanafanya jambo lolote zuri kwa Tanzania nita-wasupport kwa nguvu zote.
 
Hahahaha Dogo tulia wewe, hatuna haja ya kuwauliza hao, wewe pata picha tu ya uchaguzi serikali za mitaa! Tamko moja tu ambalo halizidi hata page moja, wananchi wote wakatii hadi wewe mwenyewe....
Daaa jomba unajidanganya..waulize kwanza hao kabla hujakimbilia huko..Sasa unasema wametii kivipi wakati Kuna wanachama wenu wengine wamechukua nafasi zao Kama kawaida..hawakususia Kama chama kilivyosema..hao mtawafukuza uanachama au..unasema wananchi watii Nini Kama mlishasema mmegomea, Nani aje kituoni .au hujui maana ya kupita bila kupingwa..hahaa
 
Back
Top Bottom