digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,401
- 22,956
Taratibu mpaka chaduma atafutika katika historia ya chama kikuu cha upinzani
Na si ajabu hujui kuwa hao viongozi ni sehemu ya hao wananchi. Hujui pia kuwa mwananchi wa kawaida anakuwa hajui mengi ya Chadema. Anapokuwa kiongozi ndio anaujua ukweli na uzandiki wa Chadema. Hapo ndio anabwaga manyanga. Hata wewe Tindo ukiwa kiongozi wa Chadema utakimbia tu, labda kama wewe ni MBOWE in pseudo name!!!
Pascal si kweli kuwa wanaohamia CCM hivi sasa wanaona mbali, la hasha. Hawa Ni wabinafsi, wapenda vyeo na walio tayari kuisaidia CCM katika azma yake ya uroho wa madaraka. Kumbuka katika suala la madaraka ya dola CCM iko tayari si tu kuvunja Katiba ya nchi bali pia kuua wapinzani wake na Watanzania kwa ujumla!!!Mimi kila nikisikia kiongozi yoyote wa upinzani amehamia CCM, nasisitiza wasibezwe, wameona mbali.
P![]()
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Leteni ushahidi wa wanachama wa CCM wanaohama kimya kimya kwenda vyama vingine.Nashangaa sana CCM isivyo tumia hata chembe ya akili!
Unashangilia kumrubuni mbunge mmoja akiache chama chake ajiunge na chako kwa mbwembwe, lakini wakati huo huo unapoteza imani ya wanachama 1000 wapigakura na wanakuacha kimya kimya!
Sasa Polepole furaha yake in kuona vichwa vya magazeti vya kumfurahisha kumbe chama kwa ndani kinaoza.
Chadema ni imara sana kwa sasa, hata Waziri mkuu mstaafu wanaweza kumnyima kura tena na ndio/hapana?
Kuna sababu lukuki za kutojiandikisha kubwa ikiwa mgombea hana mpinzani, ya nini kupoteza muda wako maana atashinda tu. Tunajiandikisha iwapo kuna ushindaniHuko cdm wanahama viongozi tu, wananchi wala hawako nao, ndio maana idadi ya kujiandikisha kupiga kura ilikuwa ndogo ajabu.
Kuna sababu lukuki za kutojiandikisha kubwa ikiwa mgombea hana mpinzani, ya nini kupoteza muda wako maana atashinda tu. Tunajiandikisha iwapo kuna ushindani
Kufikia 31/12/2019 atakuwa amebaki Godbless Lema peke yake!Hii imetokea Leo tarehe 6/12/2019 hii ni Taa nyekundu kwa CHADEMA
Ni kosa kuwasemea watu, mawazo yako hayawezi kuwa ndiyo mawazo kwa jamii nzima. Achana na fikra potofuSio kwa Arusha. Siasa za kishenzi za jiwe ndio sababu fullstop.
Hahahahahahah 😀😀😀😀😀😂😂Mwenyekit wa kudumu anasemaje tuko imara kuliko wkt mwingne wwte
😂😂😂😂😂 Sijaona watu wenye mioyo migumu Kama wewe...kwa spidi ya kuhama unaweza stukia hata Mbowe akahamia ccm ukabaki pekeyako. Viongozi wooote waandamizi wenu wanaondoka wanaenda kumuunga mkono Magufuli. Juzi tuu Prof Safari kawatoka..angalia usije Baki mwemyeweNashangaa sana CCM isivyo tumia hata chembe ya akili!
Unashangilia kumrubuni mbunge mmoja akiache chama chake ajiunge na chako kwa mbwembwe, lakini wakati huo huo unapoteza imani ya wanachama 1000 wapigakura na wanakuacha kimya kimya!
Sasa Polepole furaha yake in kuona vichwa vya magazeti vya kumfurahisha kumbe chama kwa ndani kinaoza.
Chadema ni imara sana kwa sasa, hata Waziri mkuu mstaafu wanaweza kumnyima kura tena na ndio/hapana?
nampataje mzee Slow slow nataka kuchukua changu mapemaMimi kila nikisikia kiongozi yoyote wa upinzani amehamia CCM, nasisitiza wasibezwe, wameona mbali.
P![]()
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
biashara ya utumwa imerudi kwa sura tofautiKuna upotevu wa shs 2.4 trl serikalini zitakuwa zinanunua watu
Wewe Utafaidika na nini? Jiulize huo upinzani ndio unaoleta umasikini kwa Taifa?Taratibu mpaka chaduma atafutika katika historia ya chama kikuu cha upinzani
Mimi kila nikisikia kiongozi yoyote wa upinzani amehamia CCM, nasisitiza wasibezwe, wameona mbali.
P![]()
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Mngekuwa mnawanunua na waliowapigia kura ningewaona mna akili sana, lakini mnanunua waliopigiwa kura wakati mnajua wenye maamuzi ya mwisho ni wananchi!, na huko Arusha nyie nunueni tu, si hamna kumbukukumbu kilichowapata mwaka ule mlionunua halafu kwenye uchaguzi mdogo hamkuamini kilichowapata, na safari hii hamtaamini tena.
Chama kinachojiita kikongwe barani Afrika kutwa kununua wapinzani wao, ajabu sana!, na msijitetee hamuwanunui, kwanini muwarudishe kugombea nafasi zao kwani ccm hamna watu wakugombea hizo nafasi?!
Nani kakwambia wananchi hawako nao, ndivyo mnavyojipooza eh. Subirini 2020, mje na kisingizio chenu cha kuibiwa kura.Huko cdm wanahama viongozi tu, wananchi wala hawako nao, ndio maana idadi ya kujiandikisha kupiga kura ilikuwa ndogo ajabu.