Madiwani wengine wawili wa CHADEMA jiji la Arusha watimkia CCM

Daaa jomba unajidanganya..waulize kwanza hao kabla hujakimbilia huko..Sasa unasema wametii kivipi wakati Kuna wanachama wenu wengine wamechukua nafasi zao Kama kawaida..hawakususia Kama chama kilivyosema..hao mtawafukuza uanachama au..unasema wananchi watii Nini Kama mlishasema mmegomea, Nani aje kituoni .au hujui maana ya kupita bila kupingwa..hahaa
Hahahahaha ngoja nifurahi! Kupita bila kupingwa? Haya
 
Mbona unaogopa kusema uko chama gani.

Labda hufahamu kuwa member wa chama ina maana gani? Kwanza kuwa member lazima uwe na kadi ya chama ambacho wewe ni member, pili lazima ukubaliane na yale yaliyomo kwenye sera za hicho chama na miiko yake nk. Sasa usitake kuwalazimisha watu kuwa ni member a chama flani wakati wao wanakwambia sio member wa chama chochote. Lazima utambue kwamba Tanzania kuna wananchi wengi ambao hawana vyama na watapiga kura liwalo na liwe. Sasa msianze kuwalazimisha watu au vikundi kuwa wanachama wa chama chochote kile. Grow up and make your case/opinion count, do not think for a second that somebody who does not have a party does not have a say or is biased?
 
Hahahaha Dogo tulia wewe, hatuna haja ya kuwauliza hao, wewe pata picha tu ya uchaguzi serikali za mitaa! Tamko moja tu ambalo halizidi hata page moja, wananchi wote wakatii hadi wewe mwenyewe....
Acha huyo hata magu akatangazia kanisani kuwa haendi "maana wapiga kura kituoni hawazidi wanne"
 
Mkuu mimi ni Mtanzania kwanza,sina chama chochote. Maslahi ya Tanzania kwanza unaweza kuangalia michango yangu tangu 2006. Kama Chadema au CCM wanafanya jambo lolote zuri kwa Tanzania nita-wasupport kwa nguvu zote.
unamaanisha wewe ni popo!
 
Tuko mbioni kutaja pesa alizolipwa Kalist , akaunti zilikopitishwa na zilikotoka
Mkuu ujue utabaki pekeyako. Tunaomba mkanushe kwa vitendo yanayotamkwa hapa. Acheni kuburuza watu. Yanayoendelea ndani ya chama ni mazito. Tuweni wakweli na wawazi kwa masilahi ya vizazi vijavyo. Kuna mjumbe mwingine atajitoa muda wowote, tunaburuzwa mno, chama kimekuwabmali ya watu wachache, nmefungua ID kuna jambo ntaliweka wazi jumatatu siku ya Uhuru. Bora niwe huru.
 
Wanaongozwa na matumbo tu.
Mimi kila nikisikia kiongozi yoyote wa upinzani amehamia CCM, nasisitiza wasibezwe, wameona mbali.
P
 
Back
Top Bottom