Mkuu,
Sidhani kama ninaweza kuwa mwanasiasa wa hovyo kiasi hicho...Hebu leta post yoyote inaoonyesha msimamo wangu kuhusu suala la Arusha umetofautiana.Kumbuka mimi nilikuwa wa kwanza kabisa kupinga hilo suala la muafaka jinsi lilivoendeshwa,Siku zote kwenye negotaiation lazima uangalie ni concession gani zinatolewa,ni lazima uangalie wewe unaleta nini mezani na wewe unachukua nini? Jamani hauhitaji kuwa na Masters Degree ya Diplomacy na the art of negotiation kujua hili...hili suala si mchezo ati,CHADEMA ndiyo yenye gharama kubwa zaidi kuleta mezani guess ni gharama ganai hiyo?......
Kuna mwandishi mmoja ambaye kwa bahati mbaya sana JF mmekuwa mkimuona mwanaharakati wa kweli alijenga hoja dhaifu juu ya umuhimu wa muafaka ule na kuniuliza ni nini msiammao wangu,nilimpa majibu na majibu yale yale ndiyo niliyoyaandika kuhusu hili suala la Arusha.No wonder kwenye gazeti lake linalochafua watu kila siku hajaandika anyathing kuhusu hilo,ni aibu tu.hakuna kitu kibaya kama mtu kuwa shabiki.Ninaamini ninachokisema
Sasa leta hoja yoyote ambayo unaona nimetofautiana kimsimamo ,au labda nikupe benefit of doubt kwamba huelewi hoja ninanzoziandika...you need to chew and digest.Good day....!
Comrade Chief Mkwawa,
Thanks alot.Atleast wewe umeonyesha maturity na ustaarabu kwa kukiri hujanielewa....
Kuhusu hili jambo la muafaka msiamo wangu uko very clear katika post zote kuhusu suala la muafaka. Sasa kuhusu hoja za madiwani mbona hazijadiliwi?Suala la Muafaka madiwani kwa kweli hawakuliendesha vizuri na hilo suala nimeshalisema,haki inastahili kutendeka basi.
Madiwani nao wana madai yao pia ni lazima wasikilizwe,na chama kichore mstari.....umakini na busara za hali ya juu zitumike.Anyway,maamuzi yataamuliwa kwa mujibu wa katiba,ndiyo maana nikawaambia watu wavute subira au wajenge hoja nzito dhidi ya wale wanaowatetea madiwani.kuna madai ya personal issues nk.Hizi squables zinawanufaisha CCM zaidi,ni lazima tuwe waerevu kisiasa.Kila mtu aliyehusika kurudisha nyuma jitihada za CHADEMA ni Lazima awajibishwe,siyo madiwani tu na wengine wote waliohusika in the process hata awe nani,chama ni kikubwa kuliko diwani,mbunge,makatibu,wenyeviti na hata wakurugenzi wa idara za chama...that is my position !
Nakushukuru sana kwa kujenga hoja mkuu,umetofautiana na wengi waliokuwa wanatukana na wengine.Niliawaambia hiyo siyo identity ya chadema jamani.
Ni kweli Comrade ,sijui tunataka kumnufaisaha nani kwa hizi squables. Kashfa ya Rushwa ni mbaya sana kama kuna ushahidi.Kama hakuna ushahidi basi hapa kuna jambo na hatua za KINIDHAMU zichukuliwe ,muafaka wa holela bila kufuata taratibu na wide consultation kwa maslahi ya umma ni mbaya zaidi....!
We have locked ourselves in the sanctuary for too long a time, fasting, praying and preaching for Strong oppostion camp to put the government in check and ensure good governance in our nation. That in itself is not evil, but, we need to do more as the salt of the earth and the light of the world. It is time for the true change-mongers to come out of the closet and rebuild ancient ruins.Do not let our personal ambitions overshadow institutional ambitions and Legacy!