Madiwani wa CHADEMA Arusha wagawanyika

Mzee wa Maono,

Pamoja na kwamba kuna wakati huwa unaniudhi sana hadi nikafikia hatua ya kufikiria hauna mapenzi mema au haututakii mema mimi na chama changu ninachokipenda,but hapo kwenye Red nashukuru kwa kunielewa.

My position is, justice has no boundary

Yaani Ben sio wewe tu ndugu yangu,
huyu bwana amenishangaza sana hata mimi.
But kondoo akipotea hurudi kundini na kupokelewa
 
kupokea rushwa c lazima iwe pesa bali hata madaraka aliyopewa ni rushwa kwa kuaw hayapatikan kihalali bila kuffuata utaratibu, anahitji ushaidi wakati cheo chake tuu ni rushwa,

Heshima kwako Mwinukai.

Mkuu labda turejee darasani kidogo.Unapomtuhumu mtu kwa kuchukua rushwa bila uthibitisho hiyo ni "Defamation" kutoa kauli /taarifa zenye nia mbaya ya kumchafua mbele ya jamii.Defamation ziko za iana mbili Libel na slander.Matamshi ya Lema,Dr Slaa na wewe dhidi ya madiwani Arusha ni Libel.

Kamati ya Jasusi na Mwansheria mahiri Mabere Nyaucho Marando ilibaini muafaka baina ya CCM na CHADEMA hapakuwepo na rushwa.Kama kamati imethibitisha rushwa haikuwepo Dr Slaa na Lema walikuwa na wajibu wa kuwaomba radhi madiwani "Offer of amends that is publication of a suitable correction of words complained of and an apology to the madiwani concerned".Jambo hilo halikufanyika badala yake madiwani wanatakiwa wajiuzulu nyadhifa zao bila kusafishwa.Madiwani wakijiuzulu bila kudai haki yao ya kusafishwa hakika hakuna mwananchi wa kawaida atakaewaamini hawakuchukua rushwa.
 
Hapa naona suala sio vyeo tena bali suala limebadilika na limekua ni suala la heshima baina ya viongozi wao wenyewe, kwani madiwani wanaomba waombwe radhi kwa kuchafuliwa kwa tuhuma wanazodai hawahusiki nazo, na uongozi wa kitaifa unawataka wao wachue hatua ya kujiweka safi kwa kujivua hayo madaraka na kuomba radhi kwa umma, hapa ndipo penye utata na mvutano kwa sasa!!
Ushauri wangu ni kwamba, ungozi wa taifa unatakiwa uwe makini sana na hili suala kwani hii ndio njia ccm wanayotarajia kupitia, sio kwa kuogopa kuwafukuza ila nao wana haki ya kusikilizwa, tume kama iliundwa ichunguze, hiki ndicho chombo cha mwisho cha kueleza ukweli, hapa naona kuna vita kubwa kati ya mbunge na hawa madiwani tena ni vita isyojificha, ni vita ya sauti ndani ya arusha ni vita ya kutaka kuheshimika kuliko wengine ndani ya arusha ni vita ya kuwa juu zaidi ya wengine ni vita inayochochewa na vitisho/vivuno vya mtu kuwa karibu na viongozi wa juu kuliko wengine.
Hebu tuheshimu matokeo ya tume, hebu tuache kusoma upepo wa siasa, mimi siungi mkono muafaka huu lakini tusiwahukumu watu wachache tu kumbe nyuma kuna kitu zaidi.
LEMA NARUDIA TENA MVUTANO WAKO HAWA MADIWANI NI FEDHEHA KWA CHAMA NA TAIFA.
Nakuhakikishia suala hili ni dogo sana kwa Chadema wala si la kitaifa litakwisha na hutaamini,
hebu tuambie baada ya tume kusema hakukuwa na vitendo vya rushwa ilishauri nini na nini kinaendelea,
baada ya Malla na wenzake kukabidhiwa barua walitumia njia gani au vikao gani vya chama kujibu,
Malah alikpoitisha waandishi wa habari ilikuwa njia sahihi kwake kufanya hivyo?
je wakati anaongea na waandishi alikuwa anajibu barua ya Kamati kuu au majibizano ya magezetini kati yake na Lema.
Baada ya kujiuliza haya utajua nani anafuata misingi ya chama na nani ni mtovu wa heshima.
 
MADIWANI saba kati ya 11 wa Chadema jijini hapa wamegoma kujiuzulu nyadhifa zao au kuomba msamaha kama walivyotakiwa kufanya na uongozi wa juu wa chama hicho. Miongoni mwa waliogoma ni pamoja na Naibu Meya wa Jiji la Arusha, Estomih Mallah ambaye jana aliongoza vikao vya Halmashauri ya Jiji. Hata hivyo, madiwani wanne waliomba msamaha kutokana na kukubali mwafaka na madiwani wa CCM wiki tatu zilizopita. Madiwani waliogoma walisisitiza, kwamba hawatatetereka hadi uongozi wa juu wa chama hicho utakapowasafisha kutokana na kuwatuhumu kuhongwa na CCM ili waridhie mwafaka wa CCM kuishika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Madiwani walioomba msamaha ni Ephata Nanyaro wa Kata ya Levolosi, Isaya Doita, wa Ngarenaro na wawili wa viti maalumu, Viola Lazaro na Sabina Francis. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana, Mallah alisema hakulazimishwa wala kushurutishwa na mtu au kiongozi yeyote kufikia mwafaka na CCM, bali ni utashi na mawazo yake ni namna gani anaweza kuwatumikia wananchi wa Kata yake ya Kimandolu. Alisema kila diwani alikuwa na kila sababu ya kutaka mwafaka kwa maslahi ya wakazi wa kata waliyochaguliwa juu ya maendeleo, lakini kwa sababu watu wanataka migogoro ya mara kwa mara ili waweze kufaidika, hilo kwao kama madiwani halina sababu ya msingi. ‘’Mimi niko tayari sasa kwa lolote, kwani sioni sababu ya kuomba msamaha kwa kitu ambacho naona natenda haki kwa maslahi ya wakazi wa Kata yangu,’’ alisema Mallah. Akizungumzia kushiriki kikao cha Baraza la Madiwani jana, Mallah alisema yeye kama Naibu Meya ameshiriki kikamilifu na madiwani wengine `wasio na woga’ katika kikao hicho. Mallah alisema katika kikao chao cha jana, mambo mengi ya msingi yamezungumzwa katika kuleta maendeleo katika Jiji la Arusha, hiyo ndio kazi ya diwani na si kuzusha mgogoro. Wakati hayo yakiendelea Arusha, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa alisema amepokea barua kuhusu sakata la madiwani wa Arusha. Akizungumza kwa njia ya simu jana, Dk. Slaa alisema alipokea barua (hakutaja idadi) saa tatu asubuhi na kuahidi kutoa taarifa baada ya kuzifanyia kazi. Alisema kwa kuwa suala hilo linahitaji umakini wa hali ya juu, anahitaji muda wa kutosha bila kuingilia ratiba yake ya mikutano ya hadhara ambayo anatarajiwa kuifanya leo na kesho. “Tafadhali naomba mnipe muda, kwani suala lenyewe ni zito na linahitaji muda wa kutosha kulijadili na kutoa uamuzi … nitatoa taarifa kamili baada ya kuifanyia kazi barua niliyopokea,” alisema Dk. Slaa ambaye chama chake awali kilipinga kumtambua Meya wa Jiji la Arusha kutoka CCM, Gaudence Lyimo. Chadema ilimkataa kwa madai kuwa uchaguzi wake haukufuata utaratibu na misingi ya haki. Pamoja na madai ya Lema ya usaliti kutokana na mwafaka kutokuwa na baraka za viongozi wa juu wa chama, madiwani hao waliendelea kudai kuwa uamuzi wa kumkubali Lyimo ulizingatia maslahi ya wananchi wa kata zao na Jiji la Arusha na si vyama.
Ni hivi madiwani wa CDM wamehongwa cheo cha naibu Meya Arusha wakakubaliana na huo muafaka...nieleweke sikatai kwa pande zinazosigana kufikia muafaka...issue ni zinafikiaje huo muafaka?Hakuna njia mbaya ya kufikia muafaka kama kutumia rushwa in any of its mny forms..ikumbukwe kuwa rushwa iko ya aina nyingi mfano fedha cheo au upendeleo fulani. Madiwani husika wanajaribu kufisafisha kwa hili la kupokea fedha lakini hili la cheo cha naibu Meya sijua wanajisafisha vipi?Tukumbuke kuwa sababu za CCM kushinda umeya tuliambiwa kuwa namba yao ilikuwa zaidi ya wajumbe wa CDM, kama hivyo ndio what are chances kuwa nafasi ya unaibu isiende CCM...(partisan voting)ili linatuonyesha kuwapo makubaliano kuwa CDM wachukue nafasi hiyo..hii ni corruption tu.
 
Nakuhakikishia suala hili ni dogo sana kwa Chadema wala si la kitaifa litakwisha na hutaamini,
hebu tuambie baada ya tume kusema hakukuwa na vitendo vya rushwa ilishauri nini na nini kinaendelea,
baada ya Malla na wenzake kukabidhiwa barua walitumia njia gani au vikao gani vya chama kujibu,
Malah alikpoitisha waandishi wa habari ilikuwa njia sahihi kwake kufanya hivyo?
je wakati anaongea na waandishi alikuwa anajibu barua ya Kamati kuu au majibizano ya magezetini kati yake na Lema.
Baada ya kujiuliza haya utajua nani anafuata misingi ya chama na nani ni mtovu wa heshima.
pumba
kama sio la kitaifa kwanini slaa ameeingilia.

huyo diwani ameambiwa amechukua rushwa ulitaka ake kimya ili kila mtu afikiri amechukua rushwa.

ukimwaga ugali wenzako wanamwaga mboga zoezi la kula liendelee.

kiongozi wa juu wa chama anaita wenzake wezi bila ushahidi. uongozi gani huo
 
Ben

Unaonekana wewe si tu mnafiki kama wengi wanavyosema bali pia huna heshima kwa wazee wa chama na viongozi wako wakuu. Nakumbuka mara baada ya kuenguliwa BAVICHA ulikuja na maneno mengi ya kuishutumu ile kamati ya wazee ukasema hukubaliani nayo na ukaahidi kutafuta haki sehemu yeyote kupinga (mahakamani?). Katika suala hili la madiwani unaonekana kujificha kwa mgongo wa kuwa huungi mkono upande wowote lakini kutokana na maelezo yako mengi wengine tumekuelewa kwanini unajificha kutokana na matukio ya nyuma.

Katika sakata hili kuna mambo makuu mawili utovu wa nidhamu na vitendo vya rushwa. Tume ya Marando imesema hawakugundua rushwa lakini si kwamba rushwa haikuwepo kutopata evidence si kwamba tukio halikutendeka, tume ikashauri wajiuzulu kwa utovu wa nidhamu yaani kwenda kinyume na katiba na misingi ya chama hawakutakiwa kujiuzulu kwa kosa la kutoa rushwa. Hiyo ni kesi moja kesi nyingine ni ya Lema kuwatuhumu kuwa walikula rushwa na Mallah kujibu kwa kuita waandishi wa habari, hii kesi ya pili ni ya kibinafsi zaidi haina maslahi kwa chama ambayo nafikiri wewe na Ngongo ndiyo mnayoishadidia.

Nje ya topic, ben nakuomba utulize akili yako siasa za chuoni ni tofauti na siasa za uraiani na majukwaani vinginevyo usipokuwa na mshikamano na viongozi wako kwa kujifanya 'unajua sana' kuwazidi waliopo wakiwemo wazee wa chama hutafika popote utaishia kuwa na siasa za kina Mrema sijui kama unapenda Mrema awe political model wako.

FeedBack,

Thanks alot for your opinion.I really appreciate your views.

Please can you do credibility a favour ,njoo na evedence kuhusu hilo suala hapo kwenye red.kuhusu suala la Bavicha majibu yake hayana tofauti na niliyompa mchangiaji mmoja Miss parliament.Tazama hapo chini.

Hapo kwenye blue,ni kitu gani nimeshadadia?Tafadhali naomba hapa unitake radi mimi huwa natoa mawazo huru mkuu,sijali chochote na sitaki kuwa mateka wa fikra.kama Ideas zangu na za kwake ziliendanan that's merely a coincidence.sina hati miliki ya mawazo.

Kuhusu suala la nidhamu kwa wazee na wakuu wa chama,naomba nikwambie kwamba nina nidhamu ya kutosha kabisa ndiyo maana siandiki mambo mengi kwenye hii mijadala otherwise ningekuwa huko kamati kuu ya chama changu ndiyo ingetangazwa kama nidhamu ninayo ama sina.
Hiyo nidhamu unayotaka kuihubiri hapa siitaki kwa sababu naona unataka kunifanya mateka,sitaki nidhamu ya woga.Ningekuwa kwenye vikao vya ndani vya chama changu na wewe ukawa mwanachama ningekuwa kwenye position nzuri zaidi ya kuonyesha aiana ya nidhamu niliyonayo kwa wakuu wangu wa chama.Ila nidhamu ya kinafiki sina kama ni8 mapungufu basi nayakubali

kuhusu mrema kuwa role Model wangu,naomba nikuambie kwamba ikiwezekana nitakubali awe role mode wangu kama ni kusimia kile ninachokiamini,hata kama ungemtaja Hitler au Stalin, i dont care as long as we share the same spirit.Watanzania ndiyo watakaomua,wanaonifahamu kwa karibu ndiyo wanajua ukweli halisi.Hata kama itaniua kisiasa,siogopi hivi vitisho .Demokrasia ikishindwa kuna njia nyingine...i dont saccumb to pseudo -democracy anyways.So let me spare you buddy

Kuhusu saiasa za vyuoni:kuna tofauti gani kati ya siasa hizo na hizi?tofauti ni kwamba nilikuwa nabanwa na sheria za chuo na pia sheria za kuwa mwanafunzi wa kigeni tu,otherwise mazingira ya siasa kwa nchi niliyokuwa yalikuwa mazuri.Yamepiga hatua kidemokrasia kwa vyama vya upinzani,chama tawala na vyuoni.Ndiyo maana Nape aliposhindwa siasa kule kaja kuonekana Lulu na CCM,hatutaki kufika huko.chadema hatuko desparate kiasi hicho

Feedback,nakushauri ufuatilie hiyo link hapo chini unielewe kabla hujafanya conclusion.Msimamo wangu juu ya muafaka wa arusha uko huko kwenye hiyo link pamoja na matusi yote niliyotukanwa na pro-CCM especially the so called Jenifa.

Hebu tujitahidi kuandaa mazingira ya haki bila ubinafsi,dhuluma wala ukandamizaji.Hili suala la Arusha linahitaji subira,busara na maamuzi yatakayozingatia maslahi ya Taifa letu,damu iliyomwagwa na kuhakikisha heshima ya chama chetu na legacy ya hoja na misimamo kama chama kinachosubiri muda kuchukua Dola.We need to stick to the principles of conflict resolution.tusiwape CCM chance ya kuwaaminisha wananchi kwamba sisi ni hovyo,tusiwape CCM chance ya kutupeleka wanavyotaka,tusiwape CCM chance ya kutumia mapungufu ya madiwani wetu,mbunge,wanachama na viongozi wake kujiandalia mtaji na kujenga taswira mbaya dhidi ya chama chetu.Tuache nidhamu ya woga,tuwe na nidhamu ya kweli...tusike kule walikofika CCM kwa sabubu ya nidhamu ya woga na unafiki

Jibu hili nilimpa Miss parliament kwenye mjadala baada ya kunituhumu kwamba niko vitani na Lema kwa sababu hakuwa kambi yangu uchaguzi wa bavicha,nilishangaa na nikampoa jibu ambalo naona ni relevant hata kwako mkuu,samahani kama kutakuwa na masahihisho yoyote ila sitaki kukukwaza mkuu.

Bofya hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...iwani-wa-chadema-arusha-lema-anahusika-2.html
au nikupe briefly hapa .....

Miss Parliament,

unaweza kuthibitisha hayo uliyoandika? sijui ni kitu gani kinakukera.uko obsessed sana na majina ya watu....Let us give the mass what they deserve.Change ndiyo tumaini na matamanio ya watanzania.Hawako interested kusikia unayoandika hapa.

Unless a man has been humiliated and managed to keep his head high we really do not know how he would respond to such circumstances. Winston Churchill and Abraham Lincoln were men who knew numerous defeats,exploitation,oppression and humiliations and from them learned how to manage precarious situations where men's vanity is at stake.So do I and managed it admirably. I will not show anger at anybody,dont expect that from me. I will not go about bearing grievances and seeking vengeance for the attack on my pride.Whatever is happening/happened I took it on the chin like a good soldier should and lived to fight another day. Iam not petty at all.

Tujikite kwenye sensible debate,let us spend our time,energy and other resources prudently!have fun on your own,afterall unajificha kwenye ID fake......wewe sio mwanachama wa kweli,huna dhamira njema na sisi.Good job though! Hebu nitoke kwenye huu mjadala kuna mijadala mingine
 
Jibu hoja za madiwani usilete porojo JF, watu wanataka data! Mipasho nenda Facebook
umeamua kureply kwa ID yako nyingine FAIZA FOXY.kwani we unataka data gani.?hao madiwani hupuuzi wanaoufanya uko Arusha nao unaitaji data kutambua ni upuuzi? Hii demokrasi-kichaa ya CCM akishindwa analazimisha kuunda umoja wa maridhiano mnayojaribu kuitetea uku mkisahau mazoea ujenga tabia nayo inaitaji data kutambua ni upuuzi??ni heri cdm ikabaki na wanachama/viongozi wachache lakini wanaishi na kufata falsafa ya chama kuliko kuwa na wakereketwa lukuki wasiotofautiana na ccm,nitawaheshimu kwa hilo..wafukuzwe wote ata wakipoteza jimbo potelea mbali lakini sio kuwa ccm b na watakuwa wamesimamia wanachokiubiri
 
Heshima kwako Rweye,

Mkuu naomba kutofautina na wewe kidogo hasa kwenye maandishi mekundu bold.

Mkuu madiwani waombe msamaha kwa kosa gani ?.wametuhumiwa walichukua kitu kidogo tume ya Wakili Marando imebaini hawakupewa rushwaa.Anayetakiwa kuombwa msamaha ni madiwani kwasababu ya udogo wa wao au ni katibu mkuu na mbunge wa Arusha kwasababu ni wakubwa ?.Naomba jibu hivi kuna ugumu gani Lema na Dr Slaa kusema samahani tulipotoka !.Ukikosea haijalishi unacheo gani mbele ya sheria Dr Slaa hana kinga Lema angeyasemea maneno hayo bunge angepewa kinga ya kutoshtakiwa mahakamani "occation of absolute privilage".

Hapa ishu ya muhimu ni kuomba msamaha,unapokuwa mtoto ukakosewa na mkubwa na ukalazimisha akupigie magoti na kukuomba msamaha hata kama kakukosea wewe mtoto utakuwa na shari,madiwani kushindana na uongozi wa juu wa chama ni kwa faida ya nani?je hii si ndo kama mfano wa mtoto nilioutoa hapo juu?

Kwa faida ya chama unatakiwa kuomba msamaha,hata kama utakuwa umekosewa hii baadae inaweza kuonyesha busara zako kwamba mbele ya chama masrahi ya chama yanatangulia kwanza siyo misimamo yako,ili mwishowe iweje?ili uonekane super dhidi ya chama?na hivi wakati hiki chama kimeanza huyu diwani alitegemewa ili awe nabii kwenye chama?wewe wa chini kushindana na juu kimaamuzi ni nini?

Hapo juu 'Ngonini' umenene vyema,hatuhitaji vilaza wa hivi chadema...ktk somo la Organization Management kuna 14 scientific management principles,m1wapo inasema hivi ,subordination of Individual interests over organization interests,nadhani hawa madiwani waelewe ya kuwa chama kiko juu yao na kama wanataka kuwa juu ya CDM basi hawatufai kukaa CDM,waondoke waende kwingine
 
mkaka ben.

ushauri wa bure siasa za kwetu zinatanguliwa na unafiki asilimia 120.

kama unataka ufanikiwe chadema ondoa busara na logic tumbukiza unafiki kiasi. kama huwezi baki kama sisi ambao magamba na magwanda hawatuyumbishi.

vinginevyo nenda magamba. wao ukisema ya kuwapinga hawatakusikiliza lakini pia hawatakuadhibu. watadharau kimya kimya kama wanavyofanya kwa sita.

hao magwanda ukisema tofauti na wazee wa chama jua mwisho unakaribia. labda uwe na nguvu kama zito.

na vibaraka wao hapa jf ndio balaa kabisa. wametumwa kutukana watu ili jioni wakapewe ujira wao.

ukiendelee kusema sema sana wazee watakuadhibu sana.

uongozi bora ni pale mkubwa anapomheshimu mdogo na mdogo naye humheshimu mkubwa. hata mtoto ukimtukana kila siku kwamba ni kikojozi siku moja atakuambia na wewe baba kikojozi. hawa wazee wa chadema wanaua demokrasia ya chama.

Jenifa,

Asante...Najua wewe ni pro-CCM( tafadhali nisamehe kama nimekosea).Mimi ni mwanachama hai kabisa wa chadema.

Kitu ambacho sitaki ni kwamba sitaki na wala sifurahii kuwa na nidhamu ya woga na sitaki tufike kule tulikofikishwa na CCM.Leo hii Makamu wa Rais anashindwa kumuwajibisha katibu mkuu wa wizara ya Nishati na madini kisa Rais yupo nje ya nchi.Katiba inampa mamlaka Makamu wa Rais kukaimu madaraka ya Rais akiwa hayupo...Nidhamu ya woga imetufanya tushindwe hata kufikiri na kutoa maamuzi kwa mujibu wa sheri na katiba(sheria mama ya nchi).No this cannot be !

Bado demokrasia yetu ni changa ( au Imedumaa sijui tafsiri sahihi hapa ni ipi), lakini anagalao chadema imeonyesha uwezo wa kuhimili mawazo yanayopingana na matakwa binafsi

Ripoti ya Marando imewasafisha madiwani hawakupokea wala hawakutoa rushwa.

Hapo napenda kutofautiana kwa 100% au na zaidi.
Kupokea zawadi ya nafasi ya Naibu Meya au Mwenyekiti wa Kamati ni RUSHWA tosha na kubwa kuliko Cash in Hand.
Na shauri sana sana Katibu Mkuu wa Chadema kuchukua hatua ya haraka ya kuwa timua kwenye nafasi ya udiwani madiwani wote waliokaidi uamuzi wa kamati kuu wa wao kujiuzulu nafasi walizopewa (RUSHWA) ndani ya Halmashauri ya Arusha na kuwataka kuomba radhi wana Chama wa Chadema wa Arusha na Kama watashindwa Kufanya Hivyo ndani ya Saa 24 watimuliwe Uanachama ili sakata hili lifike mwisho maana huu ndio uozo ambao CDM inaupigania kwa hali na mali mpaka kufikia hatua ya kupoteza roho za watu.

Ieleweke Chama si Diwani ,Mbunge , Mwenyekiti au Katibu.Chama Ni wanachama na katika hili tulipoteza baadhi ya wanachama wetu katika kutetea haki lakini cha ajabu hawa madiwani leo wanatuasaliti na eti waombewe radhi! kwa lipi. Wamepokea Rushwa ya Vyeo na kuweka pembeni madai ya msingi kabisa yaliyoteta vurugu Arusha na hatimaye vifo.Inafaa watueleze wametoa wapi mamlaka ya kukubaliana na CCM kufikia muafaka.
Napata wasiwasi kuwa wanatumia Matumbo kufikiri badala ya vichwa(akili).

Nakuhakikishia suala hili ni dogo sana kwa Chadema wala si la kitaifa litakwisha na hutaamini,
hebu tuambie baada ya tume kusema hakukuwa na vitendo vya rushwa ilishauri nini na nini kinaendelea,
baada ya Malla na wenzake kukabidhiwa barua walitumia njia gani au vikao gani vya chama kujibu,
Malah alikpoitisha waandishi wa habari ilikuwa njia sahihi kwake kufanya hivyo?
je wakati anaongea na waandishi alikuwa anajibu barua ya Kamati kuu au majibizano ya magezetini kati yake na Lema.
Baada ya kujiuliza haya utajua nani anafuata misingi ya chama na nani ni mtovu wa heshima.

Napata mashaka juu ya uwezo wako wa kutafakari na kuteta hoja,
Hili suala wasema ni dogo sana?
Watu walipoteza maisha na sasa maendeleo hayafanyiki zaidi ya malumbano,
Sisi tanataka utatuzi uwe wa hali ya juu na wa umakini ili shughuli za kuwaletea mabadiliko wana arusha zianze haraka,
Mabadiliko si chama wala sio kubadilisha jina la kiongozi.
Kwa hiyo ukisema sio la kitaifa hilo ni lako, sio tamko la chama naomba usiendelee kutoa comments zinazoashiria ni za chama mwisho zikashusha hadhi ya chama.

MWISHO FUATILIA VIZURI HAPA CHINI

Hapa naona kuna vita kubwa kati ya mbunge na hawa madiwani tena ni vita isyojificha,
Ni vita ya sauti ndani ya arusha ni vita ya kutaka kuheshimika kuliko wengine ndani ya arusha,
Ni vita ya kutaka kuwa juu zaidi ya wengine
Ni vita inayochochewa na vitisho/vivuno vya mtu kuwa karibu na viongozi wa juu kuliko wengine.
Hebu tuheshimu matokeo ya tume, hebu tuache kutoa kauli kwa kusoma upepo wa siasa,
Mimi siungi mkono muafaka huu, lakini tusiwahukumu watu wachache tu kumbe nyuma kuna kitu zaidi NA pengine ndio maana wanakua wakali,
Sio wote wenye moyo wa uvumilivu pale wanaona wanasemewa yasiyo sahihi.
LEMA NARUDIA TENA MVUTANO WAKO HAWA MADIWANI NI FEDHEHA KWA CHAMA NA
 
Yaani Ben sio wewe tu ndugu yangu,
huyu bwana amenishangaza sana hata mimi.
But kondoo akipotea hurudi kundini na kupokelewa

Ni kweli na inabidi tumpokee...ha ha hahaaah.thanks alot comrade!

Heshima kwako Mwinukai.

Mkuu labda turejee darasani kidogo.Unapomtuhumu mtu kwa kuchukua rushwa bila uthibitisho hiyo ni "Defamation" kutoa kauli /taarifa zenye nia mbaya ya kumchafua mbele ya jamii.Defamation ziko za iana mbili Libel na slander.Matamshi ya Lema,Dr Slaa na wewe dhidi ya madiwani Arusha ni Libel.

Kamati ya Jasusi na Mwansheria mahiri Mabere Nyaucho Marando ilibaini muafaka baina ya CCM na CHADEMA hapakuwepo na rushwa.Kama kamati imethibitisha rushwa haikuwepo Dr Slaa na Lema walikuwa na wajibu wa kuwaomba radhi madiwani "Offer of amends that is publication of a suitable correction of words complained of and an apology to the madiwani concerned".Jambo hilo halikufanyika badala yake madiwani wanatakiwa wajiuzulu nyadhifa zao bila kusafishwa.Madiwani wakijiuzulu bila kudai haki yao ya kusafishwa hakika hakuna mwananchi wa kawaida atakaewaamini hawakuchukua rushwa.

Ngongo,

Hapo kwenye blue sidhani kama unaitendea haki kamati!

Hapo kwenye red,busara ndipo zinapohitajika.Sasa hilo likifanyika sijui wale wanaokitakia chadema mabaya watauficha wapi uso wao.
 
FeedBack,

Thanks alot for your opinion.I really appreciate your views.

Please can you do credibility a favour ,njoo na evedence kuhusu hilo suala hapo kwenye red.kuhusu suala la Bavicha majibu yake hayana tofauti na niliyompa mchangiaji mmoja Miss parliament.Tazama hapo chini.

Hapo kwenye blue,ni kitu gani nimeshadadia?Tafadhali naomba hapa unitake radi mimi huwa natoa mawazo huru mkuu,sijali chochote na sitaki kuwa mateka wa fikra.kama Ideas zangu na za kwake ziliendanan that's merely a coincidence.sina hati miliki ya mawazo.

Kuhusu suala la nidhamu kwa wazee na wakuu wa chama,naomba nikwambie kwamba nina nidhamu ya kutosha kabisa ndiyo maana siandiki mambo mengi kwenye hii mijadala otherwise ningekuwa huko kamati kuu ya chama changu ndiyo ingetangazwa kama nidhamu ninayo ama sina.
Hiyo nidhamu unayotaka kuihubiri hapa siitaki kwa sababu naona unataka kunifanya mateka,sitaki nidhamu ya woga.Ningekuwa kwenye vikao vya ndani vya chama changu na wewe ukawa mwanachama ningekuwa kwenye position nzuri zaidi ya kuonyesha aiana ya nidhamu niliyonayo kwa wakuu wangu wa chama.Ila nidhamu ya kinafiki sina kama ni8 mapungufu basi nayakubali

kuhusu mrema kuwa role Model wangu,naomba nikuambie kwamba ikiwezekana nitakubali awe role mode wangu kama ni kusimia kile ninachokiamini,hata kama ungemtaja Hitler au Stalin, i dont care as long as we share the same spirit.Watanzania ndiyo watakaomua,wanaonifahamu kwa karibu ndiyo wanajua ukweli halisi.Hata kama itaniua kisiasa,siogopi hivi vitisho .Demokrasia ikishindwa kuna njia nyingine...i dont saccumb to pseudo -democracy anyways.So let me spare you buddy

Kuhusu saiasa za vyuoni:kuna tofauti gani kati ya siasa hizo na hizi?tofauti ni kwamba nilikuwa nabanwa na sheria za chuo na pia sheria za kuwa mwanafunzi wa kigeni tu,otherwise mazingira ya siasa kwa nchi niliyokuwa yalikuwa mazuri.Yamepiga hatua kidemokrasia kwa vyama vya upinzani,chama tawala na vyuoni.Ndiyo maana Nape aliposhindwa siasa kule kaja kuonekana Lulu na CCM,hatutaki kufika huko.chadema hatuko desparate kiasi hicho

Feedback,nakushauri ufuatilie hiyo link hapo chini unielewe kabla hujafanya conclusion.Msimamo wangu juu ya muafaka wa arusha uko huko kwenye hiyo link pamoja na matusi yote niliyotukanwa na pro-CCM especially the so called Jenifa.

Hebu tujitahidi kuandaa mazingira ya haki bila ubinafsi,dhuluma wala ukandamizaji.Hili suala la Arusha linahitaji subira,busara na maamuzi yatakayozingatia maslahi ya Taifa letu,damu iliyomwagwa na kuhakikisha heshima ya chama chetu na legacy ya hoja na misimamo kama chama kinachosubiri muda kuchukua Dola.We need to stick to the principles of conflict resolution.tusiwape CCM chance ya kuwaaminisha wananchi kwamba sisi ni hovyo,tusiwape CCM chance ya kutupeleka wanavyotaka,tusiwape CCM chance ya kutumia mapungufu ya madiwani wetu,mbunge,wanachama na viongozi wake kujiandalia mtaji na kujenga taswira mbaya dhidi ya chama chetu.Tuache nidhamu ya woga,tuwe na nidhamu ya kweli...tusike kule walikofika CCM kwa sabubu ya nidhamu ya woga na unafiki

Jibu hili nilimpa Miss parliament kwenye mjadala baada ya kunituhumu kwamba niko vitani na Lema kwa sababu hakuwa kambi yangu uchaguzi wa bavicha,nilishangaa na nikampoa jibu ambalo naona ni relevant hata kwako mkuu,samahani kama kutakuwa na masahihisho yoyote ila sitaki kukukwaza mkuu.

Bofya hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...iwani-wa-chadema-arusha-lema-anahusika-2.html
au nikupe briefly hapa .....

Miss Parliament,

unaweza kuthibitisha hayo uliyoandika? sijui ni kitu gani kinakukera.uko obsessed sana na majina ya watu....Let us give the mass what they deserve.Change ndiyo tumaini na matamanio ya watanzania.Hawako interested kusikia unayoandika hapa.

Unless a man has been humiliated and managed to keep his head high we really do not know how he would respond to such circumstances. Winston Churchill and Abraham Lincoln were men who knew numerous defeats,exploitation,oppression and humiliations and from them learned how to manage precarious situations where men's vanity is at stake.So do I and managed it admirably. I will not show anger at anybody,dont expect that from me. I will not go about bearing grievances and seeking vengeance for the attack on my pride.Whatever is happening/happened I took it on the chin like a good soldier should and lived to fight another day. Iam not petty at all.

Tujikite kwenye sensible debate,let us spend our time,energy and other resources prudently!have fun on your own,afterall unajificha kwenye ID fake......wewe sio mwanachama wa kweli,huna dhamira njema na sisi.Good job though! Hebu nitoke kwenye huu mjadala kuna mijadala mingine

Duh!!!!! huyu nisingemjibu ningemwacha kama wenzake na wanavyoishi kwa msukumo wa kus-kaz.
 
Ben na Nyakarungu najua harakati zenu toka muanzishe alliance ya kutaka kugawana vyeo Bavicha mnaonekana mnapenda sana ligi ndani ya chama chenu kwa faida ya nani sijui. Panapotokea controversial ndani ya chama huwa mnachagiza ili mnyukano ukolee zaidi, sina tatizo na ben yeye anajulikana na wengi ila nilikuwa simjui Nyakarungu hadi pale alipojitokeza kuvunja kanuni za udaktari akaweka public matokeo ya postmortem ya mauaji ya Tarime siku mbili kabla ya uchaguzi wa Bavicha nikadhani ni real kumbe zilikuwa kampeni.

Ila pamoja na harakati zenu hili la madiwani ni cha mtoto sana kwa Chadema litakwisha na madiwani watatemwa muda si mrefu if not today tomorrow na hawatakuwa na pa kukimbilia zaidi ya kuomba msamaha au kwenda wanakoona watapata msaada. Msicheze na uwezo wa kamati kuu iko pale kwa mujibu wa sheria na maamuzi yake yanaweza kutumika kama evidence na mahakama ikayakubali siyo matamshi ya magazetini na kwenye TV mwisho wa kujinukuu.
 
Heshima kwako Nyakarungu,

Mkuu nimependa maelezo yako kwa kweli JF ya FMES,Waberoya,Game Theory,Jasusi,Jokakuu na wengineo sijui kama itarudi tena.Siku za hivi karibuni tumevamiwa na makasuku hawataki kujadili hoja badala yake matusi na kejeli ni sehemu ya utaratibu wao.

Mkuu umewahi kujiuliza ni kwanini mgogoro wa madiwani ukimbizwe makao makuu ya chama Dar,hakuna uongozi ngazi ya wilaya au mkoa kama wapo wanafanya nini ?.Nilitegemea CHADEMA wilaya ya Arusha wahandle wakishindwa mkoa uingilie just like CCM Ole Millya alibanwa mbavu ngazi ya wilaya suala lake lilipopelekwa mkoa mambo yakamalizika hii ndiyo kitu CHADEMA wanakosa sikumsikia Mukama akilumbana na Milya au Mama Chatanda.Katibu Mkuu taifa na mgombea urais anajibizana na madiwani hatua za mwanzo maana yake nini ?.CHADEMA haina system nzuri kuanzia ngazi ya kata hadi taifa,ni lazima wapenzi na viongozi wa CHADEMA waangalie mfumo mzima wa chama kuanzia shina hadi taifa.

CHADEMA inakua siku hadi siku ni lazima mfumo wake wa uongozi uimarishwe ili siku za usoni migogoro ya aina hii imalizwe ngazi za chini badala ya kila jambo kumkimbizia katibu mkuu na kamati kuu ya chama ngazi ya taifa.

Napata mashaka juu ya uwezo wako wa kutafakari na kuteta hoja,
Hili suala wasema ni dogo sana?
Watu walipoteza maisha na sasa maendeleo hayafanyiki zaidi ya malumbano,
Sisi tanataka utatuzi uwe wa hali ya juu na wa umakini ili shughuli za kuwaletea mabadiliko wana arusha zianze haraka,
Mabadiliko si chama wala sio kubadilisha jina la kiongozi.
Kwa hiyo ukisema sio la kitaifa hilo ni lako, sio tamko la chama naomba usiendelee kutoa comments zinazoashiria ni za chama mwisho zikashusha hadhi ya chama.

MWISHO FUATILIA VIZURI HAPA CHINI

Hapa naona kuna vita kubwa kati ya mbunge na hawa madiwani tena ni vita isyojificha,
Ni vita ya sauti ndani ya arusha ni vita ya kutaka kuheshimika kuliko wengine ndani ya arusha,
Ni vita ya kutaka kuwa juu zaidi ya wengine
Ni vita inayochochewa na vitisho/vivuno vya mtu kuwa karibu na viongozi wa juu kuliko wengine.
Hebu tuheshimu matokeo ya tume, hebu tuache kutoa kauli kwa kusoma upepo wa siasa,
Mimi siungi mkono muafaka huu, lakini tusiwahukumu watu wachache tu kumbe nyuma kuna kitu zaidi NA pengine ndio maana wanakua wakali,
Sio wote wenye moyo wa uvumilivu pale wanaona wanasemewa yasiyo sahihi.
LEMA NARUDIA TENA MVUTANO WAKO HAWA MADIWANI NI FEDHEHA KWA CHAMA NA
 
Mkuu hiyo ilikuwa ni kazi yake.Nchi za wenzetu kazi ya ujasusi ni nyeti na inaheshimika sana.Taifa la Israel lingeshafutika kama si kazi ya majasusi "MOSAD" jaribu kumsoma Eli Cohen utajua ujasusi ni kazi muhimu na yenye sifa kubwa.Mataifa ya magharibi yametumia ujasusi kwa manufaa ya kiuchumi.Tanzania kazi kubwa ya ujasusi ni kusamabaratisha upinzani.Marando aliwahi kuifanya hiyo kazi rejea sakata la NCCR Mageuzi mjini Tanga.

Nina imani kubwa na viongozi wa CHADEMA taifa watabaini suala la madiwani Arusha halikupaswa kushughulikiwa na kamati kuu ya chama ngazi ya taifa.Lilipelekwa taifa kimizengwe na linapaswa kurejeshwa ngazi ya wilaya kwakuwa viongozi wa wilaya wapo wakishindwa lipelekwe ngazi ya mkoa.sidhani kama Dr Slaa alipaswa kuingizwa kwenye suala hili.

Ni kweli na inabidi tumpokee...ha ha hahaaah.thanks alot comrade!

Ngongo,

Hapo kwenye blue sidhani kama unaitendea haki kamati!

Hapo kwenye red,busara ndipo zinapohitajika.Sasa hilo likifanyika sijui wale wanaokitakia chadema mabaya watauficha wapi uso wao.
 
Napata mashaka juu ya uwezo wako wa kutafakari na kuteta hoja,
Hili suala wasema ni dogo sana?
Watu walipoteza maisha na sasa maendeleo hayafanyiki zaidi ya malumbano,
Sisi tanataka utatuzi uwe wa hali ya juu na wa umakini ili shughuli za kuwaletea mabadiliko wana arusha zianze haraka,
Mabadiliko si chama wala sio kubadilisha jina la kiongozi.
Kwa hiyo ukisema sio la kitaifa hilo ni lako, sio tamko la chama naomba usiendelee kutoa comments zinazoashiria ni za chama mwisho zikashusha hadhi ya chama.
Wewe ndiye ulitegemewa kuwa M/kiti wa Bavicha.
Sielewi utatuzi gani ungefuata zaidi ya ule wa kamati kuu ya chama kuwataka madiwani wajiuzulu
Kama unasema kuna watu wamekufa wakati huo huo unatetea upuuzi wa mwafaka wa kugawana vyeo una maana gani kama si unafiki ni nini.
Kwa hiyo unataka Malah aendelee kuwa N/meya wakati kuna damu inamlilia.......wakati huo huo unataka Chadema wakubali nonsense hii wataficha wapi uso wao mbele ya wananchi hasa waliopata majeraha wataki wa maandamano, nina wasiwasi kama kweli wewe ni Chadema.
 
Ben na Nyakarungu najua harakati zenu toka muanzishe alliance ya kutaka kugawana vyeo Bavicha mnaonekana mnapenda sana ligi ndani ya chama chenu kwa faida ya nani sijui. Panapotokea controversial ndani ya chama huwa mnachagiza ili mnyukano ukolee zaidi, sina tatizo na ben yeye anajulikana na wengi ila nilikuwa simjui Nyakarungu hadi pale alipojitokeza kuvunja kanuni za udaktari akaweka public matokeo ya postmortem ya mauaji ya Tarime siku mbili kabla ya uchaguzi wa Bavicha nikadhani ni real kumbe zilikuwa kampeni.

Ila pamoja na harakati zenu hili la madiwani ni cha mtoto sana kwa Chadema litakwisha na madiwani watatemwa muda si mrefu if not today tomorrow na hawatakuwa na pa kukimbilia zaidi ya kuomba msamaha au kwenda wanakoona watapata msaada. Msicheze na uwezo wa kamati kuu iko pale kwa mujibu wa sheria na maamuzi yake yanaweza kutumika kama evidence na mahakama ikayakubali siyo matamshi ya magazetini na kwenye TV mwisho wa kujinukuu.

Waste of time, what does opposition mean to you?Wont it be better if we quit deceiving ourselves and simply give in to the elitist autocracy?

Naomba uache guess work,hebu njoo na hoja za kuthibitisha hayo,njoo na evedence,post zangu zote zipo humu.Kwanza unapoongea kwa niaba ya kamati kuu ya chadema wewe ni nani hasa? Njoo na jina lako real otherwise wewe huna mapenzi mema na chama uko huku kuchafua watu zaidi.
What is popular is not always what is best. Leadership is not just aggregating the prejudices and limitations of the citizenry, and acting on them. It is a transformational process.Ni lazima utambue hilo,these are just political and philosophical values

Heshima kwako Nyakarungu,

Mkuu nimependa maelezo yako kwa kweli JF ya FMES,Waberoya,Game Theory,Jasusi,Jokakuu na wengineo sijui kama itarudi tena.Siku za hivi karibuni tumevamiwa na makasuku hawataki kujadili hoja badala yake matusi na kejeli ni sehemu ya utaratibu wao.

Mkuu umewahi kujiuliza ni kwanini mgogoro wa madiwani ukimbizwe makao makuu ya chama Dar,hakuna uongozi ngazi ya wilaya au mkoa kama wapo wanafanya nini ?.Nilitegemea CHADEMA wilaya ya Arusha wahandle wakishindwa mkoa uingilie just like CCM Ole Millya alibanwa mbavu ngazi ya wilaya suala lake lilipopelekwa mkoa mambo yakamalizika hii ndiyo kitu CHADEMA wanakosa sikumsikia Mukama akilumbana na Milya au Mama Chatanda.Katibu Mkuu taifa na mgombea urais anajibizana na madiwani hatua za mwanzo maana yake nini ?.CHADEMA haina system nzuri kuanzia ngazi ya kata hadi taifa,ni lazima wapenzi na viongozi wa CHADEMA waangalie mfumo mzima wa chama kuanzia shina hadi taifa.

CHADEMA inakua siku hadi siku ni lazima mfumo wake wa uongozi uimarishwe ili siku za usoni migogoro ya aina hii imalizwe ngazi za chini badala ya kila jambo kumkimbizia katibu mkuu na kamati kuu ya chama ngazi ya taifa.

Ngongo,

Hii weekend nayo...mweh! anayaways iam happy b'cause nimepata muda wa ku-exchange ideas vizuri.Hapo kwenye suala la kuhusisha makao makuu sikubaliani na wewe kwa sabau makao makuu wanastahili kujua kila kitu kinachoendelea.Hata damu ya watu iliyomwagika kwenye yale maandamano viongozi wote wa juu walikuwepo.Hilo ni suala la CHADEMA kitaifa na ni suala la CCM kitaifa.Ni suala la serikali kitaifa(central government).Ndiyo maana hatukulalamika Yusuf makamba alipokuwa anatoa matamko kama katibu mkuu wa CCM.Kimsingi chama kinatakiwa kujua kila kinachoendelea huko kupitia ngazi za uongozi,au directly.Pia kulikuwa na Mbunge ambaye yupo close zaidi na madiwani.So hii ni hoja ya kitaifa
 
Mkuu hiyo ilikuwa ni kazi yake.Nchi za wenzetu kazi ya ujasusi ni nyeti na inaheshimika sana.Taifa la Israel lingeshafutika kama si kazi ya majasusi "MOSAD" jaribu kumsoma Eli Cohen utajua ujasusi ni kazi muhimu na yenye sifa kubwa.Mataifa ya magharibi yametumia ujasusi kwa manufaa ya kiuchumi.Tanzania kazi kubwa ya ujasusi ni kusamabaratisha upinzani.Marando aliwahi kuifanya hiyo kazi rejea sakata la NCCR Mageuzi mjini Tanga.

Nina imani kubwa na viongozi wa CHADEMA taifa watabaini suala la madiwani Arusha halikupaswa kushughulikiwa na kamati kuu ya chama ngazi ya taifa.Lilipelekwa taifa kimizengwe na linapaswa kurejeshwa ngazi ya wilaya kwakuwa viongozi wa wilaya wapo wakishindwa lipelekwe ngazi ya mkoa.sidhani kama Dr Slaa alipaswa kuingizwa kwenye suala hili.

Mkuu nakubaliana na wewe,ila sidhani kama leo hii Leon Panetta alyekuwa mkurugenzi wa CIA kama atapewa mission yoyote na chama cha democrats atakuwa identified hivyo,afterall kuhusu haya ya Marando sina hakika kama kuna mahali aliyatoa kama CV yake.....tataizo ni kwamba sikubaliani na matumizi ya CV ya mtu ambaye hajaji-identify nayo.It sounds unprofessionally ama?
 
Waste of time, what does opposition mean to you?Wont it be better if we quit deceiving ourselves and simply give in to the elitist autocracy?

Naomba uache guess work,hebu njoo na hoja za kuthibitisha hayo,njoo na evedence,post zangu zote zipo humu.Kwanza unapoongea kwa niaba ya kamati kuu ya chadema wewe ni nani hasa? Njoo na jina lako real otherwise wewe huna mapenzi mema na chama uko huku kuchafua watu zaidi.
What is popular is not always what is best. Leadership is not just aggregating the prejudices and limitations of the citizenry, and acting on them. It is a transformational process.Ni lazima utambue hilo,these are just political and philosophical values
That is my opinion you are free to have it or not..... kuwa wewe na wenzako mlitaka kuivuruga Bavicha hiyo iko wazi na wazee wakawaengueni unataka evidence zaidi ya hiyo. Kuhusu jina........jina hali discuss issue watu wanashusha nondo na majina hayahaya hivi Mzee Mwanakijiji ni jina lake halisi i think this is not a big issue. Wewe tuambie uko upande gani wa Kamati kuu au wa Malah period mengine ni spices tu.
 
Back
Top Bottom