Madiwani wa CHADEMA Arusha wagawanyika

Madiwani wa CHADEMA Arusha wagawanyika

FEEDBACK,
Nilikwisha kuahidi siwezi kupambana na wewe kwa kutarajia kutoa majibu ya ndiyo au hapana.
Nakuhakikishia utaiona chadema ikiwa wima na utafahamu na wasiwasi wako utaisha pale umri wako kisiasa utakua matured.
Vita yako ni baina ya mtu na mtu wala sio hoja kwa hoja,so am not such kind guy!! pole na kazi
.
Nikikuita mwanaccm unaetaka cdm isiwe na watu wanaojenga hoja utapinga? maana unataka wale wanaotukana tu, wasioweza kujibu hoja kama wanaccm wengi mlivyo,ili mijadala ipoteze mwelekeo.
Basi hapa umepambana na kazi, tena sio kazi ya kitoto, hadi ukae chini ujipange upya mkuu.
Na ujue kabisa ukileta matusi sisi tunasimama na hoja, na ukileta hoja tunaipiga kwa hoja, haya kawambie wajipange tena.
Mbona mkuu hoja zako sizioni au kusema utapambana hadi nikae chini ndizo hizo, hakuna mtu anayepambana hapa,

Kwanza jibu hoja ya mleta mada kauliza ina maana kamati kuu ya chadema ina hukumu za vitisho kama ulivyosema au?

Tumesikia leo wenzenu wa Bavicha wako front Igunga vijijini wakipambana kukijenga chama nyie mmekazania kusema Chadema itakuwa imara

how? tell us kwa kupambana na kina Feedback JF, acheni kukalia majungu ya madiwani wa Arusha na kuilaumu kamati kuu waacheni viongozi

wakuu wafanyekazi watalimaliza hilo nyie nendeni front tuwaone kuonekana si kuvaa kombati tu wakati wa maandamano ni kufanya kazi kama

anavyofanya Heche, ni ushauri tu kama mtaona si hoja mnaweza kuupotezea.
 
quote_icon.png
By Ben Sijawahi kujitathmini na kuona kwamba ninastahili kingine ndani ya Bavicha zaidi ya MWENYEKITI WA VIJANA.
Ila hapa Ben usijitetee sentensi iko wazi kabisa kuwa wewe ulichotaka ni kuwa Mwenyekiti wa Bavicha na si kingine kukubali nako ni uungwana
 
Ila hapa Ben usijitetee sentensi iko wazi kabisa kuwa wewe ulichotaka ni kuwa Mwenyekiti wa Bavicha na si kingine kukubali nako ni uungwana
Kuna watu wanataka kutufanya sisi wengine hatujui kiswahili.
 
Mkuu Nyakarungu mimi nilikuwa nauliza tu ulikuwa na maana gani uliposema unapinga hukumu na vitisho nafikiri ulimaanisha vya kamati kuu ya CDM nikajiuliza inakuwaje wewe tuliyekuwa tunakutegemea kuwa m/kiti wa vijana upinge hadharani maamuzi ya vikao vya chama?


...............kisha yule nabii akamwambia yule kipofu kuwa .........'' kwa kuwa umekwishamuona punda, basi utaendelea kuwa kipofu'' na ikawa kila siku kilipotajwa kitu kizuri, kipofu yule aliuliza, je kinafanana na punda? hayo ndio maisha ya waishio gizani yalivyo...............
 
Facts1,

Duh...Ina maana tuna tatizo kubwa hivi la kuelewa?
Huyu jamaa aliuliza swali hili hapa chini

Hawa jamaa Nyakarungu na Ben hata mimi nina wasiwasi sana na uwepo wao ndani ya Chadema nasikia hata Heche anasita kuwapa hata nafasi za uongozi ndani ya Bavicha.

Nilichomjibu ndicho kinachostahili nothing less nothing more. Kwanini nipewe,kwanza na nani? Kukisaidia chama changu si lazima nipewe cheo,au kuisaidia Bavicha siyo lazima nipewe cheo.Mbona nilifanya kazi kabla na ninaendelea kufanya kazi za Chama?Hebu tuachane na hizi mentality za kupeana sijui nini....ndiyo maana nilipochukua fomu ya uenyekiti sikuchujaza fomu mbili ingawa kanuni ziliniruhusu na wengine walifanya hivyo.nilitoa majibu hapa chini ili kukomesha hizi old stone mentality za kugawa vyeo without apparent reason.Sijui ni kitu gani ambacho hakieleweki..tuna tatizo kubwa sana,kumbe ndiyo maana hata matatizo ya umeme tumekaa nayo 50 years kwa sababu hatutaki kufikiria au kuchambua mambo.tumeacha kufikiri.Soma kwa makini hapo chini,na ninarudia tena...........hapo kwenye Red na usome yote upate concept yangu

Feedback,
Before you all break your arms patting yourselves on the back and require tongue retreads from hailing each other, can I just say something please?

Thank you for your kind accomodation! Let me say this

Naona uko Obsessed na majina ya watu sana.Sijui jina la Ben linaingiaje kwenye huu mjadala......Unapenda sana kuingia kwenye personal issues...kwako personal vendatta ndiyo hoja.Unastahili kuonyesha ni kitu gani kimekufanya au kuhalalisha wewe kunihusisha na hayo mambo uliyoandika hapo juu otherwise utuache tufanye kazi ya kukijenga chama chetu.hizo grudges zako zihifadhi kwenye friji mkuu,tuwe objective.the fact kwamba uko nyuma ya ID fake isikufanye uandike vitu ambavyo ni vya kinafiki,iam sure nikutana na wewe huna courage ya kuniambia hayo unayoandika kuhusu mimi au wengine,are you?

Kuwapa nafasi za uongozi? Eboh ! Unamaanisha mimi kupewa nini vile?... kwa nipewe nafasi ya uongozi?kwa misingi ipi?For your information mimi siwezi kuwa mwanasiasa wa hovyo kiasi hicho.Unaonekana unahusudu sana vyeo vya kupewa bila tathmini.Sijawahi kujitathmini na kuona kwamba ninastahili kingine ndani ya Bavicha zaidi ya MWENYEKITI WA VIJANA.So,kuanzia leo uelewe hilo.

Sijui unajua maana ya kiiongozi/uongozi. What we need is leadership. Someone who inspires people to follow him by his words and actions. Someone who has vision,energy and youth that can lead a team of similar traits to formulate and implement agendas/policies that will unite
,impact positively on the lives of the populace.




Baada ya hapo huyu akarukia...................................! ! He he he,this is hillarious Angalia hapa chini
Poor Ben yaani wewe unajiona matawi ya juu kuwa huwezi kufanyakazi zingine za chama hadi uwe mwenyekiti duh! itabidi niiweke kwenye signature yangu, ila sidhani kama chama kinahitaji watu wa aina hiyo.

Hatimaye na wewe ukagonga gonga keyboards hatimaye ukaibuka na busara hizi....................!


Ila hapa Ben usijitetee sentensi iko wazi kabisa kuwa wewe ulichotaka ni kuwa Mwenyekiti wa Bavicha na si kingine kukubali nako ni uungwana

haya nimemaliza na nimefanya uungwana,sitarajiii kukujibu tena labda kama kuna mahali kuna tatizo la kweli....Nimemaliza.
 
Huyu naye nikiwa naye Sinza hawezi na hajawahi kusema haya............!
wana chadema tuweke tofauti pembeni ili tuweze kujikita kupambana na ccm; hawa akina ben ambao hawapo tayari kuongoza pasipo kupata nafasi ya uenyekiti wa vijana, hawatufai!!! tuwapotezee kabisa, walifuata vyeo wamekosa, hawana utashi tena wa kufanya kazi za chama

Halafu acha huu mchezo wa kitoto huku JF ! ! !
 
Baada ya hapo huyu akarukia...................................! ! He he he,this is hillarious Angalia hapa chini


Hatimaye na wewe ukagonga gonga keyboards hatimaye ukaibuka na busara hizi....................!

haya nimemaliza na nimefanya uungwana,sitarajiii kukujibu tena labda kama kuna mahali kuna tatizo la kweli....Nimemaliza.

Nilipobold umeonyesha ulivyo mimi nimekuelewa labda yeye hakukuelewa, na mimi nimemaliza sitarajii kukujibu tena....Nimemaliza.

Wish all the best by the way huko Igunga umeme unapatikana.
 
Ila hapa Ben usijitetee sentensi iko wazi kabisa kuwa wewe ulichotaka ni kuwa Mwenyekiti wa Bavicha na si kingine kukubali nako ni uungwana
Nafurahia hii bifu.....ila mnatafsiri vibaya,hajawahi kujiona kama yeye ni bab kubwa na kutaka kitengo alipokosa uenyekiti.
Kwa mfano sitta alipokosa uspika akapewa uwaziri,au zitto alipokosa uenyekiti akapewa unaibu katibu.Kuna tabia Tanzania,mtu akikosa cheo fulani anopozwa na cheo cha kishikaji.....like,theres a group of people that will cause a rawkus if they don't get any position.
To my understanding,Ben alimaanisha yeye hakufikiria kuwa anastahili kupewa cheo kingine,baada ya wewe che guavara kudai heche anasita kumpa post.
nimekaa muda mrefu bila "like" najua nitagongewa na kijana muda si mrefu....teeh te te teehe!
 
chadema haina siasa za vitisho, bali wamekuwa tishio kwa ccm
 

Utakuwa uanishi ughaibuni Sarawatti wa Raia Mwema alikuwa akivuta vijisenti vya Lema tangu mwaka jana ukitaka fuatilia makala za Sarawatti kuanzia mwaka jana kipindi cha uchaguzi.Binafsi niliwahi kumuuliza Sarawatti ni kwanini makala zinazomhusu Lema suala la elimu hajawahi kulizungumzia akabaki anacheka !.Raia Mwema ni gazeti langu kabla Rai haijavamiwa na mafisadi nilijaribu mara kadhaa kuwasiliana na mhariri azifuatilie habari za Arusha kwa umakini sana kwakuwa hazikuwa balanced kabisa.Nafurahi toleo jipya Sarawatti kaanza kuandika habari balanced pengine wakuu wake waligundua mauza uza ya mwandishi.

Moja ya vitu ambavyo vinasababisha ufisadi kushamiri hapa nchini ni tabia ya watu kuwapima watu kutkana na vyeti na shahada na sio utendaji wao. Hii katika elimu ya Tanzania iliyojaa ufisadi unaweza kumuamini nani hata madokta wengi ni vihiyo tu!!
 
Moja ya vitu ambavyo vinasababisha ufisadi kushamiri hapa nchini ni tabia ya watu kuwapima watu kutkana na vyeti na shahada na sio utendaji wao. Hii katika elimu ya Tanzania iliyojaa ufisadi unaweza kumuamini nani hata madokta wengi ni vihiyo tu!!

CHADEMA ndiyo kiboko ya matatizo yote
 
Back
Top Bottom