Madhara ya unywaji wa Pombe

Madhara ya unywaji wa Pombe

nafanya kazi na wenzetu wazungu wako makini sana pombe kwao ni part of celebration au furaha Fulani hivi na ukienda China kama unataka mke ukienda kwa wakwe lazima ukatie kidogo mpige stories ili wakujue vizuri😀
Naam...
Wazungu naona wakinywa lazima awe na sababu kwanini anakunywa..
Atasema either ni weekend, ama anasheherekea jambo fulani.. ama kakutana na rafiki yake wa miaka mingi..

Kabla hajanywa anatafuta sababu ya kwanini ninywe pombe leo... japo sikatai kuna wengine walevi pia..

Lakini naona tamaduni zao wamelelewa kika anapokunywa pombe basi kuna sababu.. nadhani ni utamaduni mzuri..
 
Hata sisi wamatumbi tunazo sababu
 
Muanzisha mada umechokoza walevi..
Kuna mmoja huyo anasema yeye ameanza changanyiwa pombe kwenye uji akiwa mdogo..🤣🤣🤣🤣

Ila jf..
 
Kuna jamaa anasema yeye ameanza kuchanganyiwa pombe kwenye uji 😆🤣🤣.. unafikiri mchezo..
Mama zetu zamani walikua kabla ya kwenda shamba wanatulisha tunashiba , halafu tunapewa mbege kidogo , tunalala wao wanaenda porini / shamba wakirudi wanakuta bado tumelala 🤣
 
Mama zetu zamani walikua kabla ya kwenda shamba wanatulisha tunashiba , halafu tunapewa mbege kidogo , tunalala wao wanaenda porini / shamba wakirudi wanakuta bado tumelala 🤣
Pombe ni sehemu ya tamaduni na mila za jamii zetu za Kiafrika, inaheshimika..
 
Wewe kama huna hela ya bia kunywa kahawa achana pombe. Ndugu yangu mkubwa hajawahi kuonja pombe lakin anaumwa kishenzi. Karibia magonjwa yote uliyoyataja hapo juu anayo yeye na tunaokunywa minyago we are fine.
 
pombe ni nzuri ikiwa kwa kiasi maisha yamebadilika sana watu wanapitia changamoto nyingi sana nadhani hata aliegundua pombe alijua pombe ipi nzuri na ipi mbaya cha msingi ni kuwa makini tu sisi tumelelewa na Mzee wetu alikuwa mkali sana lakini akilewa mtakula chochote mnachotaka na mtacheza mziki shopping juu na outing nashindwa kuelewa ubaya WA pombe na uzuri wake wengine wakinywa wanakuwa wazuri wengine wakinywa wanakuwa wabaya na kila kitu kinaharibika baadae ya Mzee wangu wangu kuacha pombe sasa hivi anaichukia sana na aliweza kujenga na kubadili mfumo wake WA kiimani, uchumi na kiafya @43 Leo yuko fit sana na huwezi amini alikuwa Mlevi mbwa. pombe ni kipimo cha utu ikiwa kwa kiasi Haina shida ni dawa.
Baba yako ana miaka 43?
Mbona katundika daruga bado chalii? Wewe una umri gani sasa?
 
Naam...
Wazungu naona wakinywa lazima awe na sababu kwanini anakunywa..
Atasema either ni weekend, ama anasheherekea jambo fulani.. ama kakutana na rafiki yake wa miaka mingi..

Kabla hajanywa anatafuta sababu ya kwanini ninywe pombe leo... japo sikatai kuna wengine walevi pia..

Lakini naona tamaduni zao wamelelewa kika anapokunywa pombe basi kuna sababu.. nadhani ni utamaduni mzuri..
Mzungu gani huyo?
 
Madhara ya unywaji wa pombe:
  • Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis)
  • Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili
  • Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
  • Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu
  • Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction)
  • Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili
  • Matatizo ya kiafya ya akili (msongo wa mawazo, wasiwasi, mfadhaiko)
  • Kuharibu uwezo wa uzazi na nguvu za kiume
  • Hatari kwa mimba (mtoto kuzaliwa na matatizo ya kimaumbile - Fetal Alcohol Syndrome)
  • Kuongeza hatari ya ajali (barabarani, kazini, nyumbani)
  • Kudhoofisha uamuzi na tabia hatarishi (ngono zisizo salama, ugomvi)
  • Uharibifu wa kongosho (pancreatitis)
  • Kupungua kwa uwezo wa mwili kupambana na maambukizi
  • Matatizo ya usingizi
  • Kuongeza uzito kupitia kalori nyingi zisizo na virutubisho
  • Migogoro ya kifamilia na kijamii kutokana na ulevi
  • Vifo vinavyotokana na overdose au sumu ya pombe (alcohol poisoning)
Haya yote yanampata mtu mmoja? Au kila mmoja anajichagulia tatzo lake anaishi nalo?

Pombe ina madhara kama ilivyo soda na kama ilivyo kahawa na kama ilivyo kwa ubwabwa....

Madhara mengine ni kujitakia mengine ni overdose, mengine ulaji mengine style za maisha....

So hayo madhara yote kuna namna ya ku control na uka enjoy bia yako...

All in all pombe si kwa kila mtu kama hunywi usinywe...
 
Madhara ya unywaji wa pombe:
  • Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis)
  • Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili
  • Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
  • Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu
  • Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction)
  • Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili
  • Matatizo ya kiafya ya akili (msongo wa mawazo, wasiwasi, mfadhaiko)
  • Kuharibu uwezo wa uzazi na nguvu za kiume
  • Hatari kwa mimba (mtoto kuzaliwa na matatizo ya kimaumbile - Fetal Alcohol Syndrome)
  • Kuongeza hatari ya ajali (barabarani, kazini, nyumbani)
  • Kudhoofisha uamuzi na tabia hatarishi (ngono zisizo salama, ugomvi)
  • Uharibifu wa kongosho (pancreatitis)
  • Kupungua kwa uwezo wa mwili kupambana na maambukizi
  • Matatizo ya usingizi
  • Kuongeza uzito kupitia kalori nyingi zisizo na virutubisho
  • Migogoro ya kifamilia na kijamii kutokana na ulevi
  • Vifo vinavyotokana na overdose au sumu ya pombe (alcohol poisoning)
Aise mbona kam unasingizia pombe Mkuu
 
Kama mzee Warioba hadi leo anajipigia vitu vyake..
Na mzee huwa anapiga vikali lakini ukimuona kwa umri wake yupo vizuri.. anajielewa sana..

Kaanza kunywa kwenye ujana..
Hivi kumbe ana kula vyombo 😅
 
Kwani wote wanaokufa na ugonjwa wa ini walikuwa wanakunywa pombe!!?

Usitugombanishe sisi na My wetu
 
Back
Top Bottom