100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,179
- 36,379
Inategemea ntu na ntu..Same kwa waafrika a.k.a blacks..
Unafikiri watu wanakunywa kila siku?
Inategemea ntu na ntu..Same kwa waafrika a.k.a blacks..
Unafikiri watu wanakunywa kila siku?
Yah na the same kwa madhara kila mtu anapambana na lake. Wengine hata nusu glass anawehuka. Wengine konyagi kubwa anasukutua.Inategemea ntu na ntu..
Uzi umepingwa kwa nguvu kubwa , unaweza fikiria mtoa mada kajichanganya ,watu wa pombe sio mchezo😅Inategemea ntu na ntu..
Humu mapambano ni makali... 43 ana mtoto yupo humu tunachati naye... anatueleza madhara ya pombe😃😃Mzee wake labda ndio mimi hapa bwashee 😅
Na anadai mzee wake yupo fiti 43 na anadunda😅Humu mapambano ni makali... 43 ana mtoto yupo humu tunachati naye... anatueleza madhara ya pombe😃😃
Pole Sana kama ideas za ushindi unapanga na watumuogope mtu anayekunywa pombe mwenyewe ana maumivu mengi sana afu pombe inachangia sana kuharibu u bongo wa mtu unakuta mtu anakunywa pombe sana Leo kesho hakumbuki kitu lakini mlipanga vitu vingi vya msingi na ideas za ushindi
Nimeshangaa sana kumbe 40 ni mzee... asee ngoja tuanze kuishi kwa masharti. 43 anadunda😀😀Na anadai mzee wake yupo fiti 43 na anadunda😅
Mapema sana kuanzisha uzi kama huu siku ya furahidayMwana wa uasi kizazi cha nyoka kabisa
Ni typo nadhani..Humu mapambano ni makali... 43 ana mtoto yupo humu tunachati naye... anatueleza madhara ya pombe😃😃
Afocus na uji sio😅Kama furaha yako ni uji focus na uji.
Nipo najiandaa apa by 1100hrs inatakiwa niwe Beach Resort kupiga cocktails
naongezea bwasheePoints ni zilezile
Lack of capital
Poor infrastructure
Poor government support
Karibu kahawa bwashee
Kabisa bwashee, wimbo ni ule ule wanakufa wanaacha pombe ikidunda😅naongezea bwashee
cheap labour
low wages
👆Nani tukwanywe beer sa hii
Kuna kipindi nilikuwa marangu aisee saa 3 asubuhi unakuta mtu yuko tungi mbaya, wengine wanapepesuka na kuanguka, kule gongo ndo shidaSijajua mkuu, wamarangu sio wanywaji sana , rombo wanakunywa mno , pia wanajua kusaka pesa kama vichaa🤣
Hawajitambui hao bwasheeKuna kipindi nilikuwa marangu aisee saa 3 asubuhi unakuta mtu yuko tungi mbaya, wengine wanapepesuka na kuanguka, kule gongo ndo shida