Madhara ya unywaji wa Pombe

Madhara ya unywaji wa Pombe

hawa wazee wa miaka70/80/90 tunao waona uku kwenye vilabu vya pombe wao huwa wanakunywa maji vipi

Katika vitu ambayo huwa naona ni garbage ni nyuzi kama hizi ambazo zinataka fundisha watu maisha wakat kila mtu ni mgeni kwa dunia hii

Mda wa kuugua au kufa ukifika umefika tu uwe unakunywa pombe au maji
 
Usitutishe, we piga zako soda utulie...
345d136f8c4bf84882b9ef528825f874.jpg
 
Madhara ya unywaji wa pombe:
  • Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis)
  • Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili
  • Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
  • Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu
  • Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction)
  • Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili
  • Matatizo ya kiafya ya akili (msongo wa mawazo, wasiwasi, mfadhaiko)
  • Kuharibu uwezo wa uzazi na nguvu za kiume
  • Hatari kwa mimba (mtoto kuzaliwa na matatizo ya kimaumbile - Fetal Alcohol Syndrome)
  • Kuongeza hatari ya ajali (barabarani, kazini, nyumbani)
  • Kudhoofisha uamuzi na tabia hatarishi (ngono zisizo salama, ugomvi)
  • Uharibifu wa kongosho (pancreatitis)
  • Kupungua kwa uwezo wa mwili kupambana na maambukizi
  • Matatizo ya usingizi
  • Kuongeza uzito kupitia kalori nyingi zisizo na virutubisho
  • Migogoro ya kifamilia na kijamii kutokana na ulevi
  • Vifo vinavyotokana na overdose au sumu ya pombe (alcohol poisoning)
ijumaa ya leo pombe na nyama karibu
 
Back
Top Bottom