Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
Sijui ndugu zetu waislam wanasemaje, kwani haka katabia kwa hapa kwetu Tz kaliletwa na ndugu zetu waraabu(mwambao wa pwani) pole pole kakaanza kuenea, ila tunashukuru huku mikoani hizo ni njonzi
...naona kama umechanganya waislamu na waarabu, sawa na wanaoweza kuchanganya wazungu na wakristo, tuwe makini katika kutoa mifano yetu na kuhusisha dini za wenzetu.
kidini, tabia hii imetajwa sana tangu enzi za Nabii Lut, ingawa katika dunia ya leo wagiriki, na wa italiani pia wanasifika kwa matendo haya.
Ughaibuni, mfano uingereza; ndoa za jinsia moja nazo sasa ni ruksa, mfano;
Sir Elton John and his partner, David Furnish, tied the knot today to become one of England's first legally bound gay couples.
The celebrity wedding took place this morning at the Guildhall in Windsor, where the Prince of Wales married Camilla Parker Bowles in April. The private ceremony happened just hours after Britain's civil partnership law allowed gay couples to "marry" for the first time across England and Wales.
na hii hapa;
U.S. Bishops Urge Constitutional
Amendment to Protect Marriage
The Catholic Church opposes gay marriage and the social acceptance of homosexuality and same-sex relationships, but teaches that homosexual persons deserve respect, justice and pastoral care. The Vatican and Pope John Paul II are speaking out against the growing number of places that recognize same-sex marriages.
Mwenyezi Mungu atuepushie 'dhahma' hizi, maana madhara yake kwenye jamii 'husika' ni kubwa kuliko zinavyofikirika, mfano; uaminifu katika ndoa, magonjwa ya zinaa, matatizo wakati wa kujifungua, haki za watoto, heshima katika jamii bila kujali wewe ni dini gani au jinsia gani, nk nk nk....