Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,233
- 4,608
Jamani mi naomba kueleweshwa madhara ya kiafya/kisaikolojia kuhusu watu (waume/wake) ambao kwao kutumia njia ya haja kubwa kwa mapenzi ni kawaida.Mfano nilipokuwa A-level miaka ya nyuma tulikuwa na bwana mmoja mabye kwake yeye kufanya mapenzi na mwanamke bila "kuchungulia huko" ilikuwa ni mwiko,na kwa kweli ilikuwa kama ameathirika kisaikolojia kwani kwake yeye akimuona mwanamke cha kwanza kumvutia ni makalio tu.Pia katika zile picha za ndugu yetu BRAZAMENI kuna wanawake ambao huwa wanaingiliwa na kinyume na maumbile na wanaume wenye "madudu" makubwa kweli kweli (mengine hata inch 9!!) na huonekana kufurahia kama sio maigizo tu.sasa wandugu madaktari hebu nifafanulieni matatizo ya kiafya/kimaumbile kwa washirika wan njia hii ya mapenzi na pili matatizo ya kisaikolojia kama yapo.