Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

Hii ya kutahiri kichanga siikubali kabisa.... Mimi mwenyewe nimekata nikiwa mkubwa kabisa... Nikiwa Form Four wa miaka 19 kipindi hicho.... Na naiona mashine mpya Kila wakati ikiwa katika ubora wake..... Maninaaaa....[emoji1787][emoji1787][emoji119]
19 yrs ndo ukatoa govi? Be4 ulikua na mzura? Je uchafu wake ukipinyua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yupo tayari kutolewa govi.

Ingekuwa ni Mimi ningempeleka jando la kienyeji kama nilivyofanyiwa Mimi.

Sipendi mb** iwe imezungushiwa nyuzi za hospital zinaleta manundu kwenye Njia- anakuwa siyo smooth.

Enzi zetu tulitahiriwa na viwembe,wakati wa kubadilisha na kuisha bidonda tulikuwa tunat*mb* vifuu vyenye maji kutoa plaster kisha inawekwa dawa. Full kienyeji.
Hongeraa asee SH, nje ya hilo, waliotahiriwa jando la porini.
Wana kitu fulaani spesho, ntasema siku ingine. Lol
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana!
Kuna wale wazee wa kusimamia watoto polini—asee, ni wakuda kinoma. Picha linaanza unakatwa bila ganzi kudadadekiii! 🤣🤣

Ukilia wakati wa kukatwa, unachekwa na kuchezewa mbata za mgongo huku unasindikizwa na maneno:

Babu yako anakupakata anakupa maneno ya kishujaa. Basi, kiume tu, chozi linakatika, unakaza!

Sasa, kimbembe kinakuja siku ya kuondoa bandage ya zamani uweke mpya pamoja na dawa. 🤣🤣🤣
Aseeh, ukitaka amani jitatue mwenyewe baba. Watakupa maji ya moto uloweshe dushe, alafu ujitatue taratibu mwenyewe. Oyaaaa yale maumivu sio kweli daaaah!!!

Unajitatua, af kuna sehemu lazima inakuwa na usumbufu fulani ilimradi tu ukwame, aje mrombo wa jando akutatue. Aaaah watu hawana huruma hao!

Pilika za jando aseeeh, zimetufanya tuwe wanaume haswaa!
Zamani hadi unakaa msituni mwezi na nusu—humuoni mama wala bibi, kifupi huoni mwanamke yeyote hadi siku ya kurudi home.

Na ile siku mnaambiwa

"Sasa leo ni siku ya kurudi nyumbani."

Lile boma (jengo la miti) la msituni linatakiwa lichomwe moto wakati mpo ndani. Likishawashwa tu, mnatakiwa mu-escape huo moto kwa namna yoyote (hii ishu mnakuw trained wiki mbili, so haiwi risk at all). Ni ishara ya ukomavu kwa watoto waliokaa msituni mwezi mmoja na wiki mbili.

Hii ishu ndo inafanya kwetu kusiwe na tabia ya kutahiri watoto wakiwa wadogo lazima apitie hizi ishu. Imagine unampeleka mtoto wa miaka 4, atatoboa hapo? Ngumu sana!

Tohara kwetu sio kuondoa govi tu; ni mafunzo ya kuandaa mtoto kuwa mwanaume jasiri.
Mtoto akirudi home, hatakiwi kuogeshwa na mama wala dada—ni kaka au baba tu. Ndololo haitakiwi ionekane na dada tena.

Oyaaa, kwetu kuna zile kamba wanafungaga ndololo ikiwa imepona, ili ipate kukua na kweli inakua kudadekiii!
Midume mnashindana kuonesha dushe tuuuu. Sio poa aseeh.

Hii mitoto ya sasa hivi inatahiriwa na kuogeshwa na bimkubwa—ovyo kabisa! Hahahahaha
Mtoto analilia soda! Hatari sana.

Zamani ukililia soda unasimamishwa juu bila nguo, unakunja mguu mmoja mtindo wa 4, halafu chini wanaweka makaa ya moto. Sasa shusha mguu uungueee! Hakuna huruma kwenye kuandaa mtoto wa kiume!

Sasa hivi? Looool!
Watoto hawa acha tu!
Daaaahhh! Safi sana.

Lucas Mwashambwa njoo uchote ujuzi hapa kwa manufaa ya chuo chako cha mafunzo ya Jando.

Andaa syllabus kabisa hii kitu iwe rasmi.
 
Suala tu la mtu kutahiriwa ni hatari, haijarishi ni mtoto au mtu mzima.
Sasa linapaswa kuwa uamuzi binafsi wa mtu husika, tena akiwa mtu mzima, sio chini ya miaka 18.
 
Nadhani umri sahihi ni angalau miaka 9 mtoto akianza kuwa kijana mdogo ile balehe ya mwanzo mwanzo hapo unampeleka jando. Hizi za utotoni ni kucheza bikko na uzao wako
 
Hata akifika 15 hakuna shida
Kuna shida anaweza kuja kuwa shoga ...tofauti na zamani kulikuwa hakuna shida ...kuchelewa kumtahiri kunafanya mtoto wa kiume kuwa na aibu zaidi hata kwa wavulana wenzake na zaidi kwa wasichana kunamfanya asijiamini ...zamani ilikuwa hakuna madhara kwa sababu wavulana wote kwa pamoja walikuwa wanachelewa kutahiri au wanatahiliwa kwa wakati mmoja
 
Umri sahihi ni kabla ya kuanza shule
Kabla ya kuanza shule ndio umri gani huo?, una maanisha miaka 5 kushuka chini?. Kama ni hivyo basi mnawakisea sana hao watoto.

Mtoto hatairiwi, anayetairiwa ni kijana mdogo, jando ni kwa vijana na sio watoto. Ipo sababu kwanini haya yanafanywa kwa vijana na sio watoto.

Baadae wanakuja kuwa wadhaifu lawama zinaanza mara sijui punyeto, mara chips kumbe ni mishipa dhaifu. Hasa ule mshipa wa chini ambao kwa mtoto ni rahisi sana kuukusanya.

Anyway
 
wayahudi huwa wanatahiri mtoto akifikisha siku 8. watoto wangu mimi huwa natahiri wakifikisha walau miaka 5. binafsi nilitahiri baada ya kubalehe, naamini pia masai hutahiri wakati wa kuvukia balehe, na wakurya pia. ningepewa kushauri watu ningesema watahiri wakiwa na miaka walau 12 wakati tayari kanaanza kusimama ili kakisimama utengano wa govi na yenyewe uonekane vizuri na ikatwe ngozi tu bila kukata maeneo yaliyobeba hisia. kukata kakiwa kachang a kadudu kanakuwa kadogo mno na kuna uwezekano kufanya vibaya/kukata kupita kiasi though wengine wanasema ukikata kakiwa kachanga kanapata nafasi zaidi ya kunenepa/kuvimba sehemu ulizokata jambo ambalo linaboresha wakati wa tendo na kurefuka zaidi. madaktari wanajua.
Wayahudi wana madktari specialist kwa ajili ya kutahiri tu na wanalipwa vizuri Sana. Na wengi wao wanaanza kufundishwa kazi hiyo kuanzia wakiwa wadogo. Wanafundishwa na baba zao nao wanawarithisha watoto wao.

And they must go to school to become Professional Medical Doctors. Ila wana specialize kwenye kutahiri watoto tu
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana!
Kuna wale wazee wa kusimamia watoto polini—asee, ni wakuda kinoma. Picha linaanza unakatwa bila ganzi kudadadekiii! 🤣🤣

Ukilia wakati wa kukatwa, unachekwa na kuchezewa mbata za mgongo huku unasindikizwa na maneno:

Babu yako anakupakata anakupa maneno ya kishujaa. Basi, kiume tu, chozi linakatika, unakaza!

Sasa, kimbembe kinakuja siku ya kuondoa bandage ya zamani uweke mpya pamoja na dawa. 🤣🤣🤣
Aseeh, ukitaka amani jitatue mwenyewe baba. Watakupa maji ya moto uloweshe dushe, alafu ujitatue taratibu mwenyewe. Oyaaaa yale maumivu sio kweli daaaah!!!

Unajitatua, af kuna sehemu lazima inakuwa na usumbufu fulani ilimradi tu ukwame, aje mrombo wa jando akutatue. Aaaah watu hawana huruma hao!

Pilika za jando aseeeh, zimetufanya tuwe wanaume haswaa!
Zamani hadi unakaa msituni mwezi na nusu—humuoni mama wala bibi, kifupi huoni mwanamke yeyote hadi siku ya kurudi home.

Na ile siku mnaambiwa

"Sasa leo ni siku ya kurudi nyumbani."

Lile boma (jengo la miti) la msituni linatakiwa lichomwe moto wakati mpo ndani. Likishawashwa tu, mnatakiwa mu-escape huo moto kwa namna yoyote (hii ishu mnakuw trained wiki mbili, so haiwi risk at all). Ni ishara ya ukomavu kwa watoto waliokaa msituni mwezi mmoja na wiki mbili.

Hii ishu ndo inafanya kwetu kusiwe na tabia ya kutahiri watoto wakiwa wadogo lazima apitie hizi ishu. Imagine unampeleka mtoto wa miaka 4, atatoboa hapo? Ngumu sana!

Tohara kwetu sio kuondoa govi tu; ni mafunzo ya kuandaa mtoto kuwa mwanaume jasiri.
Mtoto akirudi home, hatakiwi kuogeshwa na mama wala dada—ni kaka au baba tu. Ndololo haitakiwi ionekane na dada tena.

Oyaaa, kwetu kuna zile kamba wanafungaga ndololo ikiwa imepona, ili ipate kukua na kweli inakua kudadekiii!
Midume mnashindana kuonesha dushe tuuuu. Sio poa aseeh.

Hii mitoto ya sasa hivi inatahiriwa na kuogeshwa na bimkubwa—ovyo kabisa! Hahahahaha
Mtoto analilia soda! Hatari sana.

Zamani ukililia soda unasimamishwa juu bila nguo, unakunja mguu mmoja mtindo wa 4, halafu chini wanaweka makaa ya moto. Sasa shusha mguu uungueee! Hakuna huruma kwenye kuandaa mtoto wa kiume!

Sasa hivi? Looool!
Watoto hawa acha tu!
Nilikua naangaza hii Comment. Nikumbuke Kijijini
Asikiaye na Afahamu. Depal karibu Nkuhungu Chama kibandani au Ilazo
 
Back
Top Bottom