1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,389
- 3,285
Tukubaliane tu majira,nyakati na watu (wa/zi)na badilika,
Kwa sasa huwezi kufanya mambo kama ulivyofanya miaka ya 1990 mpk 2000,
Tuheshimu process.
Mm nilitahiriwa miaka kabla ya 2000 kurudi nyuma,nikiwa chalii.
Lkn nikaja kushiriki ma camp ya jando ya wenzangu walio tahiriwa wakiwa wkubwa kuanzia 9-13.
Ilikuwa ya kibabe,,
Camp liko vichakani huko ni mbali na makazi ya watu..
Usiku ni disco km la jkt la ile 6week.
Ni nyimbo tu za kishujaa hamna redio hapo.
Mchana.
Ni kukaa apo uchiuchi ole wako uonekane umedindisha ,unalimwa rungu la ugoko,ama joint za miguu mpk ki Boro kilale kama mlinzi wa guest..
Ni mwendo wa kiaskari ,hakuna mtoto wa mama kule,
Mgeni anaekuja kuwa tembelea camp, hatua 20 kabla hujafikia lango kuna namna ya kupiga hodi (code)lazima upige km hujui utafundishwa wkt unatoka lkn tyr umeshapigwa bakora,utaenda kuwapa code wenzio huko ukishaijua.
Yapo mengi yakufurahisha..wakikaribia kupona labda week ya 3,apo sasa ni
kuzulura na minati wenye shabaha ndege zitawindwa ,week yote ni kuchoma ndege tu.
Siku ya kutoka sasa daa iyo ndo ina vibe yaani ni sherehe..
(Maana unakuta camp vijana wamekusanywa kutoka labda nyumba 5/7) kwaivyo vijana wataoga watapendeza ni mwendo kutembea nyumba hadi nyumba ,wtaokota 50 50 na 100 100 kama zote na soda mtakunywa siku hyo.
hapo wazee wetu ni mwendo wa pombe za kienyeji na disco uchwara ya redio cassette tena casio.
Nyakati hizi kumejengeka sana,maendeleo kibao wakulima wamevamia maeneo,wakata mikaa na mbao wamefyeka vby .. hata sehemu za kuwinda ndege hazipo tena.
Wazazi ndio hawa tena watoto 2000 hawaelewi kitu kuhusu ujamaa.
Juzi kati nimempeleka first born wangu ana miaka mitano kasoro.
Nikawaza nimpeleke kizamani lkn nyakati zinanigomea kabisa.
Nimewazaa Town huku bs taflani.
Ikiwa nykt kwa baadhi yetu hazikimbii mfn umasaini unaweza kutahiri kwa miaka hyo 9 nakuendelea..
Lkn wengineo 90% tunajikuta tunatahir Wachanga tumechelewa mpk wazazi kwa wazazi tunachekana miaka 4/6.
Ikifika 9 hajatahiriwa huyo mtto shuleni kazi anayo,atanyanyaswa kisaikolojia na wenzie.
Nyakati Shikamoo.