Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

Mkuu umenikumbusha mbali sana!
Kuna wale wazee wa kusimamia watoto polini—asee, ni wakuda kinoma. Picha linaanza unakatwa bila ganzi kudadadekiii! [emoji1787][emoji1787]

Ukilia wakati wa kukatwa, unachekwa na kuchezewa mbata za mgongo huku unasindikizwa na maneno:

Babu yako anakupakata anakupa maneno ya kishujaa. Basi, kiume tu, chozi linakatika, unakaza!

Sasa, kimbembe kinakuja siku ya kuondoa bandage ya zamani uweke mpya pamoja na dawa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aseeh, ukitaka amani jitatue mwenyewe baba. Watakupa maji ya moto uloweshe dushe, alafu ujitatue taratibu mwenyewe. Oyaaaa yale maumivu sio kweli daaaah!!!

Unajitatua, af kuna sehemu lazima inakuwa na usumbufu fulani ilimradi tu ukwame, aje mrombo wa jando akutatue. Aaaah watu hawana huruma hao!

Pilika za jando aseeeh, zimetufanya tuwe wanaume haswaa!
Zamani hadi unakaa msituni mwezi na nusu—humuoni mama wala bibi, kifupi huoni mwanamke yeyote hadi siku ya kurudi home.

Na ile siku mnaambiwa

"Sasa leo ni siku ya kurudi nyumbani."

Lile boma (jengo la miti) la msituni linatakiwa lichomwe moto wakati mpo ndani. Likishawashwa tu, mnatakiwa mu-escape huo moto kwa namna yoyote (hii ishu mnakuw trained wiki mbili, so haiwi risk at all). Ni ishara ya ukomavu kwa watoto waliokaa msituni mwezi mmoja na wiki mbili.

Hii ishu ndo inafanya kwetu kusiwe na tabia ya kutahiri watoto wakiwa wadogo lazima apitie hizi ishu. Imagine unampeleka mtoto wa miaka 4, atatoboa hapo? Ngumu sana!

Tohara kwetu sio kuondoa govi tu; ni mafunzo ya kuandaa mtoto kuwa mwanaume jasiri.
Mtoto akirudi home, hatakiwi kuogeshwa na mama wala dada—ni kaka au baba tu. Ndololo haitakiwi ionekane na dada tena.

Oyaaa, kwetu kuna zile kamba wanafungaga ndololo ikiwa imepona, ili ipate kukua na kweli inakua kudadekiii!
Midume mnashindana kuonesha dushe tuuuu. Sio poa aseeh.

Hii mitoto ya sasa hivi inatahiriwa na kuogeshwa na bimkubwa—ovyo kabisa! Hahahahaha
Mtoto analilia soda! Hatari sana.

Zamani ukililia soda unasimamishwa juu bila nguo, unakunja mguu mmoja mtindo wa 4, halafu chini wanaweka makaa ya moto. Sasa shusha mguu uungueee! Hakuna huruma kwenye kuandaa mtoto wa kiume!

Sasa hivi? Looool!
Watoto hawa acha tu!
Sasa mbona wee una kibamia, zile picha zako za PM, si kibamia kabisa kilee, tena kimetepetaa.
Ila JF ni kukaa nayo kimastaa, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo urungu wa kushato mbona huna? Khaaaah
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana!
Kuna wale wazee wa kusimamia watoto polini—asee, ni wakuda kinoma. Picha linaanza unakatwa bila ganzi kudadadekiii! 🤣🤣

Ukilia wakati wa kukatwa, unachekwa na kuchezewa mbata za mgongo huku unasindikizwa na maneno:

Babu yako anakupakata anakupa maneno ya kishujaa. Basi, kiume tu, chozi linakatika, unakaza!

Sasa, kimbembe kinakuja siku ya kuondoa bandage ya zamani uweke mpya pamoja na dawa. 🤣🤣🤣
Aseeh, ukitaka amani jitatue mwenyewe baba. Watakupa maji ya moto uloweshe dushe, alafu ujitatue taratibu mwenyewe. Oyaaaa yale maumivu sio kweli daaaah!!!

Unajitatua, af kuna sehemu lazima inakuwa na usumbufu fulani ilimradi tu ukwame, aje mrombo wa jando akutatue. Aaaah watu hawana huruma hao!

Pilika za jando aseeeh, zimetufanya tuwe wanaume haswaa!
Zamani hadi unakaa msituni mwezi na nusu—humuoni mama wala bibi, kifupi huoni mwanamke yeyote hadi siku ya kurudi home.

Na ile siku mnaambiwa

"Sasa leo ni siku ya kurudi nyumbani."

Lile boma (jengo la miti) la msituni linatakiwa lichomwe moto wakati mpo ndani. Likishawashwa tu, mnatakiwa mu-escape huo moto kwa namna yoyote (hii ishu mnakuw trained wiki mbili, so haiwi risk at all). Ni ishara ya ukomavu kwa watoto waliokaa msituni mwezi mmoja na wiki mbili.

Hii ishu ndo inafanya kwetu kusiwe na tabia ya kutahiri watoto wakiwa wadogo lazima apitie hizi ishu. Imagine unampeleka mtoto wa miaka 4, atatoboa hapo? Ngumu sana!

Tohara kwetu sio kuondoa govi tu; ni mafunzo ya kuandaa mtoto kuwa mwanaume jasiri.
Mtoto akirudi home, hatakiwi kuogeshwa na mama wala dada—ni kaka au baba tu. Ndololo haitakiwi ionekane na dada tena.

Oyaaa, kwetu kuna zile kamba wanafungaga ndololo ikiwa imepona, ili ipate kukua na kweli inakua kudadekiii!
Midume mnashindana kuonesha dushe tuuuu. Sio poa aseeh.

Hii mitoto ya sasa hivi inatahiriwa na kuogeshwa na bimkubwa—ovyo kabisa! Hahahahaha
Mtoto analilia soda! Hatari sana.

Zamani ukililia soda unasimamishwa juu bila nguo, unakunja mguu mmoja mtindo wa 4, halafu chini wanaweka makaa ya moto. Sasa shusha mguu uungueee! Hakuna huruma kwenye kuandaa mtoto wa kiume!

Sasa hivi? Looool!
Watoto hawa acha tu!
Hayo ya mafunzo sijui moto sikuyapitia lkn tulipelekwa porini tulikua zaidi ya 15++ wazee kama 3 hivi walikua wanatusimamia hapo hamna kuonana na wadada mpaka upone, ukierect wanakupiga virungu miguuni😁
 
Hakuna kitu nguvu ya kiume Tatizo mnakutana na wanawake ambao wametumika sana

A decent woman anafika sehemu yake chap just my talking

Hao wadada sampuli ya kina kajala na
Hamisa mtu anaishi kwa mwili wake ni lazima akuone huna nguvu

Wakat unapambana mwenzio anawqza vikoba na
Pesa ya ada
Mwanamke kutumika sana hakukufanyi wewe uonekane kibamia au uonekane huna nguvu za kiume
 
Hayo ya mafunzo sijui moto sikuyapitia lkn tulipelekwa porini tulikua zaidi ya 15++ wazee kama 3 hivi walikua wanatusimamia hapo hamna kuonana na wadada mpaka upone, ukierect wanakupiga virungu miguuni😁
Kumi na 5 hahahahah aiseee sisi tulikuwa 65+ kuhusu moto ni mila tu zinapishana na muda mwingine ni aina ya wazazi tu.. kwa wazaz wa sadahiv hata sisi kwetu hiii sidhani kama inaendelea kutekelezwa
 
Sasa mbona wee una kibamia, zile picha zako za PM, si kibamia kabisa kilee, tena kimetepetaa.
Ila JF ni kukaa nayo kimastaa, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo urungu wa kushato mbona huna? Khaaaah
Ni kwelii haikudindraaa, na sjatuma mdindo coz skuwa na lengo la kukutisha it was for testmony purpose only!!! So chill😊
 
Ni kwelii haikudindraaa, na sjatuma mdindo coz skuwa na lengo la kukutisha it was for testmony purpose only!!! So chill[emoji4]
Aaah wapiii!! Ile hata ikidinda bado inakua kiba100 bhana. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumi na 5 hahahahah aiseee sisi tulikuwa 65+ kuhusu moto ni mila tu zinapishana na muda mwingine ni aina ya wazazi tu.. kwa wazaz wa sadahiv hata sisi kwetu hiii sidhani kama inaendelea kutekelezwa
Ila bn zamani haya mambo yalikua na raha yake mkishapona kunakua na bro moja anawazungusha kijijini wote mnapewa fimbo kila mtakaekutana nae anakula fimbo za maana, baada ya hapo ni mwendo wa kuoa tu.
 
Hahahahahah sisi baada ya kupona kuanzia mida ya saa 4 usku kunakuwa na njemba zinapita kututembeza na vitarumbeta vidogo(kama solo au vinubi) vinapulizwa hivyoo, tunacheza af tunapita kila nyumba ambayo kuna mtoto wao yupo jando.. hapo tukifika tu lazma tupewe kuku ndo tuondoke!! Raha sana wiki mbili za mwisho ni mwendo wa kula vyuku tu!! Shida huyo kuku hawekwi nyanya wala kitunguu imagine ugali unapiga na supu ya kuku🤣🤣
 
Nili
19 yrs ndo ukatoa govi? Be4 ulikua na mzura? Je uchafu wake ukipinyua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nikipinyua inakataa,... So niliiachaga vilevile mpaka siku nakata.... Maninaaa....🤣🤣.... Hata dokta alishangaa🤣🤣
 
Nili

Nilikuwa nikipinyua inakataa,... So niliiachaga vilevile mpaka siku nakata.... Maninaaa....[emoji1787][emoji1787].... Hata dokta alishangaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatarii sanaa. Lol
 
Back
Top Bottom