Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

Amefikisha 6yrs mkuuu....
Bado sana huyo. Muache abelehe ili ngozi ya mboro iwe imeshajivuta vizuri usawa wa mboro ya mwanaume aliyekomaa.

Ukimkata govi kabla hajabalehe, mboro inapotaka kupanuka na kukua inakutana na kizuizi cha ngozi iliyokatwa na kufinywa.

Mboro inabaki pale pale inakuwa kama ya kichanga.

Ndo ile unakutana na libaba lina misuli na mandevu lakini lina MBORO NUKTA. Kumbe chanzo ni MA MTU.
 
Hapa nakuunga mkono.

Zamani tulizoea kwenda jando,mashine inakatwa kwa jadi na ngariba.

Ukiangalia mashine hata Leo inapendeza na ukiwa horny ikisimama inakuwa kama kombola la Iran alilomtungulia Israel. Kitu imenyooka.

Msalimie Luka, Ma mtu.
Hahahaaa asante Ba Mtu.
 
Mwaka 1966, baada ya tohara iliyofanyika utotoni kwenda vibaya sana, madaktari walishauri kwamba David afanyiwe upasuaji wa kumwondolea maumbile ya kiume na alelewe kama msichana. Wazazi wake walikubaliana na ushauri huo, na alimwita Brenda, akalelewa kama mtoto wa kike.

Duniani kuna cases ngapi kwa mwaka za namna hii?
 
Bado sana huyo. Muache abelehe ili ngozi ya mboro iwe imeshajivuta vizuri usawa wa mboro ya mwanaume aliyekomaa.

Ukimkata govi kabla hajabalehe, mboro inapotaka kupanuka na kukua inakutana na kizuizi cha ngozi iliyokatwa na kufinywa.

Mboro inabaki pale pale inakuwa kama ya kichanga.

Ndo ile unakutana na libaba lina misuli na mandevu lakini lina MBORO NUKTA. Kumbe chanzo ni MA MTU.
Astkafulilah..
 
Amefikisha 6yrs mkuuu....
Yupo tayari kutolewa govi.

Ingekuwa ni Mimi ningempeleka jando la kienyeji kama nilivyofanyiwa Mimi.

Sipendi mb** iwe imezungushiwa nyuzi za hospital zinaleta manundu kwenye Njia- anakuwa siyo smooth.

Enzi zetu tulitahiriwa na viwembe,wakati wa kubadilisha bandag tulikuwa tunat*mb* vifuu vyenye maji kutoa plaster kisha inawekwa dawa. Full kienyeji.
 
Yupo tayari kutolewa govi.

Ingekuwa ni Mimi ningempeleka jando la kienyeji kama nilivyofanyiwa Mimi.

Sipendi mb** iwe imezungushiwa nyuzi za hospital zinaleta manundu kwenye Njia- anakuwa siyo smooth.

Enzi zetu tulitahiriwa na viwembe,wakati wa kubadilisha na kuisha bidonda tulikuwa tunat*mb* vifuu vyenye maji kutoa plaster kisha inawekwa dawa. Full kienyeji.
Aisee
 
Aiseee mbona kazi sana....
Siku hzi wanavishwa vi mpira
 
Achana na wale MADOKTA UCHWARA wanakwambia "haina shida" mara sijui "haina madhara, ondoa shaka hili ni jambo la kitaalamu" .... utaangamiza mtoto Kalpana.

Huyo DOKITA mwenyewe ana miaka 30 kaajiriwa ana miaka miwili kazini hajui MAMBO HALISI, yeye anasoma kwenye CHATGPT ndo akupe ushauri. UTAUMIZA MWANA.

Akina mama wote kuweni makini kulinda via vya uzazi vya watoto wenu wa kiume.
 
Achana na wale MADOKTA UCHWARA wanakwambia "haina shida" mara sijui "haina madhara, ondoa shaka hili ni jambo la kitaalamu" .... utaangamiza mtoto Kalpana.

Huyo DOKITA mwenyewe ana miaka 30 kaajiriwa ana miaka miwili kazini hajui MAMBO HALISI, yeye anasoma kwenye CHATGPT ndo akupe ushauri. UTAUMIZA MWANA.

Akina mama wote kuweni makini kulinga via vya uzazi vya watoto wenu wa kiume.
Tumekuelewa mkuu....😄😄
 
Miaka mi5 t unga koooo, me nimepataa nikiwa na miaka 8 lakn aaah aseehh ungaa bwana ungaa
Unga wa mtoto unavumilika.

Vuta picha una miaka 18+ alafu una govi huo unga si utakuwa unanuka kabisa na unajaza kisado.

DIVISHENI FOO anakuambia huo unga ndiyo anapenda kunyonya. Anahisi kama ananyonya maziwa. Aagh qmmk.
 
Kama unga ungekuwa na madhara, Mungu asingeyaumba Magovi.

Kwako BA MTU.
 
Yupo tayari kutolewa govi.

Ingekuwa ni Mimi ningempeleka jando la kienyeji kama nilivyofanyiwa Mimi.

Sipendi mb** iwe imezungushiwa nyuzi za hospital zinaleta manundu kwenye Njia- anakuwa siyo smooth.

Enzi zetu tulitahiriwa na viwembe,wakati wa kubadilisha na kuisha bidonda tulikuwa tunat*mb* vifuu vyenye maji kutoa plaster kisha inawekwa dawa. Full kienyeji.
Mkuu umenikumbusha mbali sana!
Kuna wale wazee wa kusimamia watoto polini—asee, ni wakuda kinoma. Picha linaanza unakatwa bila ganzi kudadadekiii! 🤣🤣

Ukilia wakati wa kukatwa, unachekwa na kuchezewa mbata za mgongo huku unasindikizwa na maneno:

"Kazaaaa mwanaume! Qhuma tamu kuliko soda. Usipotolewa hilo dude huwezi kula tunda."

Babu yako anakupakata anakupa maneno ya kishujaa. Basi, kiume tu, chozi linakatika, unakaza!

Sasa, kimbembe kinakuja siku ya kuondoa bandage ya zamani uweke mpya pamoja na dawa. 🤣🤣🤣
Aseeh, ukitaka amani jitatue mwenyewe baba. Watakupa maji ya moto uloweshe dushe, alafu ujitatue taratibu mwenyewe. Oyaaaa yale maumivu sio kweli daaaah!!!

Unajitatua, af kuna sehemu lazima inakuwa na usumbufu fulani ilimradi tu ukwame, aje mrombo wa jando akutatue. Aaaah watu hawana huruma hao!

Pilika za jando aseeeh, zimetufanya tuwe wanaume haswaa!
Zamani hadi unakaa msituni mwezi na nusu—humuoni mama wala bibi, kifupi huoni mwanamke yeyote hadi siku ya kurudi home.

Na ile siku mnaambiwa

"Sasa leo ni siku ya kurudi nyumbani."

Lile boma (jengo la miti) la msituni linatakiwa lichomwe moto wakati mpo ndani. Likishawashwa tu, mnatakiwa mu-escape huo moto kwa namna yoyote (hii ishu mnakuw trained wiki mbili, so haiwi risk at all). Ni ishara ya ukomavu kwa watoto waliokaa msituni mwezi mmoja na wiki mbili.

Hii ishu ndo inafanya kwetu kusiwe na tabia ya kutahiri watoto wakiwa wadogo lazima apitie hizi ishu. Imagine unampeleka mtoto wa miaka 4, atatoboa hapo? Ngumu sana!

Tohara kwetu sio kuondoa govi tu; ni mafunzo ya kuandaa mtoto kuwa mwanaume jasiri.
Mtoto akirudi home, hatakiwi kuogeshwa na mama wala dada—ni kaka au baba tu. Ndololo haitakiwi ionekane na dada tena.

Oyaaa, kwetu kuna zile kamba wanafungaga ndololo ikiwa imepona, ili ipate kukua na kweli inakua kudadekiii!
Midume mnashindana kuonesha dushe tuuuu. Sio poa aseeh.

Hii mitoto ya sasa hivi inatahiriwa na kuogeshwa na bimkubwa—ovyo kabisa! Hahahahaha
Mtoto analilia soda! Hatari sana.

Zamani ukililia soda unasimamishwa juu bila nguo, unakunja mguu mmoja mtindo wa 4, halafu chini wanaweka makaa ya moto. Sasa shusha mguu uungueee! Hakuna huruma kwenye kuandaa mtoto wa kiume!

Sasa hivi? Looool!
Watoto hawa acha tu!
 
Jamani hii sichuesheni ya kulea mtoto katika kipindi amekatwa ni mziki mnene....hongereni wamama wenzangu wote maana hakuna kulala...🥲🥲🥲🥲
Mtoto wa umri gani?
 
Back
Top Bottom