Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

wayahudi huwa wanatahiri mtoto akifikisha siku 8. watoto wangu mimi huwa natahiri wakifikisha walau miaka 5. binafsi nilitahiri baada ya kubalehe, naamini pia masai hutahiri wakati wa kuvukia balehe, na wakurya pia. ningepewa kushauri watu ningesema watahiri wakiwa na miaka walau 12 wakati tayari kanaanza kusimama ili kakisimama utengano wa govi na yenyewe uonekane vizuri na ikatwe ngozi tu bila kukata maeneo yaliyobeba hisia. kukata kakiwa kachang a kadudu kanakuwa kadogo mno na kuna uwezekano kufanya vibaya/kukata kupita kiasi though wengine wanasema ukikata kakiwa kachanga kanapata nafasi zaidi ya kunenepa/kuvimba sehemu ulizokata jambo ambalo linaboresha wakati wa tendo na kurefuka zaidi. madaktari wanajua.
 
Ni hatari Sana mkuu. Hao wanao tahiriwa wachanga ndio hao vibamia na wanao lalamika kuhusu nguvu
Hujui unachoongea, Marekani watoto wa kiume karibia wote hutahiriwa wanapozaliwa, wamarekani weusi maniga wana vibamia ?

Maumbile yanafuata asili ya baba, kama baba ni size ndogo mtoto hata atahiriwe akiwa mkubwa haina tofauti
 
Hii ya kutahiri kichanga siikubali kabisa.... Mimi mwenyewe nimekata nikiwa mkubwa kabisa... Nikiwa Form Four wa miaka 19 kipindi hicho.... Na naiona mashine mpya Kila wakati ikiwa katika ubora wake..... Maninaaaa....🤣🤣🙌
 
Na wee bichwa komwe bwana sasa tuwaache? 🙄🙄🙄
Muache akue, afikishe hata miaka 15 huko wakati ameshabalehe ndo ukate govi.

Ndo maana kaka yangu Lucas Mwashambwa ameanzisha chuo cha mafunzo ya jando ili vijana waliobalehe wapate ujuzi wa kiutu uzima ikiwa ni pamoja na tohara.

Sasa kichanga cha wiki moja kinajua nini?

Mboro yenyewe kama nukta halafu unaifyeka na mikasi. Yaani nyiee!
 
🤣🤣🤣🤣umeshindikana...
Hahahaha
 
Ni hatari Sana mkuu. Hao wanao tahiriwa wachanga ndio hao vibamia na wanao lalamika kuhusu nguvu
Mkuu kwenye hilo nakupinga. Mimi nimepata tohara nikiwa darasa la sita nikiwa na miaka 14 kwa wakati huo lakini napitia changamoto sana upande wa nguvu na sikuwahi kujihusisha kwenye maswala ya kipuuzi. Kwahyo kwenye hilo nakukatalia abadani
 
Muache akue, afikishe hata miaka 15 huko wakati ameshabalehe ndo ukate govi.

Ndo maana kaka yangu Lucas Mwashambwa ameanzisha chuo cha mafunzo ya jando ili vijana waliobalehe wapate ujuzi wa kiutu uzima ikiwa ni pamoja na tohara.

Sasa kichanga cha wiki moja kinajua nini?

Mboro yenyewe kama nukta halafu unaifyeka na mikasi. Yaani nyiee!
Hapa nakuunga mkono.

Zamani tulizoea kwenda jando,mashine inakatwa kwa jadi na ngariba.

Ukiangalia mashine hata Leo inapendeza na ukiwa horny ikisimama inakuwa kama kombola la Iran alilomtungulia Israel. Kitu imenyooka.

Msalimie Luka, Ma mtu.
 
Back
Top Bottom