Madhara ya kusomea British Common Law, yaonekana!

Madhara ya kusomea British Common Law, yaonekana!

Ni maajabu, Tundu Lisu anaumia zaidi kuliko Mzungu mwenyewe aliyezuiwa kusafirisha Mzigo, Tundu Lisu anashinda kutwa kutoka povu kumtetea Mzungu, hii ndiyo shida ya kwenda Shuleni maisha yote kusomea Utamaduni wa Mzungu (Muingereza), laiti kama tungekuwa na Sheria ya Kitanzania yaani inayotokana na utamaduni wetu, basi tungekuwa na Wanasheria wanaopigania Utanzania, lkn sasa hivi wanampigania Mzungu kwa maana ndicho walichosomea, binafsi nawachukia Wanasheria wote waliosomea British Common law kwa maana inatoa watu Wasaliti na Washenzi kama Tundu Lisu ambao wao hapa Duniani kwa ajili ya kupigania Maslahi ya Mzungu!
ndugu, mimi ni mwanasheria kama tundu lisu, ninyi mnaangalia kwa macho ya watu wa kawaida, sisi tunaangalia kwa macho ya kisheria. dowans na richmond pamoja na mbwembwe zote zile, walitupeleka mahakama ya biashara ya kimataifa tukalipa zaidi ya bilioni mia moja. na zililipwa. sisi sote tunajua kuwa acasia wanatupiga hela sana, lakini ni kutokana na mikataba ambayo serikali yenyewe iliingia, na ukivunja mikataba hiyo wakikupeleka mahakamani unawalipa hela ndefu. hivyo acheni ujinga, kama wanatupiga yatupasa tudili nao kwa akili ili tusijelipishwa pesa tena. ni ngumu kuelewa hili kwasababu haujasoma yale tuliyosoma.
 
Kwen anko magu mikataba hii kipndi inasainiwa c alikuwa mbunge?Mbna alishadadia kwa vifinjo na nderemo kwa kudhani anaikomoa chadema sasa iweje leo ndo aone co sawa wakat apo awali alisema ndiooooo!!
 
Baada ya uona mkulu kaingia chaka mnatafuta sehemu ya kuangukia ili mpate mtu wa kumpa lawama. Nchi haiwezi kuendeshwa na mawazo ya mtu mmoja. Kama kweli tunataka kuweka mambo sawa kwa nini asingetafuta wanasheria nguli hapa TZ waipitie miktaba yote na watoe mapendekezo ya kisheria na kueleza nini kifanyike.
 
Hata haujui kinachoendela unabwabwaja tu, Raisi wetu ameunda Tume 2, ya kwanza ni ya Kisayansi ndiyo iliyotoa ripoti yake na Tume ya 2. ni ya Wanasheria nguli na waliobobea nayo itakuja na matokeo ya Utafiki wake kwenye hilo eneo la Sheria!
 
Unadhani wewe ndi o mwenye akili kuliko mtu yeyote hapa JF? Tatizo una makengeza ya ubongo. Unaunda tume wakati umesismsmisha kila kitu migodini unadhani hakuna tatizo la kisheria hapa. Acha umburula
 
Unadhani wewe ndi o mwenye akili kuliko mtu yeyote hapa JF? Tatizo una makengeza ya ubongo. Unaunda tume wakati umesismsmisha kila kitu migodini unadhani hakuna tatizo la kisheria hapa. Acha umburula

Kwani Tume ya 2 imeshatoa ripoti yake?
 
Ujuha nao shida Lissu anaongelea mkataba wa kijambazi walioingia ccm na wanyonyaji. Hivi unajua huyu jamaa aliwahi kupata wenge akaishika meli pamoja na samaki za watu, baadae tukalipa fidia ya matrilion. Baada ya kukaa bungeni zaidi ya miaka 20 ikipitishwa mikataba iliyooza na maccm wenzake, na akiwa kwenye baraza la mawaziri akiwashauri marais wa awamu 3 na 4 na hakushauri lolote Lissu akiuliza mikataba hii italiangamiza Taifa wanamtia ndani. Leo anashika makinikia ya nini
 
Wewe ni kichwa maji kweli!
Yaani uvccm tatizo lenu huwa mnataka jambo akianzisha mtu wa ccm basi nchi nzima lazma tuungane kukubali!
Mmechelewa hayo mambo yalikuwa enzi za nyerere sio sasa hivi!
Hili limeanzishwa na serikali na siyo ccm. Tofautisha kati ya serikali na ccm. Serikali ni ya vyama vyote uwe chadema,ccm,act au cuf. Ndo mana bombardier hawapandi ccm pekee mana ni za serikali. Tofauti ni kwamba serikali inasimamiwa na ccm. Hivyo serikali inabaki yenyeww kwa utoshelevu wake na ndo mana ruzuku zenu mnapewa na serikali siyo ccm. Umeelewa? Japo we ni slow learner?
 
Kwa upande wangu huu haukuwa wakati wa kuongelea itikadi za kisiasa instead tulitakiwa tujadili ni namna gani tutaweza kushinda hiii game.......na hapo ndipo tulipoona mapungufu ya TL kwa sababu ameendeleza siasa,lawama juu ya wana CCM na muda huo huo akasahau kuwa wakifukuzwa CCM wanakuwa MASHUJAA KWAKO......certainly, it is so sad......WALIOPO HAWAJATUFIKISHA TULIPO PATAKA,NA WANAOWANIA HATUNA IMANI NAO
Umeongea ukweli na wachache watakuelewa mkuu.

Tumeingiza siasa hata kwenye vitu muhimu kama misiba,makanikia etc. Ipo siku zitakuja kutugharimu na hakuna atakae baki mzima na hii amani yetu tunayohubiri itakuwa imepotea kabisa.

Ni suala la muda tu.
 
Ni maajabu, Tundu Lisu anaumia zaidi kuliko Mzungu mwenyewe aliyezuiwa kusafirisha Mzigo, Tundu Lisu anashinda kutwa kutoka povu kumtetea Mzungu, hii ndiyo shida ya kwenda Shuleni maisha yote kusomea Utamaduni wa Mzungu (Muingereza), laiti kama tungekuwa na Sheria ya Kitanzania yaani inayotokana na utamaduni wetu, basi tungekuwa na Wanasheria wanaopigania Utanzania, lkn sasa hivi wanampigania Mzungu kwa maana ndicho walichosomea, binafsi nawachukia Wanasheria wote waliosomea British Common law kwa maana inatoa watu Wasaliti na Washenzi kama Tundu Lisu ambao wao hapa Duniani kwa ajili ya kupigania Maslahi ya Mzungu!
Acha matusi, ushenzi umetoka wapi? You can argue your case without abusive language! It seems somewhere somehow, shenzi parents gave gave birth to a shenzi child like you! ndiyooooooooooooooooo, hao ndio washenzi wanazaa shenzi la ndiooooooooooooooooooo kama wewe
Enjoy your day!
 
Wewe ndiyo hauna unachokijua, kila Nchi (jamii) ina Sheria zake ambazo zimetokana na Utamaduni wake kama vile ilivyo Uingereza na Common law yao, Ufaransa wanatumia French law, Ujerumani wanatumia German law ambayo Japan waliichukuwa na kuibadilisha ili iendane na Utamaduni wao, Uarabuni wana Sharia law, Uholanzi wana Dutch law hata Nchi ndogo kama Lithuania zina lithuania law ambayo imetokana na Utamaduni wao!

Ni ujinga kutumia Sheria za jamii nyingine bila kubadilisha ili ziendane na mazingira yako, sisi tumechukuwa Sheria za Uingereza ambazo ni Utamaduni wa Uingereza wkt sisi siyo Waingereza na wala hatuhusiani na Waingereza kwa choochte matokeo yake tuna watu ambao wamesoma lkn Wajinga kama Tundu Lisu, jamaa ni Mjinga sana lkn anajiona anajua!
Mkuu hizo Japan, Germany a France ni civil law jurisdictions mbona huelewi vitu vidogo sana?
 
Back
Top Bottom