Wewe ndiyo hauna unachokijua, kila Nchi (jamii) ina Sheria zake ambazo zimetokana na Utamaduni wake kama vile ilivyo Uingereza na Common law yao, Ufaransa wanatumia French law, Ujerumani wanatumia German law ambayo Japan waliichukuwa na kuibadilisha ili iendane na Utamaduni wao, Uarabuni wana Sharia law, Uholanzi wana Dutch law hata Nchi ndogo kama Lithuania zina lithuania law ambayo imetokana na Utamaduni wao!
Ni ujinga kutumia Sheria za jamii nyingine bila kubadilisha ili ziendane na mazingira yako, sisi tumechukuwa Sheria za Uingereza ambazo ni Utamaduni wa Uingereza wkt sisi siyo Waingereza na wala hatuhusiani na Waingereza kwa choochte matokeo yake tuna watu ambao wamesoma lkn Wajinga kama Tundu Lisu, jamaa ni Mjinga sana lkn anajiona anajua!