Madhara ya kusomea British Common Law, yaonekana!

Nimefurahi sana. Unawachukia waliosomea British Common law. Hata ulivyo andika vizuri bila hata kukosea herufi inaonesha wewe kweli uliisomea hiyo hiyo British. Sasa, unajichukia mwenyewe ndugu yangu??
Sikiliza ushauri wa wenzio nao. Wanakuambia, Lissu hajakosea popote. Amejitahidi kutuonesha mahali tutakapokuja kamatika. Kumbuka samaki wa Mvietnam. Pesa za kodi badala ya kwenda kununua madawati si zikaenda kumlipa Mvietnam na kumnunulia meli mpya?? Lile bovu lake kaliacha pale karibu na magogoni. Upoooo??
Sasa lisu kakuambia, huenda kukatokea tena ngoma nyingine kali zaidi. This tyme, mtawalipa wazungu na bado waje wayabebe makontena yao na kuyapima upya. Ninavyo wafaham watz ukienda saa hii, baadhi ya makontena hayana tena milango na udongo ushapotezwa. Tutalipa na nani?? Simtetei Lissu wala ACACIA. Wakafilie mbali nami. Namuomba tu mkulu, akiona vip, AWAPE WAZUNGU MAKASHA yao. Tuendelee kunyonywa tuuu hadi aje mwokozi. Ila tunasema B/up saana JPM kwa kuthubutu
 
uoga kuongea mbele ya watu wengi tena wenye madaraka, bungeni wapinzani wameongea sana kuhusu kuibiwa huku leo wanapinga unawaweka kundi gani?

alikuwa waziri (ulitaka aikosoe serikali ) yeye kazi yake ni kuishauri una uhakika ajawahi fanya ivo.

nani asiye lijua bunge la tz limejaa upuuzi lissu anaongea huko alafu anakuja tetea nje upuuzi huu ndo unapenda na kuunga mkono.

ficha ujinga wako mkuu
Wewe ndo unatakiwa kuficha ujinga wako na upumbav*
Coz unamtetea mtu ambaye alishindwa kusema lolote bungeni??? Inamaana hujui Kama kuna muda mawaziri wanapewa kuchangia bungeni???
Undoa ujinga wako wa Lumumba hapa
 
Vipi kuhusu Fisadi Lowasa na Sumaye? Wao hawakuwepo Serikalini wkt haya yanatokea? Kati ya Raisi wetu Magufuli na Fisadi Lowasa/Sumaye, nani anastahili zaidi lawama kwenye hili?
 
yaani utengeneze virus wewe kwa miaka zaidi ya 20 bunge kwa kugonga meza na Kusema NDIOOOOO ukiwa kama mbunge na waziri kwa hiyo hiyo mikataba uliyoshiriki kuipitisha Leo una tengeneza Antivirus halafu unataka kutonyesha kwamba ndio unauchungu saana na rasilimali za nchii hii,sishangiliagi Maigizo hayo ya akili za kibashite*2
 
Acheni kulumbana haya mambo yamesababishwa na wabunge wa ccm walipitisha miswaada waliyoiita ya dharura kumbe wajanja watumia mwanya na uelewa mdogo wakadhani wanawakomoa wabunge wa vyama vingine wakakurupuka kila kitu wakawa ndio mzee. sasa kama lawama,au hasara walisababisha hao waheshimiwa timu kijani siku nyingine wawe wanafanya majadiliano hasa linapokua swala taifa washirikiane na wenzao bila kuangalia kwamba wao ni wengi wamempa rais kazi ngumu bila sababu. jpm chapa kazi anaejitia kutetea piga chini kwani watishia kupeleka kesi mahakamani mbona wao wamekiuka msharti ya mkataba watz tufike mahali tuseme sasa baaasi kama noma na iwe tumeibiwa vya kutosha tena tumeuzwa na watz wenzetu kweli mungu huyu.piga kazi jpm tupo pamoja na mungu atakusaidia tutashinda ila maadui ni wengi hasa wale wanaouguza vidonda vya majipu.
 
Kwa upande wangu huu haukuwa wakati wa kuongelea itikadi za kisiasa instead tulitakiwa tujadili ni namna gani tutaweza kushinda hiii game.......na hapo ndipo tulipoona mapungufu ya TL kwa sababu ameendeleza siasa,lawama juu ya wana CCM na muda huo huo akasahau kuwa wakifukuzwa CCM wanakuwa MASHUJAA KWAKO......certainly, it is so sad......WALIOPO HAWAJATUFIKISHA TULIPO PATAKA,NA WANAOWANIA HATUNA IMANI NAO
 
Hoja yako n dhaifu Sana hao kina TL walipigia Sana hili kelele lakini kipindi ile nyie Lumumba buku 7 mlikuwq mnaona hawana maana unajua kwamba haya ndiyo yaliyomfukuzisha bungeni ZZK kpindi ile akitaka mikataba iletwe bungeni????
Leo TL Anatupa ushauri Kama taifa bado mnampinga vipi JPM akija kufanya tena haya TL anayotoa ushauri si mtakuja kumshangilia???
Tupende kupokea ushauri hata Kama wanaotoa n wapinzani.
 
Wewe ndo unatakiwa kuficha ujinga wako na upumbav*
Coz unamtetea mtu ambaye alishindwa kusema lolote bungeni??? Inamaana hujui Kama kuna muda mawaziri wanapewa kuchangia bungeni???
Undoa ujinga wako wa Lumumba hapa
Acha wewe samaki wa mvietnam ndio walimpa ujiko magufuli kupewa ugombea uraisi CCM wasomi koko wa sheria wakiwemo mawakili majaji koko walipiga chini serikali Ili serikali ilipe fidia wapate mgao akaunti zao ulaya ziiingiziwe pesa magufuli alicheza kama pele kesi ile ikaisha kimya kimya nje ya mahakama na serikali haikulipa hata thumuni. huyo tapeli lisu hajui how system works huyo ni tapeli kama matapeli wawinda pesa waliojificha kwenye majoho Ya uwakili.Hana uzalendo na nchi. We don't need his assistance to hell with him and his chadema
 
Mimi sijaenda Shuleni kusomea Utamaduni wa Muzungu kama Tundu Lisu, hivyo siwezi kuwa kichaa, kichaa mnaye huko kwenu chadema!
Kwa hiyo umesoma Jando na Unyago bcoz ndio Elimu na utamaduni wa Mwafrika. Hapa unatumia Keyboard ni ya Kiafrika. Aeou ni irabu za waafrika? Acha kudharau Wazungu ndio kila kitu
 
Acha wewe samaki wa mvietnam ndio walimpa ujiko magufuli kupewa ugombea uraisi CCM wasomi koko wa sheria wakiwemo mawakili majaji koko walipiga chini serikali Ili serikali ilipe fidia wapate mgao akaunti zao ulaya ziiingiziwe pesa magufuli alicheza kama pele kesi ile ikaisha kimya kimya nje ya mahakama na serikali haikulipa hata thumuni. huyo tapeli lisu hajui how system works huyo ni tapeli kama matapeli wawinda pesa waliojificha kwenye majoho Ya uwakili.Hana uzalendo na nchi. We don't need his assistance to hell with him and his chadema
Lisu tapeli!!?? Muogope Mungu hata kama Lisu anakuchefua!.
 
Ni maajabu, Tundu Lisu anaumia zaidi kuliko Mzungu mwenyewe aliyezuiwa kusafirisha Mzigo, Tundu Lisu anashinda kutwa kutoka povu kumtetea Mzungu, hii ndiyo shida ya kwenda Shuleni maisha yote kusomea Utamaduni wa Mzungu (Muingereza), laiti kama tungekuwa na Sheria ya Kitanzania yaani inayotokana na utamaduni wetu, basi tungekuwa na Wanasheria wanaopigania Utanzania, lkn sasa hivi wanampigania Mzungu kwa maana ndicho walichosomea, binafsi nawachukia Wanasheria wote waliosomea British Common law kwa maana inatoa watu Wasaliti na Washenzi kama Tundu Lisu ambao wao hapa Duniani kwa ajili ya kupigania Maslahi ya Mzungu!
Mshezi ni yule aliyeko kwenye sisteam tangu zamani alafu leo anajifanya kuwa mzalendo, ni mpuuzi kupita wapuuzi wote .
 
Kwa hiyo umesoma Jando na Unyago bcoz ndio Elimu na utamaduni wa Mwafrika. Hapa unatumia Keyboard ni ya Kiafrika. Aeou ni irabu za waafrika? Acha kudharau Wazungu ndio kila kitu

Hakuna mahali nilipodharau/ongelea Wazungu bali nimeongelea Waingereza na Utamaduni wao, kutumia Computer siyo Utamaduni wa Muingereza ila Sheria ya Commonlaw ni Utamaduni wa Muingereza, hivyo ukisoma Sheria Tanzania unasomea Utamaduni wa Muingereza na siyo kingine, hivyo kwa hali ya kawaida ulipaswa ukaishi kwa Waingereza lkn kusomea Utamaduni wa Uingereza halafu unaishi kwenye jamii yenye Utamaduni mwingine matokeo yake ndiyo hayo unakuza kizazi cha Wasaliti kama Tundu Lisu ambao wako hapa kulinda Maslahi ya Muingereza kwa namna moja au nyingine bila ya wao hata kujua kwa maana ndicho walichofundishwa maisha yao yote!
 
Lieu anajua lesi za uchaguzi kesi za kukamatwa Na police kesi za kuandamana
Sheria za kimataifa zipo Lushoto kwake
 
Unamuita mh mbunge Lissu kwamba ni 'mshenzi' hivi kuna mshenzi na mjinga kama wewe mtoa mada? au kulipwa buku 7 pale lumumba kunakufanya kuwa zuzu na kutoheshimu wakubwa..? punguan wahed
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom