Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,651
🤣🤣🤣🤣Mama yake Nyerere alikuwa golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi wa kwanza wa Tanzania,Mama yake Raisi wa pili wa Tanzania Raisi Ali Hassan Mwinyi alikuwa golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi wa pili wa Tanzania,Mama yake Raisi wa Tatu wa Tanzania Raisi Benjamin Mkapa alikuwa Golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi wa Tatu wa Tanzania Raisi Benjamin Mkapa ,mama yake Raisi wa Nne wa Tanzania Raisi Jakaya Kikwete mama yake alikuwa golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi Kikwete Raisi wa awamu ya Nne ,Raisi wa awamu ya Tano Magufuli mama yake alikuwa Golikipika hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi Magufuli,Raisi wa awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan mama yake Golikipa hajui kusoma Wala kuandika katoa Raisi
Swali wewe mleta mada mama Yako anayejua kusoma na kuandika wewe kakuzalisha kama nani mbona mchovu tu labda unakovjiunia na kujiona wa maana humu una Maisha Gani mchovu choka mbaya wewe na mama Yako msomi mtoto wa mama msomi na asiye golikipa mbona wote chokambaya mnajikuna upele tu