golikipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Mnyama Simba SC Ijumaa ya leo atakuwa dimba la Cairo International akicheza mechi ya marudiano ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Katika mchezo wa kwanza Simba ilifungwa goli 1-0. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 5:00 usiku. Je, Simba watapindua meza? --- Kikosi cha...
  2. S

    Mechi ya marudiano Afrika Kusini, Mamelodi wataendelea kupigiana pasi na golikipa wao?

    Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini? Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
  4. OMOYOGWANE

    Golikipa wa Jwaneng galaxy anatisha

    Anaitwa G. Phoko Huyu ndio kachangia kuwalaza na viatu wydad Wana simba mmejioanga ??
  5. Lupweko

    Kuhusu golikipa wa Simba (Lakred) na Baleke, sikubaliani na wanaosema eti walicheza vibaya

    Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos. Kosakosa alizofanya Baleke...
  6. mdukuzi

    Aishi Manula hata ukipona leo, unaenda kuwa golikipa namba tatu pale Msimbazi

    Golikipa la Caf toka Morocco liko nchini, Ally Salim yuko on fire, Aishi Manula tafuta tumu nyingine, otherwise unaenda kuwa kipa namba tatu pale Msimbazi.
  7. Best Daddy

    Mbrazili Jeff Luis na somo la ubora wa golikipa

    Historia inatuambia, imekua ni changamoto kubwa sana kupima ubora wa golikipa, kuliko nafasi yeyote uwanjani kutokana na sababu kadha wa kadha(ambazo nitazieleza japo kidogo hapo mbeleni). Lakini wengi wetu hatukuona tabu, kwanini tuendelee kuumiza akili zetu? Basi tukachagua njia nyepesi...
  8. Shark

    Yanga Staff vs Wasanii; Huyu Golikipa H. Kidiaba JR anaujua. Anatokea wapi?

    Kwema Wakuu? Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo (mipira, ndondi etc). Sasa mojawapo ya mechi za jana kwenye siku ya Wananchi ni mechi kati ya Staff wa...
  9. SAYVILLE

    John Bocco aandaliwe kama golikipa wa akiba

    Hoja fukunyuku. Sitegemei Simba kusajili kipa mwingine msimu huu. Nadhani wanafuatilia kwa ukaribu uponyaji wa Aishi Manula na naona kuna juhudi zinafanyika za kuboresha viwango vya Ally Salum na mwenzake Ferooz. Kwa sababu dirisha la usajili halijafungwa, maamuzi ya mwisho bado hayajafanyika...
  10. Expensive life

    Golikipa mahiri Diara mbioni kuikacha Yanga SC

    Diara, golikipa mahiri raia wa Mali, mbioni kuikacha Yanga SC, inaelezwa kuwa, golikipa huyo amepata donge nono la mishahara kwenye moja ya vilabu vikubwa barani Africa.
  11. Mwande na Mndewa

    Fainali ya CAF: Yanga inahitaji washambuliaji katili kama Tumisang Orebonye, Aymen Mahious na Golikipa Djigui Diarra

    Yanga imefikia levo za CAF, kwenye level hizo hakuna timu za ajabu ajabu, kwenye levo za CAF hakuna wachezaji wanaosita sita kupiga pasi na anapoamua kupiga pasi anapoteza, kwenye levo za CAF hakuna mchezaji anayekosa ndani ya boksi la kumi na nane, kwenye levo za CAF hakuna kiungo mshambuliaji...
  12. SAYVILLE

    Bounou wa Sevilla, golikipa anayeijua vizuri saikolojia ya kudaka penati

    Wengi wanaamini upigaji penati ni bahati zaidi ya ufundi ila mimi napingana na hiyo dhana. Nikiwa mtu niliyecheza mchezo huu wa football kwa kiwango kikubwa sana katika nafasi tofauti uwanjani na kuna wakati nikawa hadi kocha, nina uwezo wa kulizungumza hili kwa uhakika na kujiamini maana najua...
  13. S

    CAF Imetoa Takwimu za Golikipa Wa Yanga Vs USAM kuelekea Fainali

    🇲🇱 Djigui Diarra 🆚 Oussama Benbout 🇩🇿 A glimpse on @yangasc1935 and @USMAofficiel goalkeepers’ head-to-head stats before #TotalEnergiesCAFCC finals! 🥅
  14. SAYVILLE

    Utata wa usajili wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya unatuambia sheria zetu za usajili zina mapungufu

    Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada ya kusemekana kuwa Beno amesaini kuchezea Singida Big Stars (SBS) kuanzia mwishoni mwa msimu huu...
  15. M

    Ni aibu ya mwaka, Mchambuzi wa kombe la dunia TBC adai golikipa wa Argentina anadakia pia timu ya Sevilla

    Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania. Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza. Huyu mchambuzi maandazi aliyepewa jukumu la kuchambua soka TBC wakati wa kombe la dunia sijui...
  16. Kurunzi

    Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

    Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
  17. T

    Golikipa Beno Kakolanya ni moja kati ya maduka ya Home shopping center (GSM)

    Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo! Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele...
  18. N

    Wapi golikipa Kindoki jamani?!!!!

    hawa yanga hapa walitupiga na kitu kizito kichwani kuwahi kutokea!! Huku mtaani kila kipa asiyeeleweka alipewa jina la Kindoki, mtaani kwangu kulikuwa na akina Kindoki kama wanne hv. Anacheza timu gani sasa huyu mwamba?!!!!
  19. B

    Kuleta golikipa kutoka nje kama taifa tunakwama sana

    Wasalaam, TFF inabd waweke sheria haiwezekani tuajiri magolikipa kutoka nje jamani kwa hili YANGA wametuabisha kabisa. Kama Taifa tutafakari hv Yanga wangemuchukua hata golikipa wa prison anafaa kabisa kukaa langoni mhm mazoezi na kocha wa makipa akiwa mzuri inatosha. Hivi kweli Watz tunaenda...
  20. Greatest Of All Time

    Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

    Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm. Ni nani anawatumia Clouds kutuhujumu sisi Yanga? 😂😂😂
Back
Top Bottom