Madhara ya Kukandamiza NGONO........!

Bandugu bado hamjaamka? tunasubiri mawazo yenu hapa juu ya kukandamiza!!!

Ngoja nilale kwanza Mtambuzi ..nimesoma nusu naona ukungu wa machoni..ntamalizia kesho na ntachangia io kesho..lol

Daaah hapa kuchangia mpaka kesho hata nimeishia robo tatu

post ndefu sana,,,,usingizi.

ndefu ila ina ka ukweli

dah ngoja niweke alarm asubuhi nidamke kuimalizia why Mtambuzi unaandika ndefu hivi.

Hii thread imenivutia sana ila nitaisoma kesho.
 
samahani kwa kuingia chumbani kwa wazazi bila hodi shikamoo mtambuzi hajambo junior?

Unajua wewe nivea umenigeuza mie kama babu yako, nitakuchapa siku moja wewee.................LOL

Junior, hajambo, wiki ijayo tunamfanyia TAMBIKO, karibu sana bana
 
Last edited by a moderator:
Mke akikunyina uhausi, ndio wwe hamu ya uhausi inayokuwa kubwa

Kazini mkikatazwa kuvaa jeans ndivyo wee hamu ya kuvaa jeans inaongezeka

SHule mkikatazwa kwenda mjini ndio hamu ya kwenda mjini inakuwa kuwa

N wakiambiwa kula mtandao wa 0713 ni haramu, ndio watu wanapata hamu ya kujaribu ili kujua kilichomo humo, na ndio sababu ya watu kula mtandao kwa kwenda mbele si makahaba mpaka wanandoa, kila mtu anataka kujaribu
 
Kongosho mi naomba mifano hai, maana Mtambuzi anasongesha tu hapa....
Kaizer ngoja nimsaidie Kongosho kwetu kule arusha vijijini tulipokuwa tunaishi early 80's tulikuwa na bafu ambalo halikuw zuri sana ukitulia mahali unakula chabo sasa pindi baba/marehemu mama wakienda bafuni tunafukuzwa maeneo ya jikoni maana bafu lilikuwa karibu,nikawa najiuliza kwani ninini hasa wanachotufukuzia basi siku hiyo mama hakluwepo baba akaenda kuoga mie taratibu nanyata nikala chabo nikaona dushelele la baba yangu basi nikajua kumbe ndio kifichwacho?ila ile taswira hainipotei mpaka leo lol.naonaga aibu sana nikimwona baba yangu Kaizer hii ndio Kongosho anasemelea
 
Last edited by a moderator:
N wakiambiwa kula mtandao wa 0713 ni haramu, ndio watu wanapata hamu ya kujaribu ili kujua kilichomo humo, na ndio sababu ya watu kula mtandao kwa kwenda mbele si makahaba mpaka wanandoa, kila mtu anataka kujaribu
khaaaaaakhaaaaa unatokwa tu maneno mtambuzi umelala wapi jana lol!!!1
 
:shock: King'asti, mfundishe huyu jinsi ya kuvuta kwa usalama

Zishaanza kumpoteza

Kaizer ngoja nimsaidie Kongosho kwetu kule arusha vijijini tulipokuwa tunaishi early 80's tulikuwa na bafu ambalo halikuw zuri sana ukitulia mahali unakula chabo sasa pindi baba/marehemu mama wakienda bafuni tunafukuzwa maeneo ya jikoni maana bafu lilikuwa karibu,nikawa najiuliza kwani ninini hasa wanachotufukuzia basi siku hiyo mama hakluwepo baba akaenda kuoga mie taratibu nanyata nikala chabo nikaona dushelele la baba yangu basi nikajua kumbe ndio kifichwacho?ila ile taswira hainipotei mpaka leo lol.naonaga aibu sana nikimwona baba yangu Kaizer hii ndio Kongosho anasemelea
 
Last edited by a moderator:
Unaona eeh, unavyonyimwa ndio unavyotaka

N wakiambiwa kula mtandao wa 0713 ni haramu, ndio watu wanapata hamu ya kujaribu ili kujua kilichomo humo, na ndio sababu ya watu kula mtandao kwa kwenda mbele si makahaba mpaka wanandoa, kila mtu anataka kujaribu
 
Kweli Mtambuzi,

Ndiyo maana wanawake wengi walimlilia sana Kanumba, inawezekana alikuwa msaada mkubwa kwao!!

Hivi, watu wakiamua kugawiana kama njugu, wataishia wapi? Kuna siku watashiba na kutulia?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ngoja nimsaidie Kongosho kwetu kule arusha vijijini tulipokuwa tunaishi early 80's tulikuwa na bafu ambalo halikuw zuri sana ukitulia mahali unakula chabo sasa pindi baba/marehemu mama wakienda bafuni tunafukuzwa maeneo ya jikoni maana bafu lilikuwa karibu,nikawa najiuliza kwani ninini hasa wanachotufukuzia basi siku hiyo mama hakluwepo baba akaenda kuoga mie taratibu nanyata nikala chabo nikaona dushelele la baba yangu basi nikajua kumbe ndio kifichwacho?ila ile taswira hainipotei mpaka leo lol.naonaga aibu sana nikimwona baba yangu Kaizer hii ndio Kongosho anasemelea

ha ha ha ha haaaaaaaaa, nilikuwa sijacheka leo, lakini kwa huu mfano wako nimecheka sana, duh, ama kweli anything suppressed becomes your attraction.....
yaani kabisa, nivea ukala chabo, hivi mchana kweupe kabisaaaaaa ...................LOL
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma mkuu Mtambuzi..labda mie niseme tu kuwa ni kweli kabisa hatulitendei haki tendo la 'ngono' as tumeweliwekea sheria nyingi sana..like lazime uoe/uolewe ndio ufanye..let say unakaa hadi 30 years hujaolewa au kuoa so what??..

Lakini hapo hapo kumbuka kuwa maisha yana tabia ya kuji-supplement, na kwa mazingira ya sasa ukiruhusu 'ngono' ifanywe kwa uhuru wa kila mmoja kujiamulia basi kuna hatari ya jinsia moja kubaki sana nyuma kimaendeleo...Na ukiangalia kwa makini utaona hata 'makatazo' mengi kuhusu 'ngono' yanambeba sana mwanamke!!..........

La kuhusu 'porno'..sina hakika but nadhani 'usiri' umechangia sana watu kuwa addicted na hizi movies..kwa mfano wengine unaweza kukaa na mwanamke hata miaka 6 usijue K yake inafananaje kiumbile (full kuificha) but kupitia haya makitu just easily you can spot each and everything existing out there!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli Mtambuzi,

Ndiyo maana wanawake wengi walimlilia sana Kanumba, inawezekana alikuwa msaada mkubwa kwao!!

Hivi, watu wakiamua kugawiana kama njugu, wataishia wapi? Kuna siku watashiba na kutulia?

Babu DC!!
umesema kweli kabisa mkuu, na ndio maana nawashauri wadada humu wasinyimane wapeane tu maana itafika mahali kila mtu ataona hiyo kitu ni ya kawaida kabisa, lakini huko kufichwa kumefanya iwe na thamani isiyostahili na sasa inajenga nyumba na kununua magari...
 
ha ha ha ha haaaaaaaaa, nilikuwa sijacheka leo, lakini kwa huu mfano wako nimecheka sana, duh, ama kweli anything suppressed becomes your attraction.....
yaani kabisa, nivea ukala chabo, hivi mchana kweupe kabisaaaaaa ...................LOL
Mtambuzi mchana ilikuwa mwaka 1988 mchana kabisaaaaaa ila baba hakujua ila toka pale niliona aibu kweli nikajuta kwanini nimekula chabo
 
Last edited by a moderator:
umesema kweli kabisa mkuu, na ndio maana nawashauri wadada humu wasinyimane wapeane tu maana itafika mahali kila mtu ataona hiyo kitu ni ya kawaida kabisa, lakini huko kufichwa kumefanya iwe na thamani isiyostahili na sasa inajenga nyumba na kununua magari...
Dark City n Mtambuzi nyie wazee mmeshajizeekea hebu tuacheni watoto na minato yetu lol naona mnataka kujijengea kadaraja taratibu ili ukiongea na Ciello asiseme no akandamize ngono hahahahahahaahahahaah uzee noma
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom