Ndio, kunakwolifai
Jamii ujue inakataza kataza sana kupeana uroda, imeweka masharti weee ambayo wala hayawahusu wafanyayo wawili. Angalia asemavyo Wema, Lulu, na wengineo.
Isingekuwa stigma ya jamii watu wengi sana wangejiachia na miuroda hadharani
lakini hawawezi sababu ni 'vibaya=dhambi, huna staha, harage la mbeya na mengineyo'
Hii imefanya vichwa vya watu vimekuwa uroda oriented hata kama hawafanyi.
Sitoi uroda hovyo hovyo sababu nimeaminishwa tangu utotoni mwanamke kujiheshimu, ni mbegu imepandwa nafsini, nikienda kinyume na hilo inanisuta.
Ila kiukweli ningeweza kung'oa mbegu hiyo ningejiachia tu, nani asiyependa starehe iliyo ndani ya uwezo wake? (Assuming hakuna hofu ya ukimwi na mimba zisizotarajiwa pia)