Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
Naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...!
- Tatizo jingine la mdau wa JF.
=========
MAONI NA USHAURI WA WANAJF
1.
2.
3.
- Tatizo jingine la mdau wa JF.
Habarini wana jamvi,
Jamani naomba msaada wa ushauri,
Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihisi nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuhi kabla ya kujiandaa kwenda kazini niangalie ndio nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.
Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki.
Nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza .
Asanteni..
=========
MAONI NA USHAURI WA WANAJF
1.
Kwanza kabisa nianze kukupa pole sana mtoa mada, lakini pili nakupongeza kwa ujasili wa kulileta hapa jamvini.
Nikuambie tu kwamba wewe si wa kwanza kuwa na tatizo hili, wapo wengi tu hata wanaosoma uzi huu sasa nao wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho.
Chanzo cha tatizo ni kwamba ulijihusisha na mahusiano ya kingono yasiyo rasmi (Ndoa Takatifu iliyofungwa na mchungaji au sheikh) kama ulivyokiri wewe mwenyewe.
Sitaki kukuwekea maneno mdomoni, lakini yaweza pia ulianza kutazama porn muda kwa sababu ya kuwa mpweke ama rafiki/marafiki wenye tabia hiyo au tu kwa sababu ya kukua kwa technologia ili usibaki nyuma mfano facebook, instagram, badoo na mingine mingi.
Tatizo ulilonalo wewe ni kuwa tayari umeolewa na jini/majini mahaba (roho wachafu).
Naamini kila baada ya kutazama porn ni lazima huwa unajichetua kwa masturbation bila shaka.
Pepo hao wachafu watakuharibia mpango mzima wa maisha yako iwe shule, uchumi na pia kutopata mme tena wa kukuoa.
Namna ya kujinasua katika hali hii:
1. Mshirikishe na kuwa karibu na Mungu wako kwa kushiriki IBADA safi
2. Unahitaji kuwa delivered - kuombewa mfano na wachungaji au mashehe.
3. Fanya mazoezi ya kutosha.
4. Kama una CDs, memory stick or whatever embu destroy zote mara moja na jiapia kutorudia tena kutazama hata online.
Kila la heri, Mungu akusaidie
2.
Hata hivyo porn ndo kitu kinaangaliwa zaidi kwenye Internet.
Pia, tatizo si kuangalia Bali ni hiyo addiction.
Sasa mi mwenyewe nlizoea kweli ila nkafanya Haya..
1.Nimewezesha filter inachuja nudity zote hizo.
2. Nmetafuta ishu mbadala ya kufanya nikijiskia kuchek porn.Nayo ni kuingia hapa JF maana kuingia kwingine kama insta na fb ni ujinga ule ule nudity kibao. (JF ni Tiba) nafanya sublimation.
3.Nimesearch matatizo yote yatokanayo na kuchek porn na yamesaidia kunifanya nibadili attitude.
Leo ni siku ya 3 na sijaangalia. So naona maendeleo si mabaya
NB; Kwa miaka yako 30 hebu tafuta bwana awe anakupa vitu. So kuishia kuangalia wenzako tu...
3.
Zingatia pia comment #90 hapo juu, yaani kama wewe ni mpenzi sana wa kuingia mitandao ya kijamii hususani ile yenye kuhusisha porns, nudity etc kama instagram, facebook, badoo embu achana nazo mara moja.
Japo haitatosha kwa jinsi hili tatizo lilivokuwa sugu tayari kama ulivyokili mwenyewe.
Jini mahaba ndio majini mabaya kabisa yanayopelekea watu hadi kujizulu maisha kwa namna yoyote ile.
Wapo watu wengi mno wamo kwenye hili tatizo lakini hawasemi tu. Wengine ni wafanyakazi wakubwa tu wanalipwa vizuri nk, hivyo wana access ya vitu hivyo wakati wowote ule wakitaka.
Mfano; Mimi nampenda YESU KRISTU WA NAZERET, ndiye aliyenishindia mambo mengi yenye majaribu na mapito magumu lakini namshukuru Mungu yeye anitiaye nguvu.
Kadhalika wewe hata kama ni Muslim wala usijali maana Muslim is a also a TRUE RELIGION OF GOD, kwa hivyo yale yote wanayofundisha iwe mawaidha nk yanakemea sana kuona ama kuonesha utupu wa aina yoyote ile. Hakika afanyaye hayo hataionja mbingu.
Ndio maana hata wanasisitiza mavazi yanayoficha mwili vizuri kwa wanawake.
Usiogope watu watasema nini kwa uamuzi wako wa kukombolewa kiroho utakaochukua sasa maana ndio itakuwa mwisho wa matatizo yako.
Kwa kukusaidia tu please, nenda kaombewe na ukili kutoka moyoni mwako kwamba unaacha kuanzia sasa tabia hiyo chafu. Najua sio wewe, bali ni shetani huyo anakuchezea.
Kuwa mwaangalifu sana humu kwenye mitandao, kuna agents wa shetani wengi tu.
Royo ya Mungu itakukumbusha kila mara unapojaribu kufungua porn kwe mtandao lakini uamuzi na utashi ni wako wala hulazimishwi. Ni kama enzi za Adam na Hawa, ilikuwa hivihivi.
Madhara mengine unayoweza kupata kwa kuwa na jini mahaba ni kwamba hata upate mme handsome and well endowed (amejaliwa mambo fulani) vipi hutaridhika kamwe.
Na ndio chanzo cha ndoa au mahusiano mengi kuvunjika. Maana wewe ubongo wako utazidi kuwa na picha zile kwamba nataka mwanaume awe hivi na anifanyie hivi na vile kama kwe hizo porn za kishetani.
Mungu akusaidie dada jipe moyo utashinda tu nenda kuombewe please, there is the Mighty power in the Name Jesus.
Wengine najua wata comment oooh mara mbona unaleta mambo ya kidini mara sijui nini.
Haisaidii, bali ukweli ndio huo utakao kuweka huru dada. Hata ufunge ujinyime kula na kunywa, bila kukombolewa bado tabu inaweza kuwepo.
Jambo la kuzingatia usije enda sijui wakakwambia eti oooh sasa inabidi uendelee kusali kwetu ili isijirudie tena.
Na na na no...., wakatalie kabisaa.., hamnaga hiyo. Ninachojua mimi dhehebu haliwezi kumpeleka mtu yeyote mbinguni hivyo usidanganywe kwa matatizo yako.
Kinachompeleka mtu mbinguni ni mahusiano mazuri ya kiroho na Mungu aliyeumba vitu vyote.
Simple be careful...