Madereva: Hatuingii barabarani hadi turudishiwe pointi zetu

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,782
Reaction score
29,232
Licha ya Waziri wa Michezo (Bwana Paulo Makonda) na Waziri wa Mambo ya Ndani (Bwana Patrobas Katambi) kufanya kikaokazi na madereva wa mabasi yaendayo mikoani jana tarehe 29/09/2026, madereva hao wameshikilia msimamo wao wa kutoingia barabarani hadi warejeshewe pointi zao walizokatwa kihuni. Aidha, wanawataka polisi kuacha kuwalazimisha kurudi kusoma ilhali tayari wanayo elimu ya kutosha.

Pamoja na mambo mengine, madereva hao wamechoshwa na vitendo vya polisi kuwadai rushwa, kuwapiga tochi ovyo na kuwaonea bila sababu za msingi. Pia wanadai serikali iwasaidie kusimamia mikataba kati yao na waajiri wao, ambao wamekuwa wakiwanyonya kwa muda mrefu bila kupatiwa msaada wowote kutoka serikalini. Kuonesha kwamba msimamo wao ni thabiti na hawawezi kurudi nyuma kamwe, dereva mmoja anayesafirisha abiria kati ya Dar es Salaam na Mwanza amesikika akisema: "Hatuingii barabarani hadi turejeshewe pointi zetu na madai yetu yote yapate ufumbuzi. Pia polisi waache kutupiga tochi na kutunyanyasa tukiwa safarini", alisema.

Naye Waziri Katambi amesema kuwa mfumo wa kukata pointi wameuiga kutoka nchini Rwanda na kusisitiza kwamba Tanzania haiwezi kubaki kama kisiwa wakati nchi nyingine zinaendesha mambo yao kisasa.

MAONI YANGU
Ijapokuwa mgomo unawakwamisha abiria wasiokuwa na hatia, nawaunga mkono madereva 💯% katika mgomo huu. Haki siku zote hudaiwa kwa nguvu na kwa gharama, hata ikibidi kumwaga damu au kutoa kafara. Serikali hii haramu ya CCM sio sikivu hata kidogo.

Nitawashangaa sana madereva ikiwa hatimaye watashawishiwa kuingia barabarani kabla madai yao yote hayajapatiwa ufumbuzi wa kudumu. Serikali ya CCM ni walaghai sana. Wanawalaghai madereva waingie barabarani halafu wayapotezee madai yao. Msikubali kamwe ndugu madereva. Shikilia hapo hapo mpaka kieleweke. Kama nitaitwa mhaini kwa kuwaunga mkono madereva, ngoja tu niwe mhaini na nitakinukisha kweli kweli.

Nawasilisha.
​
 
N

Ngoja wakusikie akina Mwashambwa!
 
Hii Sheria ya kukata point ni nzuri sana iwapo itahusisha makosa ya kizembe tu yanayo fanywa na madreva barabarani.
Madreva wanekuwa sababu ya ajali Kwa sababu ya uzembe wa kipumbavu.
 
Licha ya Waziri wa Michezo (Bwana Paulo Makonda) na Waziri wa Mambo ya Ndani (Bwana Patrobas Katambi) kufanya kikaokazi na madereva wa mabasi yaendayo mikoani jana tarehe 29/09/2026, madereva hao wameshikilia msimamo wao wa kutoingia barabarani hadi warejeshewe pointi zao walizokatwa kihuni. Aidha, wanawataka polisi kuacha kuwalazimisha kurudi kusoma ilhali tayari wanayo elimu ya kutosha.

Pamoja na mambo mengine, madereva hao wamechoshwa na vitendo vya polisi kuwadai rushwa, kuwapiga tochi ovyo na kuwaonea bila sababu za msingi. Pia wanadai serikali iwasaidie kusimamia mikataba kati yao na waajiri wao, ambao wamekuwa wakiwanyonya kwa muda mrefu bila kupatiwa msaada wowote kutoka serikalini. Kuonesha kwamba msimamo wao ni thabiti na hawawezi kurudi nyuma kamwe, dereva mmoja anayesafirisha abiria kati ya Dar es Salaam na Mwanza amesikika akisema: "Hatuingii barabarani hadi turejeshewe pointi zetu na madai yetu yote yapate ufumbuzi. Pia polisi waache kutupiga tochi na kutunyanyasa tukiwa safarini", alisema.

Naye Waziri Katambi amesema kuwa mfumo wa kukata pointi wameuiga kutoka nchini Rwanda na kusisitiza kwamba Tanzania haiwezi kubaki kama kisiwa wakati nchi nyingine zinaendesha mambo yao kisasa.

MAONI YANGU
Ijapokuwa mgomo unawakwamisha abiria wasiokuwa na hatia, nawaunga mkono madereva 💯% katika mgomo huu. Haki siku zote hudaiwa kwa nguvu na kwa gharama, hata ikibidi kumwaga damu au kutoa kafara. Serikali hii haramu ya CCM sio sikivu hata kidogo.

Nitawashangaa sana madereva ikiwa hatimaye watashawishiwa kuingia barabarani kabla madai yao yote hayajapatiwa ufumbuzi wa kudumu. Serikali ya CCM ni walaghai sana. Wanawalaghai madereva waingie barabarani halafu wayapotezee madai yao. Msikubali kamwe ndugu madereva. Shikilia hapo hapo mpaka kieleweke. Kama nitaitwa mhaini kwa kuwaunga mkono madereva, ngoja tu niwe mhaini na nitakinukisha kweli kweli.

Nawasilisha.
​
Hii kurudi tena kusoma ilibidi iwe kwa wote madaktari,wauguzi,HR,wafamasia yaani kila sekta haiwezekani sisi madereva .
 
Kwa hiyo pointi walizokatwa watarejeshewa baada ya majaribio kukamilika?
Waziri ametaka apewe taarifa wote waliokatwa point,

Tukiachana na hilo wamesema jana kwamba mfumo haujaanza rasmi.

Mwisho swali hilo ili kulipata kwa mpja kwa moja madereva wanaweza kuuliza hao mapolisi hapo maana wapo na makamanda wa ngazi mbalimbali.

Ila kinachoonekana ni kuonesha nguvu, wanaiya power display,.
 
Back
Top Bottom