Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

PSPF imechoka wakuu, na sasa hivi hata ulipaji wake mafao ya wastaafu na mirathi yanasua sua mno. Its like wanasubiri walipwe fedha ama wakusanye toka kodi ya jengo ndo wanarelease hundi za wastaafu
 
the circus

Hii kali! Hatari! Hizo ripoti 3 za CAG zinapatikana wapi? Zilete hapa please!
 
Last edited by a moderator:

mtoa uzi kiswahili tatizo au ndio usomi wetu wa kitanzania?
 
Wakuu mfuko wa pensheni wa hifadhi ya jamii wa watumishi wa umma PSPF hauna hela na kinachofanyika sasa ni 'kuokoteza" fedha toka vyanzo mbalimbali hususani kodi wanazolipwa kutoka majengo yao waweze kuwalipa wastaafu mbalimbali wanaochangia katika mfuko huo. Hali hii inathibitishwa na kasi ndogo ya ulipaji mafao ya mirathi, kustaafu kazi ambapo mpaka sasa baadhi ya wastaafu wa mwaka 2013 bado hawajalipwa. Kila nikifuatilia ofcn kwao ni kalenda tu na sababu za hapa na pale ambazo kimsingi hazina mashiko.
 
Umetumwa na NSSF
 
So soon!! Wakati tunawaonea wivu wanalipwa fedha nyingi kuliko sisi wa PPF!! Kwani serikali haikuliona hilo? Hivi hakuna any planning?
Wakuu mfuko wa pensheni wa hifadhi ya jamii wa watumishi wa umma PSPF hauna hela na kinachofanyika sasa ni 'kuokoteza" fedha toka vyanzo mbalimbali hususani kodi wanazolipwa kutoka majengo yao waweze kuwalipa wastaafu mbalimbali wanaochangia katika mfuko huo. Hali hii inathibitishwa na kasi ndogo ya ulipaji mafao ya mirathi, kustaafu kazi ambapo mpaka sasa baadhi ya wastaafu wa mwaka 2013 bado hawajalipwa. Kila nikifuatilia ofcn kwao ni kalenda tu na sababu za hapa na pale ambazo kimsingi hazina mashiko.
 
Nachofahamu pspf ilikopwa na serikali na wameshndwa kuwarejeshea ndo mana wanashndwa kuwalipa wastaafu.
 
Tatzo lenu huwa hamtaki kuelezwa ukweli.hu mfuko wenu umekaa kiumagumashi.mana ata maboc wenu wanajikopesha humo.
 
Umetumwa na UKAWA.

Mambo ya ukawa yanaingiaje hapa tena mkuu? mafao ninayofuatilia mimi ni ya toka mwaka jana, ukienda unaambiwa hiki mara kile ni kama wanatafutiza visingizio kubuy time,, situation iko worse pale, ukienda hata sasa utajionea foleni ya watu wanaokuja kufuatilia mambo yao,,wamejaa utadhani foleni kupata sukari kwenye 'duka la kaya" enzi hizo,i doubt kama ulikuwepo wewe
 
Mlipeni haki yake, acha kumsingizia asiyehusika na uzembe wenu yaani NSSF kama mngemlipa asingeandika hapa. Sijui ni kwa nini watu wanapenda kuficha madhaifu yao kwa kusingizia wengine !!!!

Ndo hawahawa hata kushindwa kwa JK mutu ya Msoga wanasema eti wasaidizi,,how? msaidizi uliyemteua mwenyewe anawezaje kukuangusha na bado umwache kakalia ofisi? anyway,,pspf hali si nzuri
 
Nachofahamu pspf ilikopwa na serikali na wameshndwa kuwarejeshea ndo mana wanashndwa kuwalipa wastaafu.

...hii serikali yetu ni dhaifu mpaka inafilisi mifuko ya walala hoi, kiasi cha kushindwa kulipa walengwa! "laana iwapate wote waliodumbukiza fedha hizi kwenye matumbo yao"

"PSPF ndiyo mfuko mchanga wa hifadhi ya Jamii kuliko yote, 'hiki kizazi cha panya bado kinadokoa michango yao masikini walionyonywa kwa muda mrefu"

"kumbukumbu zinaonyesha mfuko huu ulianza 1994, kabla: kuanzia mwaka 1942, wakoloni walikuja na utaratibu rasmi ambapo GEPF ilikuwa ya kwanza ikifuatiwa na NPF (NSSF), 1964, PPF-1978, PSPF-1999 kwa kutumia shera ya mifuko ya hifadhi ya jamii ya
mwaka 1954. Sheria hizo za mifuko
zilikuwa na utaratibu wa kisekta."
 
Back
Top Bottom