maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,505
- 6,440
circus,nimependa uandishi wako,unaripoti kama GT,unatoa data kama Jasusi,na unachambua kama MM,jitahidi niko nyuma yako
Je mnajua kuwa kulikuwa na versions 3 za CAG reports ambazo zote zimefichwa from the public?
Yes Ludovick Utouh either kwa kuambiwa au kwa kusudi ameamua kuwa wasiweke ile ripoti ya mahesabu ya PSPF wazi japo ni pesa za pensheni zinazolipwa na idara zote za serikali.
Sasa policy makers na REAL decision makers washa maliza mchakato wa kuifunga PSPF kwa sababu apart from mambo mengine ni kuwa hakuna justification ya serikali kuendelea kufanya baby sitting ya mfuko huu.
Cha ajabu ni kuwa mpaka actuarial valuation ya huu mfuko ulishawapa picha kamiili kuwa hauna muda and its just a matter of time.
Maswali kwa wana JF:
1. Mnajua kuwa iliundwa taskforce kama iliyoundwa NIC na ilipeka ripoti kwa wahusika? Mnajua kwa nini ile ripoti ilifichwa?
2. Mnajua Actuarial Valuation ya PSPF ilifanywa na nani na alilipwa kiasi gani kwa fedha za madafu? na kigogo gani ali recommend alipwe kiasi hicho?
3. Mnajua kwa nini hiyo valuation report ilifichwa?
4. Mnajua SIRI ya Ludovick Utouh (CAG) kutoa ripoti 3 tofauti?
5. Mnajua kwa nini ile ripoti nyingine imefichwa?
So much so for OPEN GOVERNMENT INITIATIVE...ukweli ni kuwa wale wenye akili zao kule mitaa ya Lithuli na Magogoni washaliona hili dude ni NOT VALUE FOR MONEY & PURPOSE and its just a matter of time habari ya kulivunjwa itatolewa lakini kama kawaida mtapewa majibu ya mkato mkato na yote kwa sababu hao wanaotegemewa kuuliza maswali magumu naya ndani wako bize wakipeana mipasho ya CHADEMA vs CCM ili mpotezwe lengo
Usiku mwema.
circus,nimependa uandishi wako,unaripoti kama GT,unatoa data kama Jasusi,na unachambua kama MM,jitahidi niko nyuma yako
Kwa sisi watumishi, hakika patachimbika aisee
1)Nahisi huyu atakuwa yule mtoto wa kigogo aliyesimamishwa pale PSPF...anachezea akili za watu...
2) Pia hii mifuko sasa hivi inaushindani wa kupata wanachama...na PSPF inane wanachama wengi walimu, ambapo mifuko mengine haina..
Hizi propaganda ya LAPF.
huu ni ushenzi mwingine nauita.
Mtu anakuja na sredi siujui siri kuu, mara ripoti 3 za CAG, mara sijui nini halafu mwishoe anabaki kutuuliza sisi tumpe majibu ya maswali yake.
Rubbish!
Dude kawaambie waliokutuma kwamba kwa sasa hatuna habari kamili but sooner than they think public itafahamu madudu yote haya.
Mungu ibariki Tanzania
Wewe ndugu chante,
hayo unayo yasema hapa ya uhuru wa ofisi ya CAG, hayawezi kufanywa na serikali hii, labda kama unaongelea serikali za mataifa mengine!
Kuhusu personal attack, huyo binti na genge lake wa hapo makao makuu, wanamchezo mchafu sana! Wewe unaona ni sawa wanavyo cheza na pesa za watu kwa kuziweka kwenye fixed account, ili wapate faida kwanza?
Hapa leo nipo msibani, mmoja kati ya wahanga wa pspf AMEFARIKI DUNIA hata kabla hajapata MKOPO WA PENSHENI, ambao alikamilisha taratibu kitambo tu
Huyo CAG wako si ndo alitokeza kwneye vyombo vya habari na filemon luhanjo kumtetea david jairo? Au unafikiri tumesahau?
Independent my azz.
Tarehe 23/03/2013 jioni mnamo saa kumi na mbili jioni kuelekea na nusu hivi niliwahi kuona document ya siri ya PSPF.na muda kidogo juzi baada ya kuanza bunge mambo yakafumuka zaidi.lakini document niliyoina ilikuwa na maelezo ya kufilisika kwa mfuko huu na matatizo mengine.hata wewe mleta uzi huu ninakusoma vema.nini kifanyike?
hela za watu itakuwa vip?
Ni nje ya mada iliyopo mezani lakini....Na maslahi ya watumishi hayataathirika?
Wewe kama unaona hii mada inakuchoma. Wewe ipotezee tu. Mod siyo wajinga kama unafikiriaMods si mfunge hii thread!
Sent from BlackBerry