calmdowndear
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 605
- 275
Niko hapa Dodoma lakini kila kona habari ni kuwa Mfuko wa pensheni wa PSPF ushafika kwenye kwenye hali mbaya ya kifedha na deni lao linaweza kufika TRILIONI 4 sasa nimeperuzi nikakuta uzi ulianzishwa zamani humu JF lakini uongozi wa Jamiiforums ukaamua kuufunga (inawezekana ni instructions za serikali) uzi huu uliweka bayana kuwa moja kati ya mikakati ya serikali ni kuhaha kuangaliana namna ya kuuza deni la PSPF kwa mashirika ya fedha ya kimataifa
cha ajabu ule uzi ULIFUNGWA na uongozi wa Jamiiforums bila sababu zozote zile (Je JF iko against OGP?)
na mbaya zaidi WAPINZANI nao wakatupotezea
sasa kuna nini? mbona hatuambiwi ukweli kuhusu huu mfuko wa pensheni ambao unatumaliza kama taifa?
hebu tazameni hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/441133-top-secret-serikali-kuifunga-pspf.html