pandian
Member
- Jan 11, 2011
- 37
- 7
Aggregate, mimi na wenzangu wengi tumesajiliwa LAPF kwa kulazmishwa kupitia kwa Afisa utumishi. PSPF wakija kwenye mada za waajiriwa wapya huongea bila kukashifu mifuko mingne na wanakuwa na uthibitisho wa annual reports zao. Sisi LAPF tumekalia kuzunguka na magazeti ya mwaka 2011 na kuficha annual report zetu kwa kuwa hali ni mbaya hasa ktk returns za investment. Tukienda kwa Afisa Utumish kuomba tuhamie PSPF anakuwaga mkali kwa kuwa ni agent wa LAPF