Impotent government under CCM! kila idara ya UMA NI KIZUNGUMKUTI.Waseme ni CHADEMA wanavyowahadaa watanzania. Bado mifuko mingine kama PPF, NSSF, GEPF na mashirika yote ya Umma haijasemwa, Halimashauri, Wizara na mengineyo ambapo fedha zinaibiwa kwa justfied doccuments kwa kuwa the chain of theft ni ndefu. Wapime wawaambie watanzania kuwa wamefeli. kila kitu kimefall apart. Wanahangaika na CHADEMA usiku na mchana wanashiundwa kufanyakazi kulipa madeni yao kwa hii mifuko. bado tuna deni la trilion 22 linalokuw,Dhaifu siku moja anatapika kwenye mkutano wa hadhara kuwa nanataka akitoka aitwe Bwana Kaendeleo. Dhaifu ni Mzee wa migogoro, Ombaomba, Mpenda anasa, na atakayeacha deni kubwa sana la taifa. Yaani Taifa Letu litaangamia kwa madeni haya.