lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,145
Sawa mkuu..ila ndugai ana roho ngumu sana..dahMkuu hayo ma jitu ya u Gambani yana roho za kishetani,Wala usitake kujua kilichompata Jamaa there after
Sawa mkuu..ila ndugai ana roho ngumu sana..dahMkuu hayo ma jitu ya u Gambani yana roho za kishetani,Wala usitake kujua kilichompata Jamaa there after
Wote binadamu,wote watanzania,kwani wachagga ni super humans?au mnajipandisha tu,kama mila mnazo,ngoma mnazo,kukeketa mna keketa sioni tofauti yenuWachaga na wakwere wapi na wapi mkuu???..
Tofauti ya kwanza..hatuvai misuli,hatuchezi bao tunafanya kazi,hatukalii mikeka kupiga umbea..licha ya kuwa sote ni binadamu tuko na tofauti nyingi zinazotufanya tusiendane hata chembe mkuu!!Wo
Wote binadamu,wote watanzania,kwani wachagga ni super humans?au mnajipandisha tu,kama mila mnazo,ngoma mnazo,kukeketa mna keketa sioni tofauti yenu
Hahahahaa,kwahiyo alimuambia ampige tu mkuu?Kama alikuwepo huyo mzee wa wapigwe yawezekana kabisa alimtuma
Tolerance limit imekuwa breached
Baba kamfunza Adabu mtotoJamaa alikua hajui kama aliyempiga ni TISS.
Atakuwa kweli katumwa na Pinda maana anapenda sana watu wapigweKama alikuwepo huyo mzee wa wapigwe yawezekana kabisa alimtuma
Ni kipande vs kipisi sasa sijui cha ajabu ni nini kijana kufunzwa maadili.kivipi? post yako imekaa " kiwivu wivu " hivi mkuu. basi kwa kukusaidia tu hakuna kada ya watu ambao ni WAUNGWANA na WASTAARABU huku wakiwa wanajua WANAFANYA nini bila kusahau kuwa ni watu walio na MAADILI na UTIIFU wa hali ya juu. anyway ngoja tu niishie hapa na niwaachie wenyewe ( wana usalama ) waje kwani wapo humu.
Msuli ni vazi tu,kulingana na eneo.ukivaa msuli moshi korodani zitaganda.Tofauti ya kwanza..hatuvai misuli,hatuchezi bao tunafanya kazi,hatukalii mikeka kupiga umbea..licha ya kuwa sote ni binadamu tuko na tofauti nyingi zinazotufanya tusiendane hata chembe mkuu!!
Kwani tiss akileta ujinga hasisuuzwe makofi kwa niniJamaa alikua hajui kama aliyempiga ni TISS.
Kipande anadhani ndugu yake Mkwere wa Msoga bado atamlinda