Specificity
Member
- Jan 18, 2016
- 60
- 45
Wakuu jina peke yake ni utata tosha. MADENI KIPANDE . ni wa wazi jamaa hahusiani na kanisa wala masjid. Dini yake pesa na hayo aliyofanya kwa mtumishi wa serikali. TISS naye anajua sana matumizi ya kalamu. Mkuu kasoma file mezani na kuipindua meza mara moja bado TISS wanaye sasa watampekua huko TPA hadi karatasi ya mwisho hatimaye watamng'oa meno bila ganzi na heshima itarudi xyzwxxii