Madeni Kipande ampiga vibao Afisa Usalama wa Taifa

Madeni Kipande ampiga vibao Afisa Usalama wa Taifa

kipande ana strees anauona mzimu wa Magufuli ukimfuata nyuma yake, so ni lazima kila anaekuwa karibu nae ajihadhari maana jamaa anaweza hata kuua akiamini ataponya roho yake na wasiwasi anaoishi nao.
Mkuu uliona mbali, huo mzimu wa Magufuli leo ndio amekutana nao.
 
kipande ana strees anauona mzimu wa Magufuli ukimfuata nyuma yake, so ni lazima kila anaekuwa karibu nae ajihadhari maana jamaa anaweza hata kuua akiamini ataponya roho yake na wasiwasi anaoishi nao.
atimaye ule mzimu umemkamata rasmi na kumnyonya damu yake yote nadhani kipindi hiki atakuwa njiani kuelekea msoga
 
Kipande ni Mchapakazi sana! Aliondolewa kwa kigezo eti hana mahusiano mazuri na Wasafirishaji wa Makontena kumbe alikuwa anawabania sasa Wameumbuka. Ukiona Mkurugenzi mkuu TPA anasifiwa sana na Media jua huyo ni kanyaboya.
sasa mbona u-RAS umemshinda
 
Mtajwa hapo juu ambaye aliondolewa huko TPA na kuteuliwa kuwa RAS mkoa wa Katavi, amemchapa kibao afisa usalama mmoja hapo Katavi.

Tukio hilo limetokea msibani mjini mpanda.

Waziri mkuu Pinda alikwepo eneo la tukio.

Chanzo cha kisanga hicho hakijajulikana bado.

Haina haja ya kuuliza source, Mniamini kama Benki.
Ukiwasumbua watenda kazi wa BWANA MUNGU, lazima akushukie na utaelekezwa mtotni fastaaaa
 
Mmmmmh!!kupigwa sio ishu,ushu nin kilifata baada ya kumpiga au nin kitatokea!!subir utatupa tena mrejesho!!dadeki anazan kila mtu wa kupiga makofi!!
hii ilikuwa ni January 5 na leo ni January 25!!!!
 
Shark hebu njoo huku huu uzi niliusahau ,Kipande atakua alikua anawindwa kitambo tu sasa kajaa
 
Nadhani wanatafsiri "hapa kazi tu" kwa vitendo. Hongera Kipande
 
Mtajwa hapo juu ambaye aliondolewa huko TPA na kuteuliwa kuwa RAS mkoa wa Katavi, amemchapa kibao afisa usalama mmoja hapo Katavi.

Tukio hilo limetokea msibani mjini mpanda.

Waziri mkuu Pinda alikwepo eneo la tukio.

Chanzo cha kisanga hicho hakijajulikana bado.

Haina haja ya kuuliza source, Mniamini kama Benki.
ndio maana kafukuzwa kazi
 
Hehee jamaa noma yani umdhalilishe mwenzao alafu utegemee kuendelea kula maisha? Hiyo haipo
Nadhani Magufuli vitendo hivyo havivumilii si umeskia ya RAS wa Mwanza aliyetaka sijui kuzichapa na Mulugo kapigwa chini
 
Back
Top Bottom