Madeni Kipande ampiga vibao Afisa Usalama wa Taifa

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,975
13,146
Mtajwa hapo juu ambaye aliondolewa huko TPA na kuteuliwa kuwa RAS mkoa wa Katavi, amemchapa kibao afisa usalama mmoja hapo Katavi.

Tukio hilo limetokea msibani mjini mpanda.

Waziri mkuu Pinda alikwepo eneo la tukio.

Chanzo cha kisanga hicho hakijajulikana bado.

Haina haja ya kuuliza source, Mniamini kama Benki.
 
Mtajwa hapo juu ambaye aliondolewa huko TPA na kuteuliwa kuwa RAS mkoa wa Katavi, amemchapa kibao afisa usalama mmoja hapo katavi.
Tukio hilo limetokea msibani mjini mpanda
Waziri mkuu Pinda alikwepo eneo la tukio.
Chanzo cha kisanga hicho hakijajulikana bado.

Haina haja ya kuuliza source
Mniamini kama Benki.
Mmmh pole yake
 
Kama alikuwepo huyo mzee wa wapigwe yawezekana kabisa alimtuma
 
Kipande ni Mchapakazi sana! Aliondolewa kwa kigezo eti hana mahusiano mazuri na Wasafirishaji wa Makontena kumbe alikuwa anawabania sasa Wameumbuka. Ukiona Mkurugenzi mkuu TPA anasifiwa sana na Media jua huyo ni kanyaboya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom